mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,772
- 2,171
Umezaliwa mwaka gani bwashee? Inaelekea wakati Tundu Lissu na makamanda wenzake walipokuwa wanapambana bungeni kufichua ufisadiJambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Magufuli ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu.
Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia na wanataka jukumu hilo likamilishwe na aliyelianzisha Rais Magufuli.
Ndipo nauliza yule mgombea wa chama kikuu cha upinzani Mh Tundu Lissu ana historia yoyote chanya ya mapambano dhidi ya ufisadi au ni ile inayofahamika na wengi ya kumtuhumu na baadae kumsagisha Mzee Lowassa?
Maendeleo hayana vyama!
mkubwa uliofanywa na CCM kwenye EPA, Kigoda, Meremeta, Deep Green Finance, n.k ulikuwa bado chekechea.!