Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

Status
Not open for further replies.
Ningeendeleza kuchekea chekea watu tu, kuendeleza upole na kutokuwa na msimamo na chochote nikifanyacho ili watu wasione kama nimebadilika wasije wakafikiri niliwekwa mezani kweli. Halafu ningepunguza safari za uarabuni ili watu wasije wakadhani kuna chochote huko maana ndio kwenyewe kwa hayo mambo ya mezani.

Kwani wewe ufurahia hiyo picha?
 
...shud've done that at its inception, siyo kusubiria kuchafuliwa kwa kiongozi wetu! Anyway, gud luck to our law enforcers, hope they arrest the culprits, sooner the better.
 
Hili ndio tatizo la nchi yetu. Wakati wanachafuliwa wengine haikuwa tatizo pamoja na kelele nyingi za waliochafuliwa. Sasa imetokea kwa kiongozi mkuu wa nchi sasa wamiliki wanatafutwa. Ok kila la kheri kwa jeshi la polisi.
 
Ni kweli wamechelewa kuchukua hatua,lakini hawajachelewa kihivyo.Kuna kila sababu ya kuhakikisha upuuzi huu hauendelei.
 
Huu ni ukiukwaji mkubwa sana wa maadili. Lakini hili walitakiwa walidhibiti mapema sio hadi atajwe fulani. Watu wote ni sawa mbele ya sheria kwa mujibu wa katiba na sheria zetu za nchi
 
problem kubwa ya wanaotuongoza,WANAINSERT EFFORTS NYINGI KUKABILIANA NA IMPACT/MATOKEO!and they do it LATE!

they can't go to the source of problems!they can't invest on technology to find means to overcome these problems.

ITACHUKUA MUDA SANA KUENDELEA!

anyways,KILA LA KHERI
 
Until its too late, they never take any action.....sijui kwa nini hawa wanajiita Sirkali hawawajibiki hadi inapokua imechelewa.....things like this and DECI should have been grounded long before.
 
Nyie mnaonyesha hamuijui Internet inavyofanya kazi...wakishajua wahusika ni kina nani and then watawashitaki kwa kosa gani?

Hizo picha zilibandikwa Tanzania au huko waliko, sheria za Internet zinakataza kufanya hivyo huko waliko...this investigation is a waste of our public money.
 
Ni kweli wamechelewa kuchukua hatua,lakini hawajachelewa kihivyo.Kuna kila sababu ya kuhakikisha upuuzi huu hauendelei.

Che K, sababu kubwa inajitokeza tu pale kiongozi anapochafuliwa. Katika kila jambo tukisubiria mmoja wa viongozi aumizwe kwa tatizo ndiyo serikali ichukue hatua...tutabakia kuwa washika mkia miaka nenda rudi.

Jamaa walikuwa kwenye blogspot (google), sasa hivi wanatumia WordPress... serikali na mikono yake mirefu imekuwa ikisubiria nini muda wote huu kuwasiliana na kampuni husika..kuanzia ma ISP hadi kwa software provider?... Au ni serikali inayojua kununua ma benz na mashangingi tu kama vitendea kazi?! Sophisticated network sniffers would have those guys surrounded in 24hr!
 
Wanasheria embu mtuambie hii imekaaje...mtuhumiwa akikamatwa kwa jambo hili JE atashtakiwa kwa kosa gani, kifungu na kwa sheria ipi?

Kuna wakati nilisikia mahakama huwa zinapata shida kutumia ushahidi wa video suviliansi camera na ushahidi wa mtandao (internet) JE ni kweli...
 
- Lakini huwezi fanya haya mambo China, au wao wana system tofauti ya internent?

FMES!

hayo mambo yanafanyika china tena sana
china walichofanikiwa ni ku censor google, na google walikubali kwa ajili china ni market kubwa sana na hawakutaka kuikosa

china kuna ma underground kibao wengine wanahost china wengine nje ya china. kuwa na ma underground haimaanishi hamna

serikali ya china imejaribu kuwa inawakamata lakini wana six million graduates kila mwaka na hawawezi kushindana nao wote

china wame focus attention ya na nchi zingine ie usa.
 
