Je, Russia hana ubavu kama Iran?

Je, Russia hana ubavu kama Iran?

Fafanua kwanini unasema nguvu ya kijeshi ya Russia ni ndogo na kwa kigezo gani?
Yani ni kukosa eshima kumfananisha Iran na Mrusi. Yani ukitaka kujua warusi wanaleta balance of power hapa Duniani basi angalia kule Syria ndege za Israel zilivyokuwa zinashambulia kutokea mbali wala uwezi kuta zinaingia ndani ya Syria, ni kwa sababu ya mifumo ya kirusi japo walikuwa na mifumo ya muda ila imefanyiwa update.
Iran walitaka kuziwa mfumo S-300 na s-400 ila wakajifanya wajanja wakanunua baadhi wakaenda kufanyia utafiti kisha wakatengeneza za kwao zinazofanana na zile za Warusi.
Warusi wakasema aina shida sisi sio milima ipo siku maji na mafuta vitajitenga.na kweli mifumo yao imeonekana kuwa walipoteza pesa na muda. Sasa ivi wanataka kurudi tena kwa Mrusi na kwenda kwa mchina kununua ndege.

Kupambana na Israel ni lazima uwe na Anti air missile za kutosha pia fighter aircraft za maana ili ndege zikutane angani ila kama zikitokea zimepenya basi zinakutana na SAM. Hapa lazima uwe na Mig 31, mig 35, SU-35, Su-57.
Mfano mzuri kule F-16 inavyoshindwa kufua dafu Ukraine
 
L
Vita ya IRAN imechukua wiki moja kuisha kutokana na mashambulizi makali ya Iran Marekani ameona aingilie kati kuomba Casefire why not RussiaUjraine War?Kwa upande Russia ni miaka kadhaa mpaka sasa Operesheni haijaisha kitu ambacho kinatia shaka.
Lengo la Vita vya Iran ulikuwa sio kuiteka au kuikalia Iran. Lengo ilikuwa kuwaonya Iran kwamba wakiendelea na mpango wao wa kutengeneza silaha za nyukulia na kufadhiri magaidi, Israel ina uwezo wa kuwafikia na kuwabonda kwao kama ilivyowabonda Hezbollah au Hamas. Maana mashambulizi ya mara ya kwanza yaliyofanywa na Iran kwa Israel wakati wanawatetea Hamas ilionekana kama Iran imekuwa super power haiwezi kuguswa. Ndio maana vita imeisha mapema Israel ameshamaliza somo lake na Iran anayeamini amechokozwa hawezi kuendelea kumwazibu anayeamini amemchokoza kwa sababu uwezo huo hana.
 
Hapana sisi Zanzibar sio ndugu zetu kabsa. Nilisoma Leeds university Uingereza na jamaa fulani wawili Wazanzibarl hawakutaka kabsa kujitambulisha kama Watanzania bali walitaka wajulikane kuwa ni Wazanzibari.
Kifupi tuwakataeni kabsa Abdul na mama yake wala hawatakiwi hata kumiliki ardhi huku bara

NDIYO MATUNDA YA KUWAVAMIA WATU , HATA MIMI SIWEZI KUJIITA MTANZANIA WAKATI WAZAZI WANGU WALIULIWA NA nYERERE KATIKA JITIHADA ZAKE ZA KUICHUKUWA ZANZIBAR KWA NGUVU. yAANI KWA SIKU MOJA NYRERE ALIUWA WATU ZAIDI YA ELFU KUMI , UNAFIKIRI KUNA MZANZIBARI ANAIPENDA TANGANYIKA ? mawe...
 
Vita ya IRAN imechukua wiki moja kuisha kutokana na mashambulizi makali ya Iran Marekani ameona aingilie kati kuomba Casefire why not RussiaUjraine War?Kwa upande Russia ni miaka kadhaa mpaka sasa Operesheni haijaisha kitu ambacho kinatia shaka.Mbona
Mbona kuna utofauti kabisa irani imefanya mashambulio imeua askari wangapi wa Israel na Israel imeua askari wangapi wa irani ?...kule ukrain wanakufa malaki ya askari kwa mwaka na maelfu ya siraha yanateketea ...maelfu ya vifaru ,mizinga nk...siraha zilizo tumika ukrain zimefanya hadi maghara ya NATO kukauka
 
L

Lengo la Vita vya Iran ulikuwa sio kuiteka au kuikalia Iran. Lengo ilikuwa kuwaonya Iran kwamba wakiendelea na mpango wao wa kutengeneza silaha za nyukulia na kufadhiri magaidi, Israel ina uwezo wa kuwafikia na kuwabonda kwao kama ilivyowabonda Hezbollah au Hamas. Maana mashambulizi ya mara ya kwanza yaliyofanywa na Iran kwa Israel wakati wanawatetea Hamas ilionekana kama Iran imekuwa super power haiwezi kuguswa. Ndio maana vita imeisha mapema Israel ameshamaliza somo lake na Iran anayeamini amechokozwa hawezi kuendelea kumwazibu anayeamini amemchokoza kwa sababu uwezo huo hana.
sasa hayo maelezo na malengo yako
 
Ni aina mbili tofauti za vita. Russia anataka kuchukua sehemu ya Ukraine na anataka kuzuia Ukraine kujiunga na NATO. Mission hiyo imekutana na resistance kubwa kutokana na msaada wanaopata Ukraine toka mataifa makubwa ya Ulaya na Marekani.

