Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

Status
Not open for further replies.
- Mkuu PM, with all due respect as a nation tusirihusu au kushauri hizi tabia chafu kutumika katika jamii yetu kama fimbo ya ku-deal na marekebisho ya mapungufu yetu kisiasa, kwa sababu ukisha yakubali haya basi hakutakuwa na fine line tena na halitakuwa ni taifa tena, hapana tusikubali hizi tabia katika jamii yetu, sio yote ya wazungu ni mazuri.

Respect.

FMES

Mkuu respect;

waswahili wanasema "ukixheza na mbwa, atakufuata hadi msikitini"... that's exactly utamu ulichofanya

tulianza na magazeti kama kasheshe, ijumaa, champion --- shigongo chain or franchise ya kuongea utupu binafsi, na sasa mkulu wa nchi---yale ya hadithi ya watoto watatu na baba aliyekaa vibaya

UJUMBE NI KWAMBA: ITS NOT TOO LATE AND WE CAN CHANGE OUR SHIT!!!!! DOWN WITH UDAKU, THEN DOWN WITH THE LIKES

BILA KUSAHAU VITA NA MAFISADI
 
Hivi hatuna Napster?(Computer genius/Hacker)"check spelling". ambaye anaweza kucheza na huyu mtu akamuingilia mpaka kwenye PC yake akamuingizia virus?.
Si kama haiwezekani kuiweka chini Ze Uchungu, hapana... Rahisi sana na ndo maana pamoja na kwamba mwanzoni ilikuwa chini ya Google (ambao wanaheshimika kwa security) ilipigwa chini na kuondolewa data zake zote.

Lakini ilikuwa ni kazi bure kwani serikali yetu kila kitu inataka kifanyike BURE na tena kwa risks zako!

Pia, haipendezi kuchukua maamuzi ya ku-hack kitu ambacho watu wengi (sina hakika) wanaelekea kuwa na mapenzi nacho kwani unakuwa unawakosesha raha yao.

Kama imewezekana awali, itashindikana sasa? Tuwaachie serikali tuone kama maamuzi ya kuamuru ISP wa Tz ku-block itasaidia walau.

Itaniuma endapo mwana JF mmojawapo atachafuliwa kule... Nawapenda nyote na nisingependa kuona mnasingiziwa wala kuchafuliwa na Ze Uchungu.

Nilipoona wamemgusa Salva, nikajua JK haupiti hata mwezi... I was damn right!
 
kubadilisha website na kukwepa block ni kitu kirahisi sana
hamna mshindi wa cyber war siku zote
ukiwa unaweka child porn ndio unatafutwa
kuhusiana na security ya google, hamna website duniani isiyokuwa na matatizo ya security, hata pentagon wanakuwa hacked
mimi hizo picha hata hazininyimi usingizi

halafu zeutamu hawajaandika jina la mtu
 
Last edited:
Si kama haiwezekani kuiweka chini Ze Uchungu, hapana... Rahisi sana na ndo maana pamoja na kwamba mwanzoni ilikuwa chini ya Google (ambao wanaheshimika kwa security) ilipigwa chini na kuondolewa data zake zote.

Lakini ilikuwa ni kazi bure kwani serikali yetu kila kitu inataka kifanyike BURE na tena kwa risks zako!

Pia, haipendezi kuchukua maamuzi ya ku-hack kitu ambacho watu wengi (sina hakika) wanaelekea kuwa na mapenzi nacho kwani unakuwa unawakosesha raha yao.

Kama imewezekana awali, itashindikana sasa? Tuwaachie serikali tuone kama maamuzi ya kuamuru ISP wa Tz ku-block itasaidia walau.

Itaniuma endapo mwana JF mmojawapo atachafuliwa kule... Nawapenda nyote na nisingependa kuona mnasingiziwa wala kuchafuliwa na Ze Uchungu.

Nilipoona wamemgusa Salva, nikajua JK haupiti hata mwezi... I was damn right!

Hapo kwenye red, mkuu una uhakika kama hakuna tayari? Inabidi host wao awe notified kuwa jamaa wanaweka picha chafu na hakuna mambo ya age verification.
 
fmes
mtu binafsi huwezi kwa ajili ya resource watakushinda kwa wingi
nchi kwa nchi inawezekana us , china, russia wenyewe kwa wenyewe
russia ni wabaya sana

kwa russia wana uza software za hack ambazo ni user friendly mtu ambaye anamatumizi kidogo tuu ya computer anaweza kuzitumia...
 
ALL IN ALL,pamoja na ubaya wake,huyu UTAMU ni kichwa,what else can explain hii uproar,na nchi kuingia in a state of panic kwa ku order utamu awe blocked in tanzania.if only angetumia huu ujuzi kwa maendeleo ya nchi tungenufaika
 
Ebana eeeh ila Zeutamu siku hizi pouwa sana kujivinjari maana naona wameiboresha site yao. Kuna kipindi ilikuwa slow kichizi hadi nikawa siitembelei.
 
- Lakini huwezi fanya haya mambo China, au wao wana system tofauti ya internent?

FMES!

