Tufanye umeshinda bro.Tatizo lako unalazimisha vitu. hakuna habari ya kubebana kila mtu anafaidika na mwenzake, China asiponunua gesi na mafuta kwa Urusi unategemea atanunua wapi.pale wapo karibu na Urusi walichofanya wamejenga mabomba ili usafirishaji uwe rahisi.au unafikiri mafuta na gesi kila nchi inavyo ?
Case closed.