Je, Ridhiwani Jakaya Kikwete anaweza kuwa Rais ajaye wa JMT?

Huo ndio mkataba yeye au mama yake hujaelewa mama yake kwann ameenda kupambana kwao apate ubunge. na huyu akimaliza mtoto wa jPM anapewa urais, huu mziki wa ccm tutauweza endapo tutaweza kuwaondoa mapema sana ili chama kife kabisa
Habari za leo wakubwa?

Kama tulivyoona kilichotokea Zanzibar maji kufuata mkondo. Je, itawezeka na huku Tanzania bara?...
 
Hatumtakiiiiiiiiii abaki na chalinze yake yaaaani asitoe hata USO wake Dodoma
Labda ikulu ya chalinze.

Hana nyota ya urais kazi kutembelea nyota ya mzee wake.
 
Vp kama Dr Shein akije kutia nia kuna wa kumzuia kwa heshima aliyo jijengea nmeona kama na ye ameanza kulifikilia hili
 
Habari za leo wakubwa?

Kama tulivyoona kilichotokea Zanzibar maji kufuata mkondo. Je, itawezeka na huku Tanzania bara?

Kama tujuavyo uchaguzi ujao 2025 ni zamu ya upande wa dini nyingine kutoa mgombea yaani (Muslims)

Nimekaa nimetafakari nikaona kabisa huku tunaweza kufanyiwa kama Zanzibar the next One ni Ridhiwani mtoto pendwa na maarafu wa mzee wetu Jakaya.

Je, ataweza kufikia hata robo ya utawala wa Baba yake? Njoo utoe maoni yako.

View attachment 1627663
Hizi ndoto hizi, kwanini usijitabirie