Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,200
- 2,603
Penda kwa akili mkuu wanadamu hubadilika sana.
kwan huo umri bado unaibiwa?Wacha we! Nani huyo unamuibia?
Mzee mie naona mapicha picha tu kupenda hata sielewagi as long as kila kitu kinaenda sawa mi naonaga poa tuMzee inamaana haujawi kupenda?
Ahaa wap penzi lake la kijambazoi huyo dada yako
Mi next move huwa inakuwaga hotter than previous. Nikiacha kitu naacha full nikianzisha jipya it's like ndo first time au nimelogwa mie.
tafuta pesa upate true love
mapenzi ya kweli hayapo kizazi hiki pesa tu ndo kila kitu
Sasa hapo pepo ni mim wewe au true love?Pepo tokaaaaaa!!!
Tufundishe basiNa hamuwezi kujua.
Hahahaha mm ndio huwa napenda hvyo............sasa uki fall in love deep halaf ukiachwa maumivu yake hayavumiliki mkuuUpende then usiwe seriously hapo utakua hujapenda...
Hahahaha mm ndio huwa napenda hvyo............sasa uki fall in love deep halaf ukiachwa maumivu yake hayavumiliki mkuu
Ni kweli mkuukizazi hiki usifall in love deep ile sehemu ya deep itumie kutafuta pesa
Afadhal uje unikemeeWewe.
Ha ha ha ha ningeshangaa ungekubaliSitaki.
Kuwa mvumilivu mkuu ni kipigo cha wengi .Jikaze ndio ukubwa mkuuDa mkuu yule demu aliyenitesaga kanipa usugu dadeki kidume nilifikia hatua ya kutka kujidedisha
True love sio lazima iwe pande zote mbili,mara nyingi anaependwa hapendi na kinyume chake.sijui ni kwanini hutokea hivyo...Sasa true love halafu mnaachana? True love never ends! Mahali ambapo msisimko wa mapenzi unakuwepo hata nyakati za magonjwa kama kupooza, kansa, kufilisika n. K, kunapotokea. Kifo tu ndio kinawaachanisha, vinginevyo usiite true love, Wenye true love hawaachani.