Je, tumekubali na tutahudhuria Sherehe za Uhuru za mwaka huu wa 2019 kama Mgeni Rasmi kwakuwa zitafanyika Mwanza au?

Hakuna kifungu kwenye katiba kunachomzuia rais asiahirishe sherehe za uhuru. Anachofanya ni kuangalia maslahi muhimu ni yapi kwa taifa.

Mara ya kwanza aliona barabara ya Morocco ni muhimu kwa jiji la Dar na matokeo kila mkazi wa jiji hili anayaona wazi kabisa.

Tatizo letu ni kukariri maisha kudhani kwamba kila rais ni lazima awe na vipaumbele vilivyo ndani ya akili zetu.

Bado nauona Muendelezo wako tu wa Upopoma katika Kujibu Hoja zako. Ninachoka sasa Kukuelimisha tafadhali Mkuu sawa?
 
Mwakani yakitakiwa Kufanyika Mkoani Kilimanjaro au Arusha yatakubalika na atakubali kuwa Mgeni Rasmi? Na kwanini kwa mwaka huu yasifutwe tena ili Pesa zielekezwe katika Miradi ya Kimaendeleo? au Shida zinazohitaji Pesa ili Kuzitatua kwa Watanzania zimeisha na kwamba Tanzania sasa ni Paradiso Mkuu?
Logic question
 
Kwahiyo hujui kuwa Sherehe za Uhuru kwa nchi yoyote ile duniani zina Tija kwa Kizazi na Vizazi lakini pia ni mojawapo ya Heshima iliyojaa Tunu ya Kitaifa kwa Taifa / Nchi husika? Naomba nitajie nchi yoyote ile duniani ambayo katika tarehe ya Uhuru kwa nchi zao huwa hawasheherekei. Halafu ni wapi au nani Kakudanganya kuwa ni lazima kila kukiwa na Sherehe za Uhuru basi Gwaride la Makomandoo liwepo? Hivi unajua ni kwanini mwaka ule ( Enzi ya Rais JK ) kulifanyika Gwaride lile Kubwa la Makomandoo hadi Silaha nzito nzito zikaonyeshwa na Jukwaani alikuwepo aliyekuwa Rais wa Malawi Mama Joyce Banda japo Rais wa Rwanda Kagame alialikwa lakini hakuja na aliwakilshwa na Balozi wake tena yule aliyemaliza muda wake hapa nchini mwaka huu? Najua zile Sherehe zilikuwa ni Kuadhimsha miaka kadhaa ya Uwepo wa JWTZ lakini ni Tukio ambalo lilipangwa ' Kimkakati ' zaidi ila najua kwa IQ yako ndogo huwezi Kujua wala Kunielewa.

Kwani hakuwezi Kufanyika Gwaride bila kuwepo kwa hilo la hao Makomandoo? Halafu nikikudharau kuwa una Uwezo mdogo wa Akili unakasirika, kuninunua na kuona nakukosea sana wakati kumbe huwa nakuwa sahihi juu yako. Jifunze sana Kujuaa Kujenga Hoja pindi ukijua unataka Kujibizana / Kubishana nami hapa Jamvini sawa? Ni Mtanzania Mpumbavu tu pekee ndiye ataweza Kusema hakuna Tija ya Kuwa na Sherehe zenye Shamrashamra za Siku ya Uhuru wa Tanzania wakati anajua fika kuwa hilo tukio hata Kitaaluma tu na Kiustawi wa nchi Kizazi kwa Kizazi hadi Kihistoria lina Umuhimu mkubwa sana tu.
Narudia tena kukwambia usikariri maisha. Sherehe zisipofanyika mwaka huu basi subiri kuziona mwakani zikifanyika.

Ni maamuzi ya rais kufanyika au kutofanyika kwa sherehe hizo. Kama una hamu sana kuona zikifanyika basi jaza MB kwenye laptop au simu yako halafu ingia youtube utakutana nazo kwa wingi tu.
 
Mpumbavu Mwandamizi yoyote yule duniani huwa ni lazima tu atakuwa anakuja na Majibu ya Kipumbavu kama haya yako.
 
Mpumbavu Mwandamizi yoyote yule duniani huwa ni lazima tu atakuwa anakuja na Majibu ya Kipumbavu kama haya yako.
Mpumbavu ni wewe usiyeyajua mamlaka ya rais yana nguvu kiasi gani kikatiba.

Nimekuuliza kifungu cha katiba kinachonyima rais mamlaka ya kuahirisha sherehe za uhuru bado hujanipatia.

Unaishia kuzunguka tu ukitumia matusi ya rejareja mara popoma mara pumbavu. Nipe kifungu ili nione kweli rais hana mamlaka.
 
Rudi kwenye hoja yako ya msingi. Wewe utakuwa mtani wangu mkurya na sio mnyarwanda kama unavyodanganya watu.

Baada ya Kuona Makombora / Madongo yangu yanazidi Kukumaliza na Kukuumiza sasa umeona ukimbilie katika Kulazimisha Utani wako na Mimi ili unitulize na unipunguze Kasi au? Na bahati mbaya mno Kwako ni kwamba GENTAMYCINE nawajua Watani zangu wote Wapendwa kutoka Makabila ya Wahaya ( Kagera ), Wanyiramba na Wanyaturu ( Singida ), Waha ( Kigoma ), Warangi Kondoa ( Dodoma ) na Wakara Ukerewe ( Mwanza ) ni Watu wenye Akili ( IQ ) Kubwa hivyo acha Kudanganya hapa kwamba nawe ni Miongoni mwa Watani zangu hao Mimi ' Mwamba ' kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) sawa?
 
Mpumbavu ni wewe usiyeyajua mamlaka ya rais yana nguvu kiasi gani kikatiba.

Nimekuuliza kifungu cha katiba kinachonyima rais mamlaka ya kuahirisha sherehe za uhuru bado hujanipatia.

Unaishia kuzunguka tu ukitumia matusi ya rejareja mara popoma mara pumbavu. Nipe kifungu ili nione kweli rais hana mamlaka.

Mpuuzi kama Wewe ni ngumu Kufundishika na Kuelimika pia.
 
Hakuna binadamu anayeweza kufanya mambo Kwa usawa , kuna kitu huwa kinamcontrol mtu na ni ngumu kupingana nacho , nacho ni ubinafsi , anaanza kujiangalia yeye kama yeye, inafata familia yake , unafata ukoo, kisha kabila na kisha taifa , na hatimaye bara , na vipo Kwa mfuatano huwez kuruka kimoja et upendelee kinachofata, mfano uache kunufaisha familia ili unufaishe taifa ni ngumu Sana, Nyerere pamoja na utaifa wake lakn jeshi lilijaa watu wa Mara .
Kasome vizuri historia ya wakurya kuwa wengi jeshini haswa miaka ya 70 na 80. Sifa moja kubwa ya Mwl mbali ya mapungufu yake mengine hakuwa mbinafsi kabisa. Utakuwa unakosea sana kulinganisha ubinafsi wa kiwango cha SGR wa mkuu wa kaya awamu hii na ule wa Mwl.
 
Kuna watu wanawasema Dotto James na Makonda awamu hii wanawasahau Mzee Joseph Butiku na Nyirabu awamu ya kwanza.
Unawataja Butiku na Nyirabu wazee walioitumikia nchi hii kwa uadilifu uliotukuka, wamestaafu na wanaishi kwa mafao yao tena maisha ya kawaida sana. Hakuna kati yao aliyejilimbikizia mali na kujikweza kama hao uliowataja ambao wamegeuka mchwa na kuitafuna nchi hii kama mali yao. Mkuu wa kaya anafanya kazi kwa upendeleo uliotukuka haswa kwa gavana wa DSM na mtunza kasiki la nchi.
 
Nakubaliana nawe kwa 100% Mkuu na umemaliza kila Kitu japo huyo Nyirabu sasa ni Marehemu pamoja na Mkewe na wamebaki Watoto tu.
 
Baada ya Kuona Makombora / Madongo yangu yanazidi Kukumaliza na Kukuumiza sasa umeona ukimbilie katika Kulazimisha Utani wako na Mimi ili unitulize na unipunguze Kasi au? Na bahati mbaya mno Kwako ni kwamba GENTAMYCINE nawajua Watani zangu wote Wapendwa kutoka Makabila ya Wahaya ( Kagera ), Wanyiramba na Wanyaturu ( Singida ), Waha ( Kigoma ), Warangi Kondoa ( Dodoma ) na Wakara Ukerewe ( Mwanza ) ni Watu wenye Akili ( IQ ) Kubwa hivyo acha Kudanganya hapa kwamba nawe ni Miongoni mwa Watani zangu hao Mimi ' Mwamba ' kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) sawa?
Mimi ni mshubi wa Ngara. Huna makombora tatizo lako ni kujisikia kuliko pitiliza. Una majivuno yasiyo na ulazima.

Aina yako ndio wale wanaingia madukani na kumwambia muuzaji naomba hilo shati la laki moja kumbe linauzwa shilingi elfu ishirini.
 
Unawataja Butiku na Nyirabu wazee walioitumikia nchi hii kwa uadilifu uliotukuka, wamestaafu na wanaishi kwa mafao yao tena maisha ya kawaida sana. Hakuna kati yao aliyejilimbikizia mali na kujikweza kama hao uliowataja ambao wamegeuka mchwa na kuitafuna nchi hii kama mali yao. Mkuu wa kaya anafanya kazi kwa upendeleo uliotukuka haswa kwa gavana wa DSM na mtunza kasiki la nchi.
Naongelea ukaribu wao na rais ulitokana na undugu alionao.

Hakuna rais duniani ambaye hana ndugu anayemuamini katika watu wa karibu yake.
 
Back
Top Bottom