Je tatizo ni watu au mfumo?

Je tatizo ni watu au mfumo?

Huu mkeka uliotandika hapa aisee
Anyway asante kwa kushiriki
Karibu tena 🫓
Yes,
ni muhimu kuelezana ukweli kuliko kung'ang'ana na visingizio ambavyo havimsogezi yeyote kokote, bali kumdidimiza zaidi na kukoleza utamaduni wa kulalamika na kulaumu daily šŸ’
 
Sawa asante
 
Hivi ni kweli ni rahisi kulalamika ukiwa nje ya mfumo eti kwa sababu wewe si mnufaika wa moja kwa moja?

Kwa mfano, unaweza kusema mtu fulani ni fisadi. Lakini je, ukipewa nafasi ya huyo mtu, una uhakika kwamba na wewe hutageuka kuwa fisadi?

MfanošŸ‘‡

Mtu asiye na kipato anaweza kuapa kwamba yeye hawezi kununua magari ya gharama kubwa kwa sababu anaona ni anasa na ni matumizi ya kupita kiasi

Lakini nadhani wakati huo anakuwa hana uwezo wa kifedha, hivyo huwaona wanaofanya hivyo kama wanafuja mali

Je, ikitokea siku pesa zikamjia, bado atabaki na msimamo huo, au atataka kubebwa kichwani na hataki hata kukanyaga ardhi?

Hii ina maana gani?
Je, mara nyingi watu hulalamika kwa sababu wako nje ya mfumo na hawanufaiki nao?

Mwisho kabisa, kama ni kweli kwamba binadamu anaweza kubadilika anapoingia kwenye mfumo wa madaraka au kunufaika nao, ni mfumo gani imara unapaswa kuwekwa ili kuzuia tabia ya (kulamba asali? )

Kama tatizo ni mfumo Je

Mfumo gani unaweza kuwafanya viongozi wasijisahau wanapopewa madaraka na wasije wakafanya yale yale waliyokuwa wanawakosoa waliowatangulia?

NB: Sina chama chochote
Lakini napenda nchi yenye ustawi bora
ShesRise_1 🤚
Kupunguza madaraka ya rais, ikiwemo aweze kushitakiwa akiwa au ametoka madarakani.
 
Kukosekana kwa mfumo unaojenga TAASISI IMARA huzaa hilo tatizo la watu badhirifu wakiwa katika ofisi za umma.
TAASISI DHAIFU hufanya watendaji wezi na fisadi serikalini kutokuwa na hofu ya ufisadi wao wakijua taasisi husika hazitachukua hatua kuwaadhibu. Kimsingi, katika serikali ambayo mfumo wake wa uongozi ni CORRUPT na BADHIRIFU,taasisi zake hulinda mafisadi kwa nguvu zote, na watendaji safi serikalini wanafanya kazi katika mazingira magumu.

Mfano,taasisi ya kupambana na rushwa na ufisadi Uingereza SFO ilibaini katika uchunguzi wake kwamba Tanzania ilipigwa katika ununuzi wake wa radar toka kwa kampuni ya BAE systems ya Uingereza kwa mtindo wa kuzidisha bei kinyume na bei halisi. Kwa vile kampuni ya BAE ni ya serikali walihojiwa kwa nini walizidisha cha juu kuiumiza Tanzania. Watendaji wa BAE walijitetea kwa kusema ukweli na kuonesha ushahidi kwamba waliolazimisha ichomekwe bei ya juu ni watendaji wa Tanzania(mteja) ,..na hicho kilichozidi wao BAE walilazimishwa waingize katika akaunti ya mtu aliyejifanya kama mtu wa kati...,Mtanzania Sailesh Vithlani ambaye naye aligawa hizo fedha kwa watendaji wa serikali wakiwemo mwanasheria mkuu wa serikali Andrew Chenge na gavana wa benki kuu wa wakati huo Ideiss Rashid kupitia katika akaunti zao nje ya nchi katka visiwa vya Jersey.
Taasisi ya SFO ilifungua kesi dhidi ya kampuni ya BAE ambayo ikakubali kumaliza kesi nje ya mahakama kwa kurudisha fedha zote ambazo Tanzania ilifanya malipp kwa ununuzi wa rada,yaani ni kama Tanzania iipewa rada bure.
Lakini upande wa pili, taasisi TAKUKURU, japo walipewa ushahidi kamili kuhusu ushiriki wa upigaji uliofanywa na watendaji wa serikali, taasisi hiyo iliwalinda.
Hiyo kashfa ya rada ilitoa picha kamili kwamba mfumo mzima wa serikali umeoza kwa rushwa na ufisadi kwa sababu kitendo cha watendaji wakuu TAKUKURU kuwalinda wapigaji tulitegemea wangeondolewa kazini ili kupisha wwngine kuchukua hatua, lakini ikawa kinyume chake: nao wakalindwa na mamlaka zilizowateua.

