Je tatizo ni watu au mfumo?

Je tatizo ni watu au mfumo?

Tatizo ni watu au jamii husika,mifumo na utamaduni huundwa na watu kwa kuweka standard wanazozihitaji kwa wakati wao.Ndio maana jambo moja linaweza likawa sawa kwa sasa na lisiwe sawa kwa wakati fulani.

Watu hujenga mfumo,na watu huweka sheria za watu kuishi ndani ya mfumo huo,hivyo umasikini sio hoja-unaweza ukawa maskini na ukapata nyazifa ukashindwa kuiba kutokana na mifumo iliyoweka hapa chukulia mfano ciongozi wakati wa nyerere wengi wao walitokea familia masikini na walikuwa masikini but hawakuweza kujimbikizia mali kutokana na mifumo iliyowekwa.

Kumbuka kuwa mfumo wa uchumi wa kibepari tunaoutumia kwa kiasi kikubwa haukutokana na matakwa ya watu na viongozi wetu ni mfumo wa kuletewa au tulio adapt.Moja na hasara kubwa ya mfumo wa ubepari matokeo yake ndio haya ikiwemo ubinafsi (individualism),wananchi kumiliki mali (hapa lazima kutoke ufisadi).

So relaxy brother mifumo mizuri inajengwa na watu wenye uzalendo mfano ni viongozi wa Irani,Putin,Ibrahim Traore na wengineo.
 
Sitaki mijadala na wewe kwa sababu hatujawahi kua sawa kwa mitazamo so hua naona napoteza energy kubwa sana
Hapana hicho sio kigezo...
Kutokuwa sawa kwenye aspect moja haisababishi utajirudia kwenye mjadala Mwingine au labda unanichukia na husemi. Hilo ndo jibu sahihi
 
Hapana hicho sio kigezo...
Kutokuwa sawa kwenye aspect moja haisababishi utajirudia kwenye mjadala Mwingine au labda unanichukia na husemi. Hilo ndo jibu sahihi
Sikuchukii na sina sababu nikuchukie sawa ☺️
 
Hivi ni kweli ni rahisi kulalamika ukiwa nje ya mfumo eti kwa sababu wewe si mnufaika wa moja kwa moja?

Kwa mfano, unaweza kusema mtu fulani ni fisadi. Lakini je, ukipewa nafasi ya huyo mtu, una uhakika kwamba na wewe hutageuka kuwa fisadi?

Mfano👇

Mtu asiye na kipato anaweza kuapa kwamba yeye hawezi kununua magari ya gharama kubwa kwa sababu anaona ni anasa na ni matumizi ya kupita kiasi

Lakini nadhani wakati huo anakuwa hana uwezo wa kifedha, hivyo huwaona wanaofanya hivyo kama wanafuja mali

Je, ikitokea siku pesa zikamjia, bado atabaki na msimamo huo, au atataka kubebwa kichwani na hataki hata kukanyaga ardhi?

Hii ina maana gani?
Je, mara nyingi watu hulalamika kwa sababu wako nje ya mfumo na hawanufaiki nao?

Mwisho kabisa, kama ni kweli kwamba binadamu anaweza kubadilika anapoingia kwenye mfumo wa madaraka au kunufaika nao, ni mfumo gani imara unapaswa kuwekwa ili kuzuia tabia ya (kulamba asali? )

Kama tatizo ni mfumo Je

Mfumo gani unaweza kuwafanya viongozi wasijisahau wanapopewa madaraka na wasije wakafanya yale yale waliyokuwa wanawakosoa waliowatangulia?

NB: Sina chama chochote
Lakini napenda nchi yenye ustawi bora
ShesRise_1 🤚
ndugu mdau,

nadhani hivyo ni visibgizio tu,
changamoto ni uvivu unaopelekea wengi kua wanyonge kiuchumi na kujikuta kila ugumu wanaopitia wanasingizia wengine kumbe mchawi ni uvivu wao binafsi.

ni imani yangu watu wakifanya kazi kwa bidii na kujikomboa au kujitosheleza kiuchumi, hapatakua na malalamiko na visingizio vyepesi kama hivyo, wala hapatakua na kubabaika au kunyoosheana vidole na kusingiziana vitu ambavyo havina uhusiano kabisa na makosa yako yanayofanya uwe mlalamikaji tu kwa kila kitu.

ni vigumu mno kwa mtu ambae ameshindwa kujikomboa yeye binafsi na familia yake kiuchumi, halafua eti anakuja kupiga makelele na porojo mingi hapa eti anaweza kuwakomboa mamilioni ya watu kisiasa na kuwapeleka kanani kwa kubadilisha katiba au tume ya uchaguz, that's completely useless.

jikomboe kwanza wewe binafsi na familia yako kiuchumi, kijamii na kisiasa, na hapo ndipoo unaweza kua na angalau uhalali au uthubutu wa kuadai kukomboa wengine, na hapo unaweza pia kueleweka kwa watu wengi zaidi, otherwise utaungana na wengine tu, kutafuta visingizio vyepesi vya kuhalalisha hali uliyonayo ambavyo ni vitu useless kabisa.

kama taifa,
tuna fursa bado kwa kila mTanzania kokote aliko, kujifunga mkaja na kujitutumua ipasavyo katika kufanya kazi kwa bidii na maarifa, kwasababu we have almost everything as country kumfanya kila moja tajiri.

na ndio maana, hapa Tanzania, kwa mtazamo wa kawaida tu,
kua tajiri au maskini ni uamuzi wa mtu binafsi tu.

yaani kitu gani hakuna ndio uwe maskini?
Tanzania tuna kila kitu cha kumfanya kila mTanzania kua tajiri, ni uchaguzi na uamuzi wako tu.

habari ya kusingizia mfumo, sijui katiba, tume ya uchaguzi au viongozi ni kujaribu kuhalalisha na kuuseal umaskini na kutembea nao daima maishani mwako :1Head:
 
Huu mkeka uliotandika hapa aisee
Anyway asante kwa kushiriki
Karibu tena 🫴
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom