Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,448
- 25,833
upo ambao unakua kwa mtu mmoja alafu yeye anafanya Initiation za catalyst kwa huyu mwingine ili wawe kwenye level moja,Ala kumbe!
Swali langu ni je, huo upendo mnajikuta wote wawili mkiwa nao au hata kama uko kwa mmoja bado ni 'True-Love'
na upo ule ambao mnajikuta wote wawili mmeClick pamoja....maisha yanaendelea.