Kubwa la Maadui
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,014
- 15,868
HamjitambuiUnaweza kutoa prove ya unayoyasema?
Kwahiyo kina Mimi na kina Kiranga unaweza kutuaminisha vipi unayoyasema??
HamjitambuiUnaweza kutoa prove ya unayoyasema?
Kwahiyo kina Mimi na kina Kiranga unaweza kutuaminisha vipi unayoyasema??
Ww huna akil😂😂😂Kuna vitu vya kijinga lakini Kuna mtu anaamini Kuna kitu kinaitwa uchawi 🙌🏻.
Mbona hatuwatafuti wampige Samia kimbola, tusiandamane 29
Wewe ndio unazo unaemamini kwenye ujinga?Ww huna akil
Uchaw kuzidiana kama ilivyo technology na maendeleo
How would you know diseases, energy, and all the things we see and can be experimented if not proved ni ujinga mkubwa kuamini kwenye upuuzi kama huo.Yakikukuta ndio utajua uchawi upo au haupo.
Ukishakua kwenye nguvu za vyombo vya dola ndio huwa unaamini kweli vipo na vinafanya kazi.
Ila kinyume na hapo unaona kama hakuna kinachofanyika.
Uchawi upo na sio kila kitu mpaka kiwe proved na kuonyeshwa.
Wewe unajitambua kwa lipi kwa kutoa story za uongo kuwa uchawi upo?Hamjitambui
Part ya uchawi ni kutotambulika na huwezi ku trace kupitia vyanzo vya kisayansi.How would you know diseases, energy, and all the things we see and can be experimented if not proved ni ujinga mkubwa kuamini kwenye upuuzi kama huo.
Unaweza kuniletea uthibitisho wa uchawi hapa??Part ya uchawi ni kutotambulika na huwezi ku trace kupitia vyanzo vya kisayansi.
Lakini matokeo yake yanajidhihirisha.
Ni upumbavu ndugu, Kiranga alitoa dau la $5M Toka USA gov hamna mtu aliyejitokeza ni stori za vijiweni tuKikubwa tuu baadae kusiwe na lawama.
Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)
Ukikosa hivyo nipe NYUZI tuu kidogo za shati lako unalovaa au nipe tuu NGUO YAKO YA NDANI.
AU NJOO TU HIVYOHIVYO UTAKANYAGA CHINI NIBEBE UNYAYO.
Naona watu mnabishana sana humu ndani.
Sitaki maneno mengi NIPO TAYARI KUTHIBITISHA UCHAWI UPO KWA WASIOAMINI.
#MO29
- comrade_kipepe
- uchawi
- Replies: 416
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Huna nyota ,we si special kiufupi your nothing huwezi kurogwa,ila omba Mungu yasikukuteWadau naombeni mnijuze maana siamini kama hiki kitu kipo nasikia tu stori kwa watu sijawahi kuthibitisha he ni kweli au ni stori tu?
Huna nyota ,we si special kiufupi your nothing huwezi kurogwa,ila omba Mungu yasikukute
Hellow wakuu,
Nawakaribisha watu wote wanaoishi ktk mfumo wa PENTA LIFE CYCLE yaani primary school---secondary school----high school----college---employment .
Hawa ndugu zetu walio wengi hawajawahi kuishi ktk mfumo ulio nje na hiyo life cycle, hawana experience ya masuala ya jadi au imani wanazoziita potofu, wao hukimbilia ktk hitimisho bila kuhoji wala kutest ukweli wowote wa hicho kinachoitwa uchawi.
Kiuhalisia uchawi ni force ambayo ikiwa applied ktk muda fulani inakupa energy yenye negative au positive impact
Mara nyingi uchawi huwezi kuuona ila utaona effect zake, ndio...
Nyota gani mzee, hivi unaamini kwenye masuala ya nyota hadi Leo hii 🚮🚮Huna nyota ,we si special kiufupi your nothing huwezi kurogwa,ila omba Mungu yasikukute
Si tu kurogwa hata kufa ,unakufa tembea uone mengi ,pita kanda ya ziwa pale shinyanga, Bariadi,kigoma pale ujiji na sumbawanga alafu kafanye ujuaji wako usijifiche Dar utapigwa juju vizuri mkuuNyota gani mzee, hivi unaamini kwenye masuala ya nyota hadi Leo hii 🚮🚮
Acha ujinga wewe
Nakumbuka Toka mwezi wa tatu kimya hamna aliyejibu.Unakumbuka mkuu?
Hawa watu wanaungaunga hadithi za uongouongo tu.
Kama una amini Mungu yupo, basi jua na uchawi upo, toka Misri ya kina pharaohSi tu kurogwa hata kufa ,unakufa tembea uone mengi ,pita kanda ya ziwa pale shinyanga, Bariadi,kigoma pale ujiji na sumbawanga alafu kafanye ujuaji wako usijifiche Dar utapigwa juju vizuri mkuu
Ujinga tu, wameshindwa kufanya maendeleo huko kwao, je kama huo uchawi wao upo kwanini hiyo mikoa ipo nyuma kiuchumi?Si tu kurogwa hata kufa ,unakufa tembea uone mengi ,pita kanda ya ziwa pale shinyanga, Bariadi,kigoma pale ujiji na sumbawanga alafu kafanye ujuaji wako usijifiche Dar utapigwa juju vizuri mkuu
Sasa hivi kidau kimepanda mara 10 kutoka dola za Kimarekani milioni 5 mpaka milioni 50 kumkamata rais wa Venezuela Nicolas Maduro.Hellow wakuu,
Nawakaribisha watu wote wanaoishi ktk mfumo wa PENTA LIFE CYCLE yaani primary school---secondary school----high school----college---employment .
Hawa ndugu zetu walio wengi hawajawahi kuishi ktk mfumo ulio nje na hiyo life cycle, hawana experience ya masuala ya jadi au imani wanazoziita potofu, wao hukimbilia ktk hitimisho bila kuhoji wala kutest ukweli wowote wa hicho kinachoitwa uchawi.
Kiuhalisia uchawi ni force ambayo ikiwa applied ktk muda fulani inakupa energy yenye negative au positive impact
Mara nyingi uchawi huwezi kuuona ila utaona effect zake, ndio...
Kiranga alitoa hiyo challenge hamna mchawi aliyegusa means that ni ujinga tu mnatuletea hapa wa existence ya uchawi
Tunabishana na watu wasipo ijua Dunia Bado,... freemason, Illuminati,bone & skull huo wote ni uchawi wa kizunguYakikukuta ndio utajua uchawi upo au haupo.