Mpwa una mambo....Ni mzuri na ana smile nzuri.Hata sijuagi jina lake, nilikuta tu kapicha nikakapenda
Sasa mbona unabania true love?Mie sio mchoyo.
Atakuwa kakosa wa kumpa ikabidi akurushie wewe.Mie ndio true love wake.
Whooooza. Kweli tunaendana uncle, wote wapoleeeeeeMpwa una mambo....Ni mzuri na ana smile nzuri.
And she looks decent...Unaendana nayo.
Nikiwa na laki tano unaniuzia true love Kg ngapi mkuu?tafuta pesa upate true love
mapenzi ya kweli hayapo kizazi hiki pesa tu ndo kila kitu
Ni kweli. Nilikuwa nataka nikutext unitumie muamalaUnaniwza sana[emoji85][emoji85][emoji125][emoji125]
Mcheza kwao hutuzwa.Uncle uncle uncle!!!!
Nikimkumbuka jina nitakuambia.Whooooza. Kweli tunaendana uncle, wote wapoleeeeee
NdagaNikimkumbuka jina nitakuambia.