Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,558
Sio masikhara madikteta WOTE hua wanaandaa watoto wa dada zao kurithi kitiAcha maskhara Mkuu....
😂😂😂

Habari za leo wakubwa?
Kama tulivyoona kilichotokea Zanzibar maji kufuata mkondo. Je, itawezeka na huku Tanzania bara?
Kama tujuavyo uchaguzi ujao 2025 ni zamu ya upande wa dini nyingine kutoa mgombea yaani (Muslims)
Nimekaa nimetafakari nikaona kabisa huku tunaweza kufanyiwa kama Zanzibar the next One ni Ridhiwani mtoto pendwa na maarafu wa mzee wetu Jakaya.
Je, ataweza kufikia hata robo ya utawala wa Baba yake? Njoo utoe maoni yako.
View attachment 1627663
"Age come with wisdom" Kwan katiba inalimit maximum ya umri anaotakiwa kuwa nao mtu anaewania nafasi ya urais?Umri wake mkubwa mno
Ila rais mpya atapatikana kabla 2025Habari za leo wakubwa?