Exaclty ma'am [emoji18] (ila usiniulize nawaza nini, nsije kuumbuka bure)[emoji23][emoji23]
Kwahiyo ninachokiwaza sasa hivi nawewe wawaza ichoicho..?my beloved soulmate
Kama tamthilia doh!!1. Mke wangu alinijua kupitia mahusiano ya mimi na huyo ninaemzungumzia. Uhusiano wetu ulishamili sana kiasi kwamba kwa upande wa huku kipindi hicho,ndio ilikuwa copy moja babkubwa. (mfano aliwahi kuchapwa na staff nzima ksbb alichora jina langu na lake ubaoni,mimi naitwa R yeye N. akachora R wa N,N wa R)(lakini tulikuwa hatusomi pamoja)(hiyo ni baadhi tu ya tuliyopitia,ni mengi sana). Kwa hiyo tulivuma sana. Wenyewe walikuwa ni wasabato na mke wangu ni msabato kwa hiyo walikuwa na vipindi vyao wanakutana wanaweka kambi mahala fulani wanafunzi wote wa kisabato. Vipindi vya mikusanyiko kama hiyo mke wangu alikuwa kila mara ananiona na N. Akavutiwa sana na hiyo copy yetu,kwa hiyo baadae sana ikawa ndio mwanzo wa mimi na mke wangu
2. Kuhusu kukumbushia kwa mvutano (sumaku) uliokuwepo hapo isingewezekana kupita bila kutumbukia huko
Na wewe hujala?Wacha weee.
[emoji23][emoji23]Exaclty ma'am [emoji18] (ila usiniulize nawaza nini, nsije kuumbuka bure)
Naam naam tena usisahau i dont usualy fall in love with girls, but your my "doctor's prescription", some girls are drugs to men [emoji41][emoji44]
NO, walaaa sikuongelea soul mates mimi, naongelea hiyo hiyo true love maana inaweza ikatokea kwa mtu ambae yeye hajisikii sawa na wewe lkn kwa soul mates huwa feelings zinakuwa mutual.Hawa wanashindwa kutofautisha kati ya TRUE LOVE na SOUL MATE.
True love inaweza ikatokea hata mara 1,000,000,000/= kwa mtu mmoja, mfano mzuri wanawake wengi hua wana true love katika mahusiano mengi wanayoingia, wanaume hua kichwa cha juu kinapelekeshwa sana na kichwa cha chini.
Ila "Soul Mate" ndio hutokea mara moja katika maisha tu, na kwa watu wachache sanaaa duniani, wenye bahati sanaa (wengi hua haiwatokei katika maisha yao yote).
"Soul Mate" ni pale mtu anapopata mwenza ambae wanaendana kila kitu, kuanzia tabia, hisia, fikra, mapenzi, n.k (Hua hata wakiwa mbali, muda mwingine hufikiria jambo moja kwa pamoja, huyu anawaza kitu ambacho mwenzake anakiwaza pia muda huo huo).
Mfano mzuri me na yna2[emoji18] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Sujaruka chochote we binti[emoji16]Hahahaaaa!! Unaruka vihunzi eeeh!!!
Kabisa rafikiangu. kuna muda nakaa nafikiria niiweke kwenye filamu,ina maumivu makali ndani yake muda mwingineKama tamthilia doh!!
