Zion Train
JF-Expert Member
- Jun 5, 2008
- 501
- 80
??????? Hivi maendeleo ya nchi yanaletwa na vazi la nchi au ulaji tuu huo.Sitashangaa wakiibuka na vigauni vya ngozi kama anavyovaa Mpoto kutuambia ndo vazi la taifa.
Kihistoria hatuna vazi la taifa. Kuna baadhi ya makabila yana mavazi ya desturi; mfano wazee wa kihaya wanavaa kanzu na kofia za pama, wamasai, wamang'ati n.k wanavaa rubega, watu wa pwani wanafunga msuli, wamama wanatanda kanga n.k.
Narudia tena, kinachofanyika sasa hivi ni usanii tu wa akina Kusaga kula kodi zetu. na Mungu atawalaani.
Vazi la taifa ni dili ya kina ?Nchimbi.
Kwani miaka ya nyuma hatukuwa tunavaa?
Hivi sasa tunahitaji kwanza taifa halafu baadaye ndio tutafute vazi la taifa!!
eti kila kitu kimetushinda,kuanzia mpira wa kiume,mpira wa kike, basketi n.k bora tujikite kwenye vazi la taifa tuonekane tuko busy na vazi la taifa.
How about some sort of local-made Kilts for men ili tupate na hewa kidogo kuna joto sana..
Linchi lisiliokuwa na dira , limekufa. Tanzania ina priorities nyingi za msingi laikini kama watoto wadogo vile. Wanakimbilia mambo yasiyo ya msingi. Wanatufuta ulaji tuuuuu. Wanatangaza maredio yote na matv kuhusu vazi la Taifa as if we have nothing else to do. Halafu wasivyokuwa na akili hata kidogo wameshasema kitambaa cha rangi ya bendera ya TZ kitu ambacho kila mtu anajua. Sasa watanatufuta dizaini huku wanasema ni vazi. Ushenzi mtupu. Nawashauri wamtafute disigner proffessional na sio kutupigia mikelele isiyoisha wakati tuna njaa.