Tulikubaliana tuweke sig. Za kuhimiza kuachiwa kwa Max lakini mwitikio ni mdogo
Hapa jf kuna mashushu wanaompelekea Mungufuli data, tuweke avatar ya Max kama alama ya kumkanya Mungufuli asijeingilia uhuru wetu wa kuongea.
Hatuwezi kustarehe na familia zetu wakati mpiganaji analala nyuma ya nondo huku familia yake ikimkosa Baba.
Magufuli asituletee ubeberu kwenye nchi yetu,
Yeye ni mtumishi wa umma na baada ya miaka tisa ata-step down...... Asijitwike umungu.
Mungu wangu katika jina la Yesu.Nasimama Kwa unyeyekevu nikiomba Kwa Imani haki itendeke Kwa Kijana Mero.Mungu wangu na bwana wangu,shusha mkono wako wenye nguvu na Watu Wote watambue Kuwa Wewe Ni Mungu wa haki.Asante Mungu Kwa sababu unaenda kusimama.Wewe tu ndo unayetustahilisha na Wewe tu ndiye ujuaye haki.Mengine yote ni batili.Amina.
Link Tunapocheka Wanapolia, Tusisahau Tutaacha Kucheka na Kuanza Kulia!![]()
![]()
Kama nilivyoahidi; waasisi na wadau wa JF tuna maamuzi ambayo tutayafanya ili kulinda uwepo na uthabiti wa JF. Wakaopoteza ni wale wanaofikiri wamepata.
Link Nilivyomdhania Magufuli kumbe sivyo...My mind is playing tricks on me..may be,why do i have this gut feeling when it comes to Mwanakijiji???!..may be again my mind is playing tricks on me.
Wamepata nini?.. Wakaopoteza ni wale wanaofikiri wamepata.
kungekuwa na mpango wa kutafsiri hiki kitabu.![]()
![]()
Kama nilivyoahidi; waasisi na wadau wa JF tuna maamuzi ambayo tutayafanya ili kulinda uwepo na uthabiti wa JF. Wakaopoteza ni wale wanaofikiri wamepata.
Japo huu ni muda wa kusahau tofauti na kuunganisha nguvu, frankly speaking, sina imani na Mwanakijiji
that makes the two of us...My mind is playing tricks on me..may be,why do i have this gut feeling when it comes to Mwanakijiji???!..may be again my mind is playing tricks on me.
Hivi kwa akili yako unaamini kabisa mtalii aache kuja Tanzania kisa Maxence yuko ndani? Unachekesha sana kijana.ABC news na Fox news za Marekani wamereport habari hii katika namna ambayo inatujengea taswira mbaya!
Watalii tutawasikia kwenye bomba,mtalii gani atakayesikia habari hiyo halafu aje?Si ataona nchi ni ya kidikteta