Je Suis Maxence...

Je Suis Maxence...

Kama ni kunuka wacha kinuke, maana hii ni sawa na mwanao kulawitiwa afu unaambiwa piga kimya usimseme mlawiti utamwaibisha utamvunjia heshima, nasema let the universe knows the way things goes in Tanzania

ABC news na Fox news za Marekani wamereport habari hii katika namna ambayo inatujengea taswira mbaya!
Watalii tutawasikia kwenye bomba,mtalii gani atakayesikia habari hiyo halafu aje?Si ataona nchi ni ya kidikteta
 
Utalii moja, kitakachofuata ni kuanza kuangaliwa kwa jicho la tatu na wanaotusaidia kutupa half ya ugali wetu, halafu wakiona sivyo waanze kutubana. Tatizo ni kwamba wanao umia always ni wale wa kawaida na sio hawa wanaoleta huu ubabe wa kishamba.
 
3c7f9fc9d3678148b334230ae7c5163f.jpg
 
My mind is playing tricks on me..may be,why do i have this gut feeling when it comes to Mwanakijiji???!..may be again my mind is playing tricks on me.

Dont worry mwaka 2008 wakati kina Max &Mike wamekamatwa Mwanakijiji alikuwa mmoja ya waliopigania jamaa watolewe kwa mara ya kwanza nilimsikia Mwanakijiji anahojiwa na BBC Radio.Tuendelee kupaza sauti tusikate tamaa kwenye hili
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
 
Kama ni kunuka wacha kinuke, maana hii ni sawa na mwanao kulawitiwa afu unaambiwa piga kimya usimseme mlawiti utamwaibisha utamvunjia heshima, nasema let the universe knows the way things goes in Tanzania
.
Msisahau kuwajuza na lile tukio la maiti za vijana wazalendo kwenye viroba vya mawe kwamba msaidizi wa sizonje aliwabatiza maiti wakimbizi haramu.
Hivyo hata kama mtalii anakuja afrika mashariki, kuvuka mpaka kuingia tanzania awe amekamilisha vibali kwa kuwa sheria ishapitishwa mhamiaji haramu hukumu yake ni kuuawa kutiwa ndani ya roba la mawe na kutumbikizwa mtoni.
 
Kwa pamoja tutashinda.. Si mara ya kwanza watawala kutaka kutufunga midomo, kitu wasichoelewa ni kuwa katika ulimwegu huu wa sasa huwezi kuwafunga watu wote na kwa muda wote midomo.
Walianza na wapinzani, wakaja kwenye Bungelive, wakaenda kwenye vyombo vya habari, wakayafungia magazeti sasa wanataka kuchukua hata hiki kitu kidogo tulichobaki nacho? (yaani mtu kutoa mawazo yake bila kumuogopa mtu yeyote).

Kuwaacha watawala wafanye watalao kana kwamba sisi ni watoto wadogo nini kosa ambalo halitakiwa kufanywa na kizazi hiki ni lazima watanzania bila kujali itikadi zetu tuchore mstari, tuwambie watawala mpaka hapa basi, tumewachangua kwa ajili ya kutuongoza si kwa ajili ya kutupangia cha kusema.
Na kwa hili tutafanikiwa ikiwa sotekwa pamoja tutashikamana na kupigania haki yetu.

Asante sana Alinda. Umeusemea moyo wangu!
 
[HASHTAG]#freemaxence[/HASHTAG]
[HASHTAG]#bringbackourben[/HASHTAG]
[HASHTAG]#justiceforlema[/HASHTAG]
 
ABC news na Fox news za Marekani wamereport habari hii katika namna ambayo inatujengea taswira mbaya!
Watalii tutawasikia kwenye bomba,mtalii gani atakayesikia habari hiyo halafu aje?Si ataona nchi ni ya kidikteta
Washington post, New York times pia
 
mo nom est MAXENCE MELO-my name is MAXENCE MELO.

mungu yu pamoja nawe,the whole world is with you!
 
Sijui madreamliner yao yataenda kupakia nani?

m

Hayo ma dreamliner yanalenga kupakia wakina Faru John na Twiga....

Kwa hali hii ya uchumi kwa mtanzania, hiyo Dreamliner ataisikia kwenye Bomba tu.
 
Back
Top Bottom