Je, Russia hana ubavu kama Iran?

Je, Russia hana ubavu kama Iran?

Ujue hata wewe kama ulikuwa na mteja wako anachukua kilo 2 alafu yupo mwingine anachukua nusu, yule wa kilo 2 akasusa kuchukua kilo 2 lakini yule wa nusu alivyosikia mwenzake kasusa yeye akakwambia yupo tayari kuongeza kiasi kingine. Je! utashindwa kufanya nae biashara kubwa zaidi
Mifano yako wala haiendani na hali halisi inayotokea kati ya Urusi na China.
Kuna favourable conditions za kibiashara ambazo China ameingia na Urusi ili kumbeba zaidi kwenye hili wakati wa vita.
Nakusihi nenda kasome zaidi ile article na kwa makini.
Kumbuka wanunuzi wakubwa wa oil and gas ya Urusi ni Germany kuliko China kabla ya 2022 vita kuanza.
 
S-300 zilienda kwa ajili ya mafunzo ili mzigo utakapokuwa tayari basi wasipate shida kutumia.ila cha ajabu Iran alivunja mkataba akasema mzigo umechelewa kufia kumbe ashatengeneza za kwake.
S300 zilikua functional ama operational pale Khomeini airport na sehemu zingine kama tatu ndani ya Iran.
Embu katizame shambulio la mwaka jana dhidi ya Iran lilivyozimwa na fananisha na la sasa.
 
We kweli kilaza. Madhara kwako ni hayo majengo sio. Ushaona maji Russia alivyoiharibu
Kwa wewe mpumbavu usieelewa propaganda za waisrael vizuri, unaweza udhani kuwa Israel imepata madhara ya majengo tu. Lakini kwa watu wenye akili timamu kama vile mimi tumeona, na kushuhudia bila shaka madhara makubwa waliyopata waisrael kutoka kwa Iran ndo maana...

1. Marekani akaingilia kuisadia Israel kupambana na Iran, kitu ambacho kwa Ukraine hakikufanyika maana hawakuona madhara makubwa ya kuwafanya waingilie kuisaidia nchi hiyo.
2. Akaomba vita iishe ili nchi hiyo isije kumalizwa na makombora hatari ya Iran yaliokuwa yanadondoshwa nchini humo kutokea Iran huku mifumo ya anga ya Marekani, UK, Ufaransa, Ujerumani, Jordan, Saudi Arabia na Israel yenyewe ikishindwa kuzuia chochote. Yani ilikuwa ni kama vile kuzuia maji kwa kutumia tenga.

Sasa nisiandike mengi.. hebu angalia body languages za hao viongozi wakuu wa Israel na Ukraine hapo pichani ili ujue ni nani ambae nchi yake ilipata madhara zaidi. Na usisahau kuwa kuba mmoja nchi yake ipo vitani miaka zaidi ya miwili na mungine ni week 1 tu lakini kabaki mifupa mitupu shingoni.

Pia ukitaka kujua kuwa Israel ilipigwa vibaya na Iran, zaidi ya vile Ilivyopigwa Ukraine na Russia. Sikiliza kwa makini maneno ya Trump hapo kwenye video, halaf uniambie kati ya wewe myahudi wa manyovu Kigoma, na raisi Trump wa Marekani ambae kila kinachofanyika Israel anakifahamu nani mwenye uelewa zaidi.
 
Attachments

  • Screenshot_20250703-094932.jpg
    Screenshot_20250703-094932.jpg
    326.9 KB · Views: 15
  • 20250620_225357.jpeg
    20250620_225357.jpeg
    21.3 KB · Views: 19
  • 6109767-d26bef7a12c4ddfee9fb5a550d6e8dfc.mp4
    1.7 MB
Kwa wewe mpumbavu usieelewa propaganda za waisrael vizuri, unaweza udhani kuwa Israel imepata madhara ya majengo tu. Lakini kwa watu wenye akili timamu kama vile mimi tumeona, na kushuhudia bila shaka madhara makubwa waliyopata waisrael kutoka kwa Iran ndo maana...

1. Marekani akaingilia kuisadia Israel kupambana na Iran, kitu ambacho kwa Ukraine hakikufanyika maana hawakuona madhara makubwa ya kuwafanya waingilie kuisaidia nchi hiyo.
2. Akaomba vita iishe ili nchi hiyo isije kumalizwa na makombora hatari ya Iran yaliokuwa yanadondoshwa nchini humo kutokea Iran huku mifumo ya anga ya Marekani, UK, Ufaransa, Ujerumani, Jordan, Saudi Arabia na Israel yenyewe ikishindwa kuzuia chochote. Yani ilikuwa ni kama vile kuzuia maji kwa kutumia tenga.

Sasa nisiandike mengi.. hebu angalia body languages za hao viongozi wakuu wa Israel na Ukraine hapo pichani ili ujue ni nani ambae nchi yake ilipata madhara zaidi. Na usisahau kuwa kuba mmoja nchi yake ipo vitani miaka zaidi ya miwili na mungine ni week 1 tu lakini kabaki mifupa mitupu shingoni.

Pia ukitaka kujua kuwa Israel ilipigwa vibaya na Iran, zaidi ya vile Ilivyopigwa Ukraine na Russia. Sikiliza kwa makini maneno ya Trump hapo kwenye video, halaf uniambie kati ya wewe myahudi wa manyovu Kigoma, na raisi Trump wa Marekani ambae kila kinachofanyika Israel anakifahamu nani mwenye uelewa zaidi.
Madrassa imewaaharibu sana
 
Mifano yako wala haiendani na hali halisi inayotokea kati ya Urusi na China.
Kuna favourable conditions za kibiashara ambazo China ameingia na Urusi ili kumbeba zaidi kwenye hili wakati wa vita.
Nakusihi nenda kasome zaidi ile article na kwa makini.
Kumbuka wanunuzi wakubwa wa oil and gas ya Urusi ni Germany kuliko China kabla ya 2022 vita kuanza.
Kwanza unatakiwa kujua biashara ya mafuta kati ya Urusi na China imeanza muda kabla ya hata ya vita vya Ukraine ila baada ya vita biashara imeongezeka zaidi na hii kwa sababu ya Ulaya kupunguza biashara na Urusi.hakuna sehemu ambayo kuna condition za kumbeba Mrusi
 
We jamaa una ubishi wa kindezi sana.
Hakuna asiyejua kuwa biashara ya mafuta kati ya Russia na China ni ya muda mrefu kabla ya vita,ila ukweli ni kwamba Kuna gap kubwa kabla na baada ya vita.
Utake usitake CHINA AMEMBEBA RUSSIA KIBIASHARA ILI KUMUOKOA NA VIKWAZO VYA KIUCHUMI.
Rudi kasome vizuri ile article bro,kama hujaelewa sema tukutafsirie.
 
Tatizo lako unalazimisha vitu. hakuna habari ya kubebana kila mtu anafaidika na mwenzake, China asiponunua gesi na mafuta kwa Urusi unategemea atanunua wapi.pale wapo karibu na Urusi walichofanya wamejenga mabomba ili usafirishaji uwe rahisi.au unafikiri mafuta na gesi kila nchi inavyo ?
 
Back
Top Bottom