There you are!!!!!!!!!!!!!!!

tunapenda sana visingizio, wakati tuna mifano ya walioshinda au kudhibiti haya mambo hata kama sio kwa silimia 1000, lakini kama wameshinda kwa asilimia 99 then ni washindi. China pamoja na wingi wao 1.4bilioni, wameweza sana, sisi je tulio milioni 40??

viongozi wamelala! hakuna anayejali!

thread hii mpaka sasa imechangiwa na watu 289 ni namba kubwa ndani ya siku 2, kuna swali najiuliza sipati jibu, acha nisiulize! sio kawaida sana!
 
Kulikoni kiongozi kuwekwa ze utamu? Je ni kweli anafanya haya au software zao?
 
There you are!!!!!!!!!!!!!!!

thread hii mpaka sasa imechangiwa na watu 289 ni namba kubwa ndani ya siku 2, kuna swali najiuliza sipati jibu, acha nisiulize! sio kawaida sana!

kwa kawaida magazeti ya gossip ndio yanauza kuliko magazeti yote duniani
ni watu wachache wanasoma FT, the economist
 
There you are!!!!!!!!!!!!!!!

tunapenda sana visingizio, wakati tuna mifano ya walioshinda au kudhibiti haya mambo hata kama sio kwa silimia 1000, lakini kama wameshinda kwa asilimia 99 then ni washindi. China pamoja na wingi wao 1.4bilioni, wameweza sana, sisi je tulio milioni 40??

viongozi wamelala! hakuna anayejali!

thread hii mpaka sasa imechangiwa na watu 289 ni namba kubwa ndani ya siku 2, kuna swali najiuliza sipati jibu, acha nisiulize! sio kawaida sana!

Mawazo yako ni hatari mno jamaa, sidhani kama unaelewa ukubwa wa unachokizungumzia....ingekuwa China hata hii JF isingekuwepo hewani!!

Acha ma-emotions ndugu, sheria na demokrasia ya kusema isipindishwe kwa furaha za wachache! Kwani kosa la utamu hasa ni nini?

Angalia mteremko wenye utelezi hapo mbele, binafsi hata mshua wangu akitundikwa kwa zeutamu, siwezi kuchukua msimamo kama wako!!! Sisi ni binadamu, hii ni 2009 na huu ndio mtandao wa intaneti, ni kama kokolo (kwa wale wa kanda ya ziwa)...samaki na mijimawe vyote vinavuliwa.......
 
Hii ndio catch-22: kutokemea kitendo cha zeutamu ni sawa na kukisapoti.Lakini kwa kukemea hapa hadharani,ndio virusi vya tovuti hiyo vimesambaa kwa kasi zaidi.

Japo naafiki kuwa freedom of expression ina mipaka yake,na japo naamini kuwa si uungwana ku-photshop picha ya rais kwa uchafu wa namna hiyo,lakini nadhani tuepuke matabaka.Picha husika imewekwa pale once,lakini sijui kunda ndoa,engagements,friendships ngapi zimeshavunjika kutokana na picha au habari zao kuwekwa kwenye tovuti hiyo.Unfortunately,reaction haikuwa kubwa kama hii.Whether ni JK,muuza mitumba pale Manzese,mwanafunzi wa St Augustine au IFM,au yeyote yule,kama amewekwa picha ambayo jamii haiafikiani nayo basi kelele ziwe kubwa na huenda zikasaidia kukomesha uchafu wa namna hiyo.
 
Hujanywa wewe leo eeeh? Maana unaongea na kueleweka...

Ninapoandika soma kwa kutumia lens ili uone vizuri, nazimia watu kama Hunter S. Thompson, upo?!!? Mvivu wa kufikiria wewe na ndio maana unasikiliza watu kama Rush na Hannity.......kakojoe ukalale, muda wa kucheza gololi ushakwisha!😎
 
Hii ndio catch-22: kutokemea kitendo cha zeutamu ni sawa na kukisapoti.Lakini kwa kukemea hapa hadharani,ndio virusi vya tovuti hiyo vimesambaa kwa kasi zaidi.

Japo naafiki kuwa freedom of expression ina mipaka yake,na japo naamini kuwa si uungwana ku-photshop picha ya rais kwa uchafu wa namna hiyo,lakini nadhani tuepuke matabaka.Picha husika imewekwa pale once,lakini sijui kunda ndoa,engagements,friendships ngapi zimeshavunjika kutokana na picha au habari zao kuwekwa kwenye tovuti hiyo.Unfortunately,reaction haikuwa kubwa kama hii.Whether ni JK,muuza mitumba pale Manzese,mwanafunzi wa St Augustine au IFM,au yeyote yule,kama amewekwa picha ambayo jamii haiafikiani nayo basi kelele ziwe kubwa na huenda zikasaidia kukomesha uchafu wa namna hiyo.

Wapi, kwa hulka za binadamu ni kuwa, watu wengi wana-enjoy utamu! Uchungu ni pale wewe/mimi, familia, jamaa au rafiki wa karibu akiwekwa pale....vinginevyo ni raha tupu na ndio maana kuna bonge la traffic kule...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom