amicky008
Member
- Jan 6, 2019
- 15
- 20
Matumizi ya akili bandia/mnemba tayari yameshaanza kutumika hapa nchini kwetu, tarehe 27 Januari yalifanyika majaribio ya mwalimu akiwa Kibaha akafundisha shule ya Dodoma na limefanyika jaribio lingine la daktari akiwa Dar es Salaam akafanya upasuaji Zanzibar na ukafanikiwa, je hatuoni sasa kwamba introduction ya artificial intelligence inawaondolea watu ajira zao kabisa?," - Askofu Josephat Gwajima
"Matumizi ya roboti yanalenga kutatua tatizo la upungufu wa watu duniani na nchi za magharibi mahali ambapo roboti inatokea watu ni wachache huku kwetu bado tuko na watu wengi sana, itakuwaje itakapofikia wakati mwalimu roboto, daktari na rubani roboti tutawapeleka wapi watu tunaowa-train leo je serikali imejiandaa kujua cha kufanya baada ya roboti kuchukua ukanda wa ajira zote?," - Askofu Josephat Gwajima