Je, Russia hana ubavu kama Iran?

Je, Russia hana ubavu kama Iran?

Vita ya IRAN imechukua wiki moja kuisha kutokana na mashambulizi makali ya Iran Marekani ameona aingilie kati kuomba Casefire why not RussiaUjraine War?Kwa upande Russia ni miaka kadhaa mpaka sasa Operesheni haijaisha kitu ambacho kinatia shaka.
Una uhakika vita imeisha kwa kufikia malengo yaliyokusudiwa au kwa usuluhishi? Hiyo vita ingeweza kuwa ya milele kama USA asingeingilia kati maana malengo ya wahusika ni makubwa na magumu. Iran ana lengo la kuifuta Israel na Israel lengo lake ni kudhohofisha utawala wa Iran na kuubadilisha kabisa! Unahisi hayo malengo yangefikiwa lini?
 
Russia na Ukraine ni kama Tanganyika na Zanzibar hivyo puttin anawaonea huruma kuwapelekea moto wa nguvu
Hapana sisi Zanzibar sio ndugu zetu kabsa. Nilisoma Leeds university Uingereza na jamaa fulani wawili Wazanzibarl hawakutaka kabsa kujitambulisha kama Watanzania bali walitaka wajulikane kuwa ni Wazanzibari.
Kifupi tuwakataeni kabsa Abdul na mama yake wala hawatakiwi hata kumiliki ardhi huku bara
 
Una uhakika vita imeisha kwa kufikia malengo yaliyokusudiwa au kwa usuluhishi? Hiyo vita ingeweza kuwa ya milele kama USA asingeingilia kati maana malengo ya wahusika ni makubwa na magumu. Iran ana lengo la kuifuta Israel na Israel lengo lake ni kudhohofisha utawala wa Iran na kuubadilisha kabisa! Unahisi hayo malengo yangefikiwa lU

Una uhakika vita imeisha kwa kufikia malengo yaliyokusudiwa au kwa usuluhishi? Hiyo vita ingeweza kuwa ya milele kama USA asingeingilia kati maana malengo ya wahusika ni makubwa na magumu. Iran ana lengo la kuifuta Israel na Israel lengo lake ni kudhohofisha utawala wa Iran na kuubadilisha kabisa! Unahisi hayo malengo yangefikiwa lini?
Ukilinganisha ukubwa wa hizo nchi na aina ya silaha walizokuwa wakitumia ni wazi kabisa hata miezi 2 isingefika, lengo la iran la kufanya israel iwe flat kabisq lingetimia.
 
Malengo makuu ya SMO ya Russia ni

1. kupambana na wanazi wa Ukraine (Denazification)

2. Kupunguza au kuizua Ukraine kuwa na nguvu na tishio kijeshi.

3. Kutetea na kuwalinda warusi walioko Luhansk & Donetsk.

Malengo ya Urusi ni kabisa tofauti na Iran aliyekuwa anapambana kwa ajili ya kujilinda sababu ya shambulizi la ghafla kutoka Israel.
 
Jibu ni kwamba uharibifu na madhara yaliofanywa na Iran nchini Israel kwa muda wa siku 12 ni makubwa mno, kuliko uharibifu na madhara yaliofanywa na Russia nchini Ukraine kwa zaidi ya miaka miwili.

Kama hii vita ingepiganwa japo mwezi mmoja. Nakuhakikishia kuwa huko Israel kusingekuwa na jengo hata moja lililosimama. Kila kitu kingekuwa chini kama jangwa la Muhimbili to Magomeni.
Ahhhh
 
Vita ya IRAN imechukua wiki moja kuisha kutokana na mashambulizi makali ya Iran Marekani ameona aingilie kati kuomba Casefire why not RussiaUjraine War?Kwa upande Russia ni miaka kadhaa mpaka sasa Operesheni haijaisha kitu ambacho kinatia shaka.
Hii ni moja ya thread iliyoandikwa kwa uwezo mdogo sana wa kufikiri.
 
FB_IMG_17508020660791981.jpg
wako wanayapika huko.
Wanamvizia Tolla Bonta.
 
we measure weapons Quality(ubora) nakubaliana na wewe kuwa ni vita mbili tofauti but inaonekana Russia nguvu yake ya kijeshi ni ndogo na kumbuka hakuna mtu anayependa vita isiishe mapema.
Fafanua kwanini unasema nguvu ya kijeshi ya Russia ni ndogo na kwa kigezo gani?
 
Back
Top Bottom