Uzoefu umeonesha kupitia nchi mbalimbali kwamba taasisi zikiwa imara na huru watendaji serikalini huhofia kufanya ubadhirifu, na isitoshe baada ya muda mrefu hiyo hali ya taasisi kusimamia na kujenga misingi iliyonyooka kwa lazima, hatimaye hujenga hulka na tabia ya uadilifu kwa watu katika jamii bila kujielewa.

Ili kujenga taasisi imara ni lazima kwanza ziwe huru kufanya kazi zake, ikiwa na maana ya badiliko la vipengele vya kikatiba.
Hali ilivyo sasa taasisi haziko huru kufanya kazi zake.
Pata picha mke wa waziri mkuu wa Israel, Netanyahu alishtakiwa na kupigwa faini, na pia kulazimishwa kulipa fedha za umma isivyotakiwa. Aliwanunulia chakula wageni waliokuja ikulu kwa kugiza katika mgahawa wa kifahari badala ya wapishi wa ikulu kupika ili kupunguza gharama.
 
Shukran umefafanua vyema ā™„ļø
 
Binadamu ni kiumbe wa mazingira na fursa. Pia ukumbuke ni rahisi sana kuwa msafi kama hauna fursa ya kuwa mchafu. Sasa ishu haipo kwenye watu. Ishu ipo kwenye mifumo.
 
Tatizo ni watu au jamii husika,mifumo na utamaduni huundwa na watu kwa kuweka standard wanazozihitaji kwa wakati wao.Ndio maana jambo moja linaweza likawa sawa kwa sasa na lisiwe sawa kwa wakati fulani.

Watu hujenga mfumo,na watu huweka sheria za watu kuishi ndani ya mfumo huo,hivyo umasikini sio hoja-unaweza ukawa maskini na ukapata nyazifa ukashindwa kuiba kutokana na mifumo iliyoweka hapa chukulia mfano ciongozi wakati wa nyerere wengi wao walitokea familia masikini na walikuwa masikini but hawakuweza kujimbikizia mali kutokana na mifumo iliyowekwa.

Kumbuka kuwa mfumo wa uchumi wa kibepari tunaoutumia kwa kiasi kikubwa haukutokana na matakwa ya watu na viongozi wetu ni mfumo wa kuletewa au tulio adapt.Moja na hasara kubwa ya mfumo wa ubepari matokeo yake ndio haya ikiwemo ubinafsi (individualism),wananchi kumiliki mali (hapa lazima kutoke ufisadi).

So relaxy brother mifumo mizuri inajengwa na watu wenye uzalendo mfano ni viongozi wa Irani,Putin,Ibrahim Traore na wengineo.
Asante karibu tena
 
Hivi ni kweli ni rahisi kulalamika ukiwa nje ya mfumo eti kwa sababu wewe si mnufaika wa moja kwa moja?

Kwa mfano, unaweza kusema mtu fulani ni fisadi. Lakini je, ukipewa nafasi ya huyo mtu, una uhakika kwamba na wewe hutageuka kuwa fisadi?

MfanošŸ‘‡

Mtu asiye na kipato anaweza kuapa kwamba yeye hawezi kununua magari ya gharama kubwa kwa sababu anaona ni anasa na ni matumizi ya kupita kiasi

Lakini nadhani wakati huo anakuwa hana uwezo wa kifedha, hivyo huwaona wanaofanya hivyo kama wanafuja mali

Je, ikitokea siku pesa zikamjia, bado atabaki na msimamo huo, au atataka kubebwa kichwani na hataki hata kukanyaga ardhi?

Hii ina maana gani?
Je, mara nyingi watu hulalamika kwa sababu wako nje ya mfumo na hawanufaiki nao?

Mwisho kabisa, kama ni kweli kwamba binadamu anaweza kubadilika anapoingia kwenye mfumo wa madaraka au kunufaika nao, ni mfumo gani imara unapaswa kuwekwa ili kuzuia tabia ya (kulamba asali? )

Kama tatizo ni mfumo Je

Mfumo gani unaweza kuwafanya viongozi wasijisahau wanapopewa madaraka na wasije wakafanya yale yale waliyokuwa wanawakosoa waliowatangulia?

NB: Sina chama chochote
Lakini napenda nchi yenye ustawi bora
ShesRise_1 🤚
Tatizo ni mifumo ya watu na muunganiko na mfumo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom