Sherehe za Uhuru hazikupaswa kuchezewa kwa namna yoyote ile,sasa naona sherehe hizo zimekosa mantiki maana imekuwa mtu mmoja ndio anaamua mwaka huu ziwepo mwakani zisiwepo.kama tatizo lilikuwa gharama basi ingekuwa vyema gharama zingepunguzwa lakini sherehe zikabaki zikifanyika kila mwaka au tuamue kuzifuta moja kwa moja kama tunaona hazina faida yoyote na ni gharama kuzifanya.Kufuta sherehe mwaka fulani hakuwi ni kielelezo cha kupoteza maana na umuhimu.
Kama umechunguza hata hii miaka ambayo sherehe zinafanyika gharama zake zimepunguzwa sana.
Somo ni moja tu huwezi ukakesha bar unakunywa bia za laki mbili halafu kesho asubuhi unakopa hela ya supu.
Sherehe za Uhuru hazikupaswa kuchezewa kwa namna yoyote ile,sasa naona sherehe hizo zimekosa mantiki maana imekuwa mtu mmoja ndio anaamua mwaka huu ziwepo mwakani zisiwepo.kama tatizo lilikuwa gharama basi ingekuwa vyema gharama zingepunguzwa lakini sherehe zikabaki zikifanyika kila mwaka au tuamue kuzifuta moja kwa moja kama tunaona hazina faida yoyote na ni gharama kuzifanya.
Si jeshi tu na usalama wa taifa pia.
Bila kusahau wasukuma kwa miaka ya hivi karibuni wamejazana sana huko Idarani...Wakiwa wengi huko pia tatizo liko wapi? Halafu nakupa ' Assignment ' ndogo nenda kafanye Utafti wako kisha njoo uniambie kama ni kweli huko TISS kumejaa Watu wa Mkoani Mara ( Musoma ) hivi kuna Makabila ambayo yanaongoza ' Kujazana ' huko TISS kama Wahehe ( Iringa ), Wawambwe ( Rukwa ), Wanyakyusa ( Mbeya ), Wadigo ( Tanga ) na Wapemba / Waunguja ( Zanzibar ) Mkuu?
Nasubiri unibishie katika hili.
Bila kusahau wasukuma kwa miaka ya hivi karibuni wamejazana sana huko Idarani...
Nimekuelewa vyema Mkuu. Sema ndio hivyo wateuliwa wengi wa huko hawana uledi wa uongozi wakikabidhiwa ulaji wanaharibu. Wana mihemuko ya ajabu mno sema ndio hivyo mwisho wanaishiwa kubadilishiwa ulaji pindi pale wanapovurunda.Hilo halina ' Ubishi ' Mkuu na anayeliratibu hilo Zoezi zima la Wao ' Kuingizwa ' wengi huko yuko Kwake pale Makao Makuu Mataa ya Ilala Boma ambapo Jengo Kuu la Walimu nchini Tanzania kupotezea muda Wao likiwa linamtizama kwa chini.
Una uhakika wa 100% kwa wakati wa Awamu ya Kwanza ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Jeshi lilijaa Watu kutoka Mkoani Mara? Labda kwa Kukusaidia tu na tena yakupasa Ushukuru ni kwamba Tanzania nzima hakuna Wanamume wa kweli kama watokao Mkoani Mara ( Musoma ) na unavyoona nchi hii imetulia hasa Kiusalama na Kijeshi jua ni kwasababu ya Wanamume wa Mkoani Mara hivyo unatakiwa uwashukuru sana tu.
Kwahiyo ulitaka Jeshi lisiwe na Watu wengi kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) na liwe na Watu wengi kutoka Mkoani Kagera, Singida, Kigoma, Kondoa Dodoma na Ukerewe Mwanza Mkuu? Tena ukiendelea Kuwasema vibaya Watu ( Wanamume ) kutoka Mkoani Mara tutaacha Kuwalindeni Watanzania kisha mpigwe vizuri na Rwanda, Malawi na Kenya ndipo mtuheshimu na mjue Umuhimu wetu.