Ukraine haiwezi kuamua vita iishe lini, wao wamevamiwa. Russia anaweza kuamua kumaliza vita hata leo, iwapo ataachana na mission yake. Kwahiyo sio swala la nguvu ya mashambulizi. Ni kipimo cha what is at stake. Israel alianzisha vita ambayo ingeendelea ingeweza kusambaa Middle East yote na kuhusisha nchi nyingine kubwa duniani katika pande tofauti. Haikuwa na manufaa kwa Israel kuendelea na vita. Na pia ilikuwa inamuathiri Dr Trump kisiasa nyumbani, maana wafuasi wake wa karibu walianza kumpinga kushiriki vita vya Israel.
 
Urusi ni simba wa karatasi[emoji23]
Vita ya IRAN imechukua wiki moja kuisha kutokana na mashambulizi makali ya Iran Marekani ameona aingilie kati kuomba Casefire why not RussiaUjraine War?Kwa upande Russia ni miaka kadhaa mpaka sasa Operesheni haijaisha kitu ambacho kinatia shaka.
 
NDIYO MATUNDA YA KUWAVAMIA WATU , HATA MIMI SIWEZI KUJIITA MTANZANIA WAKATI WAZAZI WANGU WALIULIWA NA nYERERE KATIKA JITIHADA ZAKE ZA KUICHUKUWA ZANZIBAR KWA NGUVU. yAANI KWA SIKU MOJA NYRERE ALIUWA WATU ZAIDI YA ELFU KUMI , UNAFIKIRI KUNA MZANZIBARI ANAIPENDA TANGANYIKA ? mawe...
Kwamba mauaji yafanywe na Karume na wenzie lawama apewe Nyerere!? Udini utakuua ustaadhi. Mapinduzi Zenji yalifanywa na nani? Why lawama umtupie Nyerere?
 
Kwamba mauaji yafanywe na Karume na wenzie lawama apewe Nyerere!? Udini utakuua ustaadhi. Mapinduzi Zenji yalifanywa na nani? Why lawama umtupie Nyerere?

Yaani wewe uliyezaliwa Tanganyika ujuwe zaidi ya Mimi Mzanzibari?

Kasome kitabu kinaitwa kwaheri ukoloni kwaheri uhuru , pia kitabu cha Aliyekuwa Raisi wa Zanzibar Aboud Jumbe , kinaitwa The partnership utapata kujua mengi
 
Vita ya IRAN imechukua wiki moja kuisha kutokana na mashambulizi makali ya Iran Marekani ameona aingilie kati kuomba Casefire why not RussiaUjraine War?Kwa upande Russia ni miaka kadhaa mpaka sasa Operesheni haijaisha kitu ambacho kinatia shaka.
Wewe unaijuwa Russia au unaisikia kwenye Radio?? Russia ikihamua kutumia nguvu zake kikamirifu si Zelensky au Ukraine yenyewe itasalimika.

Kitu kingine watu wanasahau kwamba asili mia kubwa ya Warusi wanao ishi Israel wana asili ya Kiyahudi, sasa mlitaka Urusi ifanye nini!

Putin alimwambia Trump kwamba anaweza kusaidia kuwapatanisha Israel na Iran kumaliza vita, Trump akamjibu Putin kwa jeuri eti" kwanza maliza matatizo yako na Ukraine alimjibu Putin kijeuri sana!!!
 
ezeikel ni boya hilo , watu walioshiba waliandika huku wakijinywia mbege. MWANDISHI HAJULIKANI
MABIBI NA MABWANA, MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA MWENYE MASIKIO HAAMBIWI SIKIA! ! !

images - 2025-06-27T125102.522.jpeg

EZEKIELI YUKO LIIIIIVE!

DANIELI YUKO LIIIIIVE!

MATHAYO 24 YUKO LIIIIIVE!

UFUNUO YUKO LIIIIIVE!!

Lile steji la siku za mwisho ndo linasetiwa mubashara jamani na matukio yalishaanza kama yalivyotabiriwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita!

images - 2025-06-27T122001.281.jpeg

"Mungu si mtu, hata aseme uongo, wala yeye si mwanadamu, hata ajute. Je, anasema, kisha asitende? Je, anaahidi, asitimize?"
Hesabu.23.19.NEN

ITAFAHAMIKA.