Pole sana..ila kwa kidogo ulichoandika nimekipendaKabisa rafikiangu. kuna muda nakaa nafikiria niiweke kwenye filamu,ina maumivu makali ndani yake muda mwingine
[emoji3]Kwa maandiko haya niseme tu Huyu anaeninyemelea atakua na true love
Asante sana. Naamini sitopenda tena katika maisha yangu yote. Yoyote nitakaemwambia hivyo nitakuwa kabisa namdanganya. Nitabaki nae katika yale mazoea tuPole sana..ila kwa kidogo ulichoandika nimekipenda
[emoji3][emoji3][emoji3]
Ila mkeo si angalau wampenda?Asante sana. Naamini sitopenda tena katika maisha yangu yote. Yoyote nitakaemwambia hivyo nitakuwa kabisa namdanganya. Nitabaki nae katika yale mazoea tu
maybe but... Naposema tu love means sio kumpenda mtu sana, ni namna tu ambayo mtu unakuwa na mtu unampenda na yeye vivo hivyo kwa msukumo wa kipekee, mara nyingi huwapata wateule wachache, 😂😂, sio tu ukiwa na mtu ukapendana nae sana ndio iwe true love, pia changamoto hiyo ya kuwa mbali ndio inayonipa credit kusema hiyo haikuwa true love, true love ina muongozo kutoka kwa mungu, once it start... It never end! Wanabahatika wachache kuwa nayo.Nitakujibu hivi. Ni mara wale waliopitia TRUE LOVE wengi hawajaoana/hawako pamoja. Mimi nina miaka 42 sasa. Nina bahati ksbb nilipitia hiyo TRUE LOVE tena ile deeply love,nikiwa na miaka 26. Bahati mbaya nilikuwa bado sijawa sawa kimaisha na huyo mwenzangu alikuwa mwanafunzi wa boading mbali kabisa na wazazi wake . Alipomaliza kidato cha 4,ilibidi asafiri mpaka mkoa mwingine kuungana na familia yake. Kumbuka muda huo ilikuwa kipindi cha analogies kuwasiriana mpaka barua tu,sio kama sasa (wengi kipindi hicho walikuwa wanapotezana ksbb ya mawasiriano yalikuwa hafifu). Huko akasafiri nje ya nchi zaidi ya miaka 8 (hiyo inatosha mtu kuanzisha relationship nyingine ksbb kwanza hajui yule anaempenda kwa dhati kama wataonana tena ksbb ya mawasiriano.). Akarudi Tz akajaribu kunitafuta bila mafanikio. Mimi nikaoa na yeye akaolewa. (kumbuka hapo kabla ya kuoa nimepitia mahusiano mengine mengine,lakini katika vyote nilikuwa namkumbuka sana saaaaana yeye,na yeye huko alikuwa anahangaika sana moyoni mwake kuhusu mimi ).Mwaka 2007 kipindi ambacho mawasiriano ya digital yakawa yameshamili,tukafanikiwa kukutana tena. (Lakini tumekutana tena huku kila mmoja ana familia.)(mpaka mke wangu anajua kwamba niliekuwa nampenda kwa dhati duniani ni huyo mmoja). (Kwa mambo yaliyopitia pitia sana hapo nyuma,natamani niiweke katika mtiririko wa filamu hivi)
Nimependa mara mbili kwenye maisha yangu. Yule wa kwanza tulivyoachana nilijia sitopata mtu nikampenda kama yeye. Nikapata mtu nikampenda kuliko nilivyompenda yeye. Na sasa hivi kuna mkaka huku JF nampenda hadi najihisi kuchanganyikiwa.
Endelea mkuu tujifunze kitu.Sio kweli, binafsi ilishanitokea mara mbili, mmoja alikuwa mnene sana na sipendi wanene. Mwingine alikuwa msudani(mweusi) ila ana umbo la kike haswa sura mwendo urefu na bashasha zote shida ni kuwa na mimi ni msudani, kila nikitafakari atatoka mtoto gani akili inaruka. Nikampata mweupe sasa, hadi leo najuta. Naishia hapo.
Asante kwa kunistiri #Soulmate[emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha nikae kimya sitaki uumbuke soulmate[emoji23][emoji23]
Naunga mkono hojaKwenye maisha yangu nimependa mara moja tu ila tangu niumizwe sidhani kama ata kuna kaupendo kamebaki tena kwangu ni mwendo wa kulamba papuchi na kusepa ata demu hawe mkali vipi na kuhusu swala la wivu kwangu ni No.