Jamani hiyo Mikoa niliyoitaja hapo na maeneo yake ni ya Watani zangu Wakubwa na huwa napenda Kuwatania / Kuwacharura mno.
Na 2017 zilipofanyika Dodoma nayo ilikuwa ni nini? Au ubara dhidi ya upwani!
Kila rais hukumbana na hizi hisia zetu za kibinadamu. Mwinyi alilaumiwa alituhumiwa kuendekeza uislam.Natokea Kanda ya Ziwa ( anakotoka Yeye Mr. Kujimwambafai Daima ) na sina Desturi ya Unafiki ambao nakuona unao na unaudumisha hapa. Ukweli ni kwamba Mheshimiwa anaendekeza Ukabila na Kupendelea mno Mkoa au Maeneo atokayo kitu ambacho ni Hatari na Kibaya kwa Ustawi wa Umoja wetu kama Watanzania. Kwakuwa una IQ za ' Punje za Mchele ' hutoweza Kunielewa katika hili ila ukituliza vyema Akili zako utanielewa.
Tena kama Mimi ndiyo ningekuwa Yeye Mheshimiwa katika ' Kuwazuga ' Watanzania kuwa sina ' Ukabila ' ningekataa Kushiriki Sherehe za mwaka huu ambazo Kitaifa zitafanyika Mkoani Mwanza ambako ana DNA nako ' Kiukabila ' na badala yake ningekuwa wa Kwanza Kukubali Kushiriki kama zingefanyika Kisiwani Pemba au Mkoani Singida au Lindi.
Katika hili hata mumtee vipi au mjitetee vipi hii Hisia ya ' Ukabila ' na ' Ukanda ' wake haiwezi Kufutika ndani Vichwa vya Watanzania wenye IQ's Kubwa ambao kila Kukicha ndiyo wanazidi tu Kuongezeka hapa nchini Tanzania. Namalizia kwa Kusisitiza bila haya, uwoga wala aibu kuwa Mheshimiwa apunguze Ukabila na Ukanda ataiharibu hii nchi.
Nimemaliza.
Sio lazima kila mwaka zifanyike ni utamaduni tuliojizoeza.Na kwanini mwaka huu zinafanyika na mwaka ujao hazifanyiki? Hii Kwako Wewe ni Akili au Matope? Nasubiri Majibu yako tafadhali.
Nimekudharau rasmi. Tafuta hela unywe bia wewe,
Kila rais hukumbana na hizi hisia zetu za kibinadamu. Mwinyi alilaumiwa alituhumiwa kuendekeza uislam.
Mkapa akatuhumiwa kutokuwa na nguvu mbele ya shemeji zake.
Kikwete kalaumiwa kupendelea marafiki waliomuingiza ikulu.
Sio ajabu kwa huyu kutuhumiwa ukabila na undugu, lawama ni hulka ya binadamu.
Ninaangalia mapana ya malengo yake sitazami siasa za malalamiko.
Kaka punguza dharau za watoto wa shule ya msingi wewe ni binadamu ambaye hujui kesho yako ipo vipi.
Mtu anapochania uzi wako sio kibali cha wewe kutaka kutumia lugha za matusi. Ukiwa mtu mzima uanze kuandika maoni yenye lugha ya staha.
Hakuna kifungu kwenye katiba kunachomzuia rais asiahirishe sherehe za uhuru. Anachofanya ni kuangalia maslahi muhimu ni yapi kwa taifa.Mkuu sidhani kama Phillipo Bukililo anauwezo wa Kuelewa haya Mawazo yako Chanya na Makubwa yenye Tija kwani Yeye Akilini mwake ( pamoja na Wenzake ) Wachache ' Slogan ' yao ni ' Kusifu na Kupamba ' Daima lakini siyo Kuangalia Jambo kwa Kina na nje ya Boksi.
