mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,613
- 23,745
Ni ngumu kuficha madhaifu na mazuri ya Iran hata kama tunamshabikia. Kwenye upande wa balistic kiukweli aliwekeza nguvu kubwa na kweli imemsaidia sana ilo alikwepeki, vita vime balance kwa sababu ya uwezo walionyesha kwenye balistic ila ukija upande wa defence ipo wazi kuwa wameferi pakubwa sana kwa sababu kutokuzingatia maadui zao wanatumia mbinu gani vitani.Hapo umetoa maelezo kimihemko na kishabiki tena sana.
-Sawa hatuwezi kumfananisha Iran na Urusi,ila HUWEZI ukamdogosha Iran kwa namna hiyo.
Tukianzia na mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran Khordak na Bavar-373 imeonesha ufanisi kuliko hata mifumo ya ulinzi mathalan Iron dome.Tukio la shambulizi la Israel dhidi ya Iran 2024 Oktoba lilionesha uwezo wa ulinzi wa anga wa Iran.
Pia ukija kwa tukio hili la sasa tambua kuwa Israel imetumia mashushushu kuharibu miundombinu ya ADS ya Iran iliyopelekea miundombinu mingi kufeli na kushindwa kulinda anga.
Tambua Iran ni taifa lenye vikwazo since 1979 ila kwa alipofikia amejitahidi sana.
Hiyo Russia yenyewe iliwahi kutoa sapoti kwa IRAQ dhidi ya IRAN vita ya Iraq-Iran war ya 1980-1988 lakini Iran ikasimama imara.
Hiyo Urusi vikwazo ilivyowekewa na EU dhidi ya vita na Ukraine Urusi ilishaanza kutepeta kiuchumi,kama sio CHINA kuisaidia Urusi kwa financial aid basi Urusi isingesimama.
Hata hizo S-400 zilizopo Urusi zilishindwa kuzuia drones za Ukraine ziliposhambulia ndani ya Urusi.
Sawa sio sahihi kumfananisha Urusi na Iran,ila SIO SAWA KUMDOGOSHA IRAN kama ulivyodai mkuu.
Maelezo yako yapo too biased.
Hakuna chanzo chochote kile kinachotoa ushahidi juu ya msaada wa China kwa Urusi , Urusi kinachomsaidia ni nchi kubwa kwenye upande wa natural resources, ulaya na Marekani wanamtegemea zaidi Urusi kuliko Urusi anavyowategemea wao ila Iran anawategemea zaidi Ulaya na Marekani kuliko wao wanavyomtegemea.