Kuna first love experience alafu kuna true love!
Ni mfano wa furaha ya kununua gari kwa mara ya kwanza. Haimaanishi kua huwezi kufurahi tena siku ukinunua gari jingine, pengine gari bora kuliko la kwanza.
So, it depends on how you perceive the so called "true love".
Kuna feeling flani unique unapopata kitu kwa mara ya kwanza. Wengi huchanganya hii as true love, kumbe it's just a first time fantasy!
Life is short, ukinivunja moyo mi naujenga tena!
Mleta mada umekula?
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]