Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Tumepata wa kutuangamiza, bwana yule...mwachieni MaxABC news na Fox news za Marekani wamereport habari hii katika namna ambayo inatujengea taswira mbaya!
Watalii tutawasikia kwenye bomba,mtalii gani atakayesikia habari hiyo halafu aje?Si ataona nchi ni ya kidikteta