Je, sheria zikisimamiwa ipasavyo Watanzania wengi watapona haswa kwenye unyanyasi wa kingono?

Accumen Mo

JF-Expert Member
May 15, 2022
15,044
32,753
Habari wanajf

Kama kichwa cha habari hapo kinavyosema, je ni kweli kibongo bongo wengi watapona?

Tukichukulia mfano kilichomkuta huyo jamaa hapo chini ,sina hakika kama ni kweli hizo shutuma ila walianza kumuandama siku nyingi sana tangu akiwa Barcelona,natumai washapata ushahidi wa kutosha ndio maana kapewa hukumu.

Sasa tuje huku kwetu, hii tabia ya vijana haswa wa kiume kipind cha baleghe wengi wanakuwa na tabia za hovyo hususani kupenda kushika shika wanawake sehemu nyeti yaani ile vurugu hata iwe sehemu ya hadhara .

Tabia hii inakera sana ni kukosa maadili haswa wanawake wanaishia kuwa wahanga wakubwa sana yaani ,wengine unakuta hata dukani ,sokoni na sehemu zenye hadhara hawataki kwenda kwa sababu ya vijana kuwabuguzi kwa kuwashika sehemu nyeti kama makalia na matiti.

Je sheria hizi dhidi ya ulinzi wa mwanamke hususani kweny kumfanyia shambulio la aibu na unyanyasaji wa kingoni watu watapona kweli?

Screenshot_20240222-135703.png
e
 
View attachment 2912155e
Alibaka au?
 
Kwa Tanzania hakuna 🍞 ngumu kwa chai
 
Back
Top Bottom