Je "true love" hutokea mara moja tu maishani?

Je "true love" hutokea mara moja tu maishani?

Vishawish vingi kwa maisha ya saiz kupata true love patachelew kidg
 
Nikiwa na laki tano unaniuzia true love Kg ngapi mkuu?

haha
kwa kizazi hiki utaitwa honey baby mchumba mume then atakupa kwa siku kilo mbili na kilo moja ya amber itategemea pesa itaisha lini lkn kwa kiasi hicho wiki moja ushatemwa so kilo tatu ikiwemo moja special maana utasikia
Baby unajua nakupenda ukisema najua then atajibu nikupe nini ujue nakupenda
hapo jua anataka umwambie nipe amber
 
Hivi kupenda ni kuamua au huja auto au kwa vitu flan flan ukifanyiwa?
Kwa mtazamo wangu kupenda ni outo penzi ni kama ajali wakati mwingine kwa wale at first site...

Kuna wale wengine upendo wao hujengeka taratibu kutegemeana na mazingira ya ukaribu ambayo hujenga kuzoeana hapa na pale mwisho wanajikuta wako sayari moja...

So kupenda ni automatically na sio kuamua coz muda mwingine unaweza jikuta mapenzini na fulani bila kujua exctly ni lini umeanza kua na feelings nae

Back to the topic true love inaweza kua zaidi ya mara moja,ulimpenda yule mkashindwana hatimae kwasababu flan flan mkaachana, atakuja zaidi ya yule nae utampenda n.k
 
Kwa mtazamo wangu kupenda ni outo penzi ni kama ajali wakati mwingine kwa wale at first site...

Kuna wale wengine upendo wao hujengeka taratibu kutegemeana na mazingira ya ukaribu ambayo hujenga kuzoeana hapa na pale mwisho wanajikuta wako sayari moja...

So kupenda ni automatically na sio kuamua coz muda mwingine unaweza jikuta mapenzini na fulani bila kujua exctly ni lini umeanza kua na feelings nae

Back to the topic true love inaweza kua zaidi ya mara moja,ulimpenda yule mkashindwana hatimae kwasababu flan flan atakuja zaidi ya yule nae utampenda n.k
Very true.
 
labda hiyo unconditional ndiyo ngumu kutimiza.

Kuna katoto kamoja huwa tunakutana sehemu nakapenda saana hadi wazazi wake na vitoto vyenzake vinajua.

Mimi ukiniuliza nakapendea nini sijui maana hata kufaidika nako sifaidiki. Ni mtoto ambaye kwangu ni kama mwanangu.

Mwanzo nilikuwa sijui kama nakapenda hadi nilipoanza kupata malalamiko ya wenzake kwamba nikitoka nao nakapendelea...Nilikubali malalamiko.

Sasa utajiuliza kama tunapenda watu kulingana na tuvyofaidika nao, huyu nafaidika naye nini! sex siwezi, pesa hakawezi kunipa,.......
Angalia usije ukapewa kesi ya babu Seya mkuu maana vitoto ni nyara za serikali! Kuhusu unconditional love ni ngumu sana hasa katika ulimwengu wa 3 wa dunia, mahala ambapo njaa ndio imepewa kipaumbele! Ila kwa wenzetu walioendelea dunia ya kwanza Unconditional love zipo zipo! Kwetu ukiona unapendwa pendwa jua umeshaweza kujitegemea, unajilisha na unajidungua na pamba kali, hesabu ni kwamba utamnufaisha na yeye kwa namna moja au nyingine! Kwa akili za namna hio unconditional love ni ngumu kupatikana!
 


If you love something, let it go
If it comes back to you, it yours.

If it doesn't, fvck it, you never know
You got me, I got you, dog with a dog
Ride 'til we die.


The streets are mine I might leave the heat behind ‘Cause in the streets, I'm fine.
 
For sure, anayesema hivyo hajawahi kupenda ni huku tunatamaniana tu kwasababu fulani fulani.
Wakati hisia ni kitu kingine unajikuta tu nje ya matakwa yako lol

Kuishinda hisia uwe na nguvu za ziada
 
1.Ukiwa unakutana na show mbovu lazima kumbukumbu zitarudi kwa aliyewahi kukurusha roho kisawasawa hata kama ni mara moja
2.ukiwa unakutana na mtu mkorofi lazima kumbukumbu zitarudi kwa yule alikuwa mpole na mkarimu kwako.
3.ukikutana na mtu asiye na future na maisha lazima kumbukumbu zitarudi kwa yule ulimuona alikuwa mpambanaji.
Kama itatokea uliwahi kuwa na mwenye sifa nyingi pamoja na nilizozitaja hapo hakika utamkumbuka mpaka mauti yanakukuta.
 
kwa nn arudi mkuu, wakati kule anapata anacho hitaji.. na kilikosekana aliko toka
Wengi wanapendaga misuko suko hao, mwanzoni huwa ni malaika ila lazma uwe mtu wa kumjambisha! Ukiwa unasomeka anaishia kukucheat!
 
Back
Top Bottom