BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
Gembe ile picha bado ipo.
Hivi haiwezekani kuwatoa hawa WALA VYA BURE yaani viongozi wa dini? Ingelikuwa poa sana kuwaweka pale Pengo na rafiki zake wakiwania visenti vya Lowasa. Ila ambao sielewi ni WATUMISHI WA MUNGU. Sijui kwa nini wanajiita hivyo ilihali ni watumishi wa wanasiasa. Mie naona heri viongozi wa dini wawe wanapita kugombea uongozi huo ili na wao watudanganye from day one wakiwa wanaomba kazi. Watoe hongo kupata kazi hiyo, watuahidi maneno matamu na kuchinya ng'ombe siku ya mkutano. Tupewe na T-shirt mpya maana hatimaye tutavaa vazi jipya baada ya miaka kadhaa tukiwa tunavaa vya kununua umeinama.
Bahati mbaya muda sina na picha zao sina. Vinginevyo hawa PENGUIN wala vya bure ningelilala nao sambamba kwa huyo Zeutamu hadi washike adabu zao na waanze kuwa watumishi wa Mungu kwelikweli na si utapelitapeli.
Mkuu sikonge,
Issue yangu ya kwanza ni kwamba maneno yanayohusu wachungaji na kashfa zao, hayana uhusiano na thread hii, so nikasema labda ungeipeleka kny thread husika!
La pili, kwa maoni yangu si sahihi kuweka comments za ujumla .like, mapadre...bla blaaaabla, wachungaji....blablabla....maaskofu.....! mashekhe etc ..kama unakuwa na uhakika na unalo sema , just point out kwamba kwa mfano, Askofu Pengo kafanya hili na lile au Kakobe kafanya ......! Ukijumlisha unakwaza waumini wao, updre ni taasisi nyeti ambayo waumini wao wanaiheshimu sana...so better kuheshimu hilo na sisi!
Mimi binafsi ni ex seminarian, so najua maisha ya kiroho ya mapadre wetu hasa, wanajua kuna exceptions pia, najua pia kuna case by case ambazo naweza kuzitaja kabisa zilizotokea na kuleta mkanganyiko kanisani......!
Lakini siwezi sema eti Mapdre ni wahuni, matapeli...though kuna padre mmoja (sasa ni marehemu, RIP) alishanitapeli mkwanja wangu! siwezi generalise kusema...wachungaji ni wezi....kuna baadhi walikuwa fantastic acha kabisa!
Currently Active Users Viewing This Thread: 135 (56 members and 79 guests)
911, B52, BabaDesi, Bint, BINTI SAYUNI, bob, Bonnie1974, borntown, Burn, Congo, Damky, Dawson, Degauche2008, Gozigumu, Iteitei Lya Kitee, jethro, Kaka Mdogo, Kang, Kidatu, Lifer, Magehema, mahesabu, matejoo, Mbogela, Mbweem, mchizi, mimi, Mkora, Morani75, mshiiri, mwalimu, mwanahawa, MyTanzania, Nassoroc, newmzalendo, Ngorunde, obhusegwe, Opaque, rolemodel, sambah, samvande2002, Sem, semilong, Shaycas, Shemzigwa, shishye, Sikonge, Single D, SMU, Son of Alaska, ygjunior, Zak Malang, Zanaki, Zungu Pule
Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu mchngu, watu kibao wamechafuliwa kule. Ila siku itakapokuwa zamu yako ama ya ndugu wako wa karibu ndio utajua kuwa ile web haifai.
masikini jk,wahanga waliokwisha wekwa na watakaowekwa zaidi!..ni vijimambo tu
inaonyesha jinsi gani watu wana confidence kuexpress wanavyotaka na hii ni mojawapo ya gharama za teknolojia. We have to face it!..
dada belinda sasa tovuti hiyo imeshafungwa toka saa 10 mchana wa leo saa za afrika ya mashariki
naomba na mimi nipatiwa kipande cha mwili wake hata ikiwa sikio sawa tu.
dada belinda sasa tovuti hiyo imeshafungwa toka saa 10 mchana wa leo saa za afrika ya mashariki
Mimi nataka kujua hivi wamarekani wali-react vipi kutokana na kile kikatuni cha Bush akiwa anamtia Osaba Bin Laden?.Maana kwa issue hii ya Jk siyo katuni ya kwanza kwa raisi kufanyiwa hivi imeshawahi kutokea kwa maraisi wengine.Au Bush na Condo Rice walikuwa nao wako katika tendo la ndoa?
Mwanakijiji naona umeto amfano wa Bill clinton na monica tuu lakini kuna mtano bora ni wa Bush na Osama.
Hey Sasha..bado nasubiri ile quote...🙂
But you have a point....kuna moja ya John Kerry akilana denda na John Edwards.....au Nailin Palin....
Sisemi kwamba ni sawa lakini natambua hali halisi na mazingira tunayoishi sasa kuwa kuzuia mambo kama hayo HAIWEZEKANI!!
Oh Nyani sorry nilikuwa carried away na baby sitting my niece.