Hayo ma dreamliner yanalenga kupakia wakina Faru John na Twiga....
Kwa hali hii ya uchumi kwa mtanzania, hiyo Dreamliner ataisikia kwenye Bomba tu.
Usihofu, zitawabeba CCM kutoka airport hadi ukumbi wa Ikulu kwa ajili ile mikutano yao ya kila baada ya miezi minne na miezi sita.Sasa hizo ndege za watalii zinaenda kubeba watalii wa namna gani
Tunajua kuna watu mmetumwa kufanya spinning,kwenye hili hamtafanikiwa kamwe.Hatutamuacha Max peke yakeUsimkosee Mungu adabu, ombi lako hilo halina tija
Bila JF kujirekebisha hakuna ushindi. Kama USA wanamtaka kumnyonga snowden (JF STLYE YAKE) na kama China hawaruhusu social media forums kama JF na bado wana maendeleo sembuse sisi ambao ndiyo tumepata mkombozi! Max na uongozi wa JF inabidi wakubali ya serikali, wajue hakuna wanachopigania, watz si viumbe waaminifu ndiyo maana Dj alijiwahi vibilion vyake kadhaa akamuachia zigo nyeupe sasa anahangaika nalo
Ebu toa upuuz wako hapa.....mambo ya China na USA yanaingiaje ss hapaBila JF kujirekebisha hakuna ushindi. Kama USA wanamtaka kumnyonga snowden (JF STLYE YAKE) na kama China hawaruhusu social media forums kama JF na bado wana maendeleo sembuse sisi ambao ndiyo tumepata mkombozi! Max na uongozi wa JF inabidi wakubali ya serikali, wajue hakuna wanachopigania, watz si viumbe waaminifu ndiyo maana Dj alijiwahi vibilion vyake kadhaa akamuachia zigo nyeupe sasa anahangaika nalo