"Ni mimi nitangazaye mwisho tangu mwanzo, naam, tangu zamani za kale, mambo ambayo hayajatendeka. Ninasema: Kusudi langu ndilo litakalosimama, nami nitatenda mapenzi yangu yote."
isa.46.10.NEN
 
Yani ni kukosa eshima kumfananisha Iran na Mrusi. Yani ukitaka kujua warusi wanaleta balance of power hapa Duniani basi angalia kule Syria ndege za Israel zilivyokuwa zinashambulia kutokea mbali wala uwezi kuta zinaingia ndani ya Syria, ni kwa sababu ya mifumo ya kirusi japo walikuwa na mifumo ya muda ila imefanyiwa update.
Iran walitaka kuziwa mfumo S-300 na s-400 ila wakajifanya wajanja wakanunua baadhi wakaenda kufanyia utafiti kisha wakatengeneza za kwao zinazofanana na zile za Warusi.
Warusi wakasema aina shida sisi sio milima ipo siku maji na mafuta vitajitenga.na kweli mifumo yao imeonekana kuwa walipoteza pesa na muda. Sasa ivi wanataka kurudi tena kwa Mrusi na kwenda kwa mchina kununua ndege.

Kupambana na Israel ni lazima uwe na Anti air missile za kutosha pia fighter aircraft za maana ili ndege zikutane angani ila kama zikitokea zimepenya basi zinakutana na SAM. Hapa lazima uwe na Mig 31, mig 35, SU-35, Su-57.
Mfano mzuri kule F-16 inavyoshindwa kufua dafu Ukraine
Hapo umetoa maelezo kimihemko na kishabiki tena sana.
-Sawa hatuwezi kumfananisha Iran na Urusi,ila HUWEZI ukamdogosha Iran kwa namna hiyo.

Tukianzia na mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran Khordak na Bavar-373 imeonesha ufanisi kuliko hata mifumo ya ulinzi mathalan Iron dome.Tukio la shambulizi la Israel dhidi ya Iran 2024 Oktoba lilionesha uwezo wa ulinzi wa anga wa Iran.
Pia ukija kwa tukio hili la sasa tambua kuwa Israel imetumia mashushushu kuharibu miundombinu ya ADS ya Iran iliyopelekea miundombinu mingi kufeli na kushindwa kulinda anga.
Tambua Iran ni taifa lenye vikwazo since 1979 ila kwa alipofikia amejitahidi sana.
Hiyo Russia yenyewe iliwahi kutoa sapoti kwa IRAQ dhidi ya IRAN vita ya Iraq-Iran war ya 1980-1988 lakini Iran ikasimama imara.
Hiyo Urusi vikwazo ilivyowekewa na EU dhidi ya vita na Ukraine Urusi ilishaanza kutepeta kiuchumi,kama sio CHINA kuisaidia Urusi kwa financial aid basi Urusi isingesimama.

Hata hizo S-400 zilizopo Urusi zilishindwa kuzuia drones za Ukraine ziliposhambulia ndani ya Urusi.

Sawa sio sahihi kumfananisha Urusi na Iran,ila SIO SAWA KUMDOGOSHA IRAN kama ulivyodai mkuu.

Maelezo yako yapo too biased.
 
L

Lengo la Vita vya Iran ulikuwa sio kuiteka au kuikalia Iran. Lengo ilikuwa kuwaonya Iran kwamba wakiendelea na mpango wao wa kutengeneza silaha za nyukulia na kufadhiri magaidi, Israel ina uwezo wa kuwafikia na kuwabonda kwao kama ilivyowabonda Hezbollah au Hamas. Maana mashambulizi ya mara ya kwanza yaliyofanywa na Iran kwa Israel wakati wanawatetea Hamas ilionekana kama Iran imekuwa super power haiwezi kuguswa. Ndio maana vita imeisha mapema Israel ameshamaliza somo lake na Iran anayeamini amechokozwa hawezi kuendelea kumwazibu anayeamini amemchokoza kwa sababu uwezo huo hana.
Acha kupotosha watu wewe.
Lengo la Israel ilikua kui dismantle Iran kiuwezo wa kijeshi na kufanya regime change.
Ila mipango yote imefeli na kama sio USA na EU members France, Germany na UK kumuita Iran wajadiliane basi Israel ilikua inateketea.
Hivi ukifuatilia kikao Cha EU members na Iran!?
Ukweli mchungu ni kuwa Israel alitaka kuiangusha Iran kama alivyoiangusha Syria na Lebanon,ila akakutana na mfupa mgumu maana USA anayoitegemea kuingia naye vitani iligoma na EU members safari hii walikataa kuingia katika vita mid east.
 
Back
Top Bottom