Umeandika vyema kabisa na Kimantiki mno kama lengo ni Kubana Matumizi basi nilidhani hata mwaka huu tungeendelea vile vile Kutofanya hizi Sherehe za badala yake hizo Pesa tuzielekeze katika Miradi ya Maendeleo kuliko Kukataa isifanyike lakini mwaka huu 2019 kwakuwa unafanyika Mkoani Mwanza ( Ukanda ambao Yeye Mheshimiwa ) anatokea huko zinafanyika halafu wenye Akili tukisema kuwa hapa kuna harufu ya ' Ukabila ' na ' Ukanda ' tunaonekana hatufai au tunamchukia au ni Wapinzani au tunatumika na Mabeberu.
Mwisho kabisa sikubaliani na Mtindo huu ambacho sioni Aibu Kuuita ni wa Kipuuzi na Kitoto kabisa wa Kuacha Kufanya ( Kuadhimisha ) Sherehe muhimu za Uhuru wa nchi yetu ambayo ni sehemu ya Tunu yetu kama Taifa kwa Kigezo cha Kubana Matumizi ( ambayo hata hivyo baadae huwa hatupewe Mchanganuo mzima ) wa hizo Pesa zilivyotumika katika hiyo Miradi inayoelekezwa.
Kitendo cha Kusitisha Sherehe za Uhuru wa Tanzania kwa kila mwaka ni Kujidhalilisha na Kuwatukana Watanzania ambao walipambana Usiku na Mchana katika Kututafutia Sisi akina GENTAMYCINE na JOHN huu Uhuru ambao leo hii ' tunajimwambafai ' nao. Tena Mimi binafsi kutokuruhusu hizi Sherehe Kufanyika naona ni kama vile ' tunawatukana ' Waasisi Wakuu akina Mwalimu Nyerere na Karume ( bila kuwasahau wale wote waliokuwa ni Wasaidizi wao ) katika Kuipigania hii Tanzania yetu.
Tubane Matumizi katika Shughuli zingine ila siyo Sherehe za Uhuru za kila mwaka na hapa Wasaidizi wa Mheshimiwa wamsaidie kwani wanampoteza na kama haya Maamuzi huwa anayaamua Yeye kama Yeye basi anakosea na anatukosea mno Watanzania. Ni bora wapunguze mahitaji mengine ambayo huwa yamo katika Maandalizi ya hizo Sherehe za Uhuru lakini Sherehe ziwepo na siyo Kutofanyika kabisa. Kitendo hiki ' Kinatudharaulisha ' mno Watanzania nje ya Mipaka yetu.
Wewe huna akili kama unavyojidanganya kuwa unazo. Kama kijiweni kwenu wanakuona ndio mwenye akili basi hama hapo mahali hapakufai.Huna IQ ya Kumuelewa vyema GENTAMYCINE na tafadhali nakuomba upesi sana acha Kunipotezea muda wangu hapa sawa?
Una uhakika wa 100% kwa wakati wa Awamu ya Kwanza ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Jeshi lilijaa Watu kutoka Mkoani Mara? Labda kwa Kukusaidia tu na tena yakupasa Ushukuru ni kwamba Tanzania nzima hakuna Wanamume wa kweli kama watokao Mkoani Mara ( Musoma ) na unavyoona nchi hii imetulia hasa Kiusalama na Kijeshi jua ni kwasababu ya Wanamume wa Mkoani Mara hivyo unatakiwa uwashukuru sana tu.
Kwahiyo ulitaka Jeshi lisiwe na Watu wengi kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) na liwe na Watu wengi kutoka Mkoani Kagera, Singida, Kigoma, Kondoa Dodoma na Ukerewe Mwanza Mkuu? Tena ukiendelea Kuwasema vibaya Watu ( Wanamume ) kutoka Mkoani Mara tutaacha Kuwalindeni Watanzania kisha mpigwe vizuri na Rwanda, Malawi na Kenya ndipo mtuheshimu na mjue Umuhimu wetu.
Jamani hiyo Mikoa niliyoitaja hapo na maeneo yake ni ya Watani zangu Wakubwa na huwa napenda Kuwatania / Kuwacharura mno.
Sio lazima kila mwaka zifanyike ni utamaduni tuliojizoeza.
Sidhani kama imeandikwa kwenye katiba kwamba kila mwaka ni lazima tuazimishe sherehe za uhuru kwa gwaride na makomandoo kuvunja mawe.