Wamemuweka JK amepindwa na Mwanaume mwenzake ile picha kwa kweli inafedhehesha sana nilisikitika sna uhuru huu tunautumia vibaya.....sasaa aisee inaumiza sana sana haifai kabisa hata kuijadili ile picha.......waombe hata msaada kwa InterPol watajua wapi pa kuanziaa kuwasaka hao wanao host hy ze utamu.
 
Ama kweli JF kuna watu wa aina mbali mbali...msiitumie kwenye kampeni hahahah mkatengeneza billboards!

Masanilo mzee wa tigo!it was just jokes,sina hiyo picha bwana naona umeshtuka kweli kweli.
 
Masanilo mzee wa tigo!it was just jokes,sina hiyo picha bwana naona umeshtuka kweli kweli.

Thanks to GOD, mazee nyie hamtabiriki....week end hii babake .....umepanga kufanya nini? ama makamuzi kama K
 
JESHI la Polisi nchini linawasaka wamiliki wa mtandao unaojulikana kama ZE UTAMU ambao unakwenda kinyume na maadili za Kitanzania.

Jeshi hilo limetowa tamko kuwa wapo kwenye mikakati mikali ya kubaini wamiliki na wanaoendesha mtandao huo kwa nia ya kuwatia hatiani kwa kile kinachodaiwa kuwa wanadhalilisha watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa nchi.

Msemaji wa jeshi hilo amesema kuwa kutokana na vitendo vinavyofanywa na wamiliki wa mtandao huo Jeshi hili halitavumilia na limeamua kuwasaka moja kwa moja watu hao.

Amesema kuwa mtandao huo umekuwa ukitumia nafasi ya uhuru wa vyombo vya habari kwa kutoa picha mbalimbali za kudhalilisha na za ngono ikiwemo na kukashifu viongozi.

Amesema kuanzia jana Maofisa wa Polisi ikiwemo na Tume ya Uchunguzi wa Mawisiliano wanakutana kwa kujadili kwa kina suala hilo ikiwemo na kubaini wamiliki.

Amesema hatua iliyofikia ya mtandao huo kudhalilisha wananchi pia na kutotoa maadili mazuri kwa jamii vitendo hivyo havitavumiliwa na Jeshi hilo.

Pia baadhi ya wananchi waliyohojiwa na NIFAHAMISHE walisema kuwa hatua iliyochukuliwa na JEshi la Polisi ni la msingi kwa kuwa Mtandao huo ulikuwa unaweka picha za kipuuzi na fedheha kwa umma wa Watanzania.

“Tunaomba wasakwe haraka iwezekanavyo ili mkondo wa sheria ushike mahali pake kwa kuwakamata wote wanaojihusisha na mtandao huo”.

Source: Nifahamishe.com

100% ninaafiki hawa wapuuzi wakamatwe mara moja na kupewa adhabu kali sana. Nadhani jana nilitoa hint za kutosha za kuweza kuwakamata wahusika. Nilitoa IP address, location, na muhusika alisoma chuo gani na college ID yake ilikuwa ni nini?.
 
Thanks to GOD, mazee nyie hamtabiriki....week end hii babake .....umepanga kufanya nini? ama makamuzi kama K

W'kend mimi nina tabia kushinda nyumbani na jioni kwenda kanisa kwa siku ya j'mosi na j'2 kanisani then naishia kushinda home ndio staili ya miasha yangu kwa w'kends tangu uchumi wa dunia uanze kuyumbayumba.
 
jeshi la polisi lawasaka wamiliki wa kagoda!!!!!!!!!!!

typing error samahani sio kagado bali wamiliki wa ze utamu

what a waste of time n resources??
 
