Technologically, Militarily capability, Economical performance, Standards of living, culturally,. Tuanze na izo parameters
Tukianzia na teknolojia sasa hivi nchi inayoongoza kwa Research and development ni China.
Kwa technical expertise anaongoza S.Korea akifuatiwa na Japan Kesha China.
Nenda fuatilia hata wanafunzi best hapo USA kwa upande wa tech na science ni raia wa Marekani asili ya China,S.Korea ama Japan.
Millitary capability tusiangalie quantity (wingi wa vifaa vya jeshi kama manowari na ndege vita) tuangalie kwa actual ground jeshi la USA linaweza kufanya nini.
USA wenyewe Wana claim operation pekee waliyoshinda peke yao kwa nguvu zao ni Operation Cabanatuan dhidi ya Japan katika vita ya pili ya dunia.
Tukija kwa miaka ya sasa ukitizama kwa ground hakuna mission USA aliingia akafanikiwa,ya mwisho ni hapo Russia amemsaidia Ukraine kwa silaha akapenyeza hadi askari kwa mtindo wa mercenaries lakini hakufua dafu.
Economic performance GDP growth China ni kubwa kuliko ya USA.
China Ina dollar reserve kubwa kuliko USA.
China ina gold reserve kubwa kuliko USA.
China ni the most industrialized nation in the world kuliko taifa lolote.
IMF na WB walitoa ripoti kuwa China ndio taifa lililoongoza kukopesha mataifa mengi kuliko hata World bank,imeshakopesha mataifa zaidi ya 138 na imesamehe mataifa 38 madeni.
Kitu ambacho benki kuu ya USA haina ubavu wa kufanya.
China ina purchasing power parity kuliko USA.