You can PM me tukutane mahali, huwezi jua waweza okota kitu! ukatest tiGo
 
JESHI la Polisi nchini linawasaka wamiliki wa mtandao unaojulikana kama ZE UTAMU ambao unakwenda kinyume na maadili za Kitanzania.

Jeshi hilo limetowa tamko kuwa wapo kwenye mikakati mikali ya kubaini wamiliki na wanaoendesha mtandao huo kwa nia ya kuwatia hatiani kwa kile kinachodaiwa kuwa wanadhalilisha watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa nchi.

Msemaji wa jeshi hilo amesema kuwa kutokana na vitendo vinavyofanywa na wamiliki wa mtandao huo Jeshi hili halitavumilia na limeamua kuwasaka moja kwa moja watu hao.

Amesema kuwa mtandao huo umekuwa ukitumia nafasi ya uhuru wa vyombo vya habari kwa kutoa picha mbalimbali za kudhalilisha na za ngono ikiwemo na kukashifu viongozi.

Amesema kuanzia jana Maofisa wa Polisi ikiwemo na Tume ya Uchunguzi wa Mawisiliano wanakutana kwa kujadili kwa kina suala hilo ikiwemo na kubaini wamiliki.

Amesema hatua iliyofikia ya mtandao huo kudhalilisha wananchi pia na kutotoa maadili mazuri kwa jamii vitendo hivyo havitavumiliwa na Jeshi hilo.

Pia baadhi ya wananchi waliyohojiwa na NIFAHAMISHE walisema kuwa hatua iliyochukuliwa na JEshi la Polisi ni la msingi kwa kuwa Mtandao huo ulikuwa unaweka picha za kipuuzi na fedheha kwa umma wa Watanzania.

“Tunaomba wasakwe haraka iwezekanavyo ili mkondo wa sheria ushike mahali pake kwa kuwakamata wote wanaojihusisha na mtandao huo”.

Source: Nifahamishe.com
I always asking myself, are we ready to protect and save the citizen and their property in scientific and update manner? on Polisi perception? on Tanzania perception (patriotism or jingoism) its shame for us Tanzanian to sit back and wait for one looser to control our mind and play with our feelings by insulting us while smiling like if its a normal Komedy joke. Ukimutukana kuhani wa Mungu umemtukana Mungu. JK is our President where I like or not, he is carrying Tanzania on his shoulder. He can lead us to prosperity or distruction especially if we are not pray and protect him. Tanzania Police and all security bodies in Tanzania please change the way of doing things by prevent things from happening and not doing the damage control. Question 1. where are those thugs whom were Mzee Punch ring leaders after being expelled from UDSM in early 90's? 2. why did the security bodies allow hundreds of Tanzanians to be insulted by ze utamu with out doing anything tangible? wahenga walisema naquote "ukicheka na mbwa, utaingia nae Msikitini" na tungecheka na Mzee Idd Amin sijui tungekua twasema nini. Security bodies msione haya wala msiogope kubadilika polisi mna sheria 40 zinazowaongoza ambazo tumerithi kutoka kwa wakoloni tuzibadilishe na tuajiri na kutrain wapiganaji wetu dhidi ya Developed Crime. Reason si Cyber crime (uhalifu wa kimtandao) tu,hata ujambazi majuzi Tabora wakora wanachukua dhahabu kama wananawa tu, mabasi yanatekwa kila kukicha, wahanga wa ajali za barabarani wanaporwa waziwazi, bora lawama kuliko fedheha hizi, enzi za Marehemu Baba wa Taifa na Mzee Sokoine hakukua na mambo haya, likitokea la kutokea kitaani au kijijini mnasailiwa wote hakuna ushirikiano kitaa/kijijini mtashaa kichapo wote mtatajana hakuna kulinda wahalifu. Pole tena Muungwana. IGP, Mr. Othman, Mr. Manumba na all your team, you have all the indispensable resources please get those scams and let them know that Tanzania is an highly regarded and reputable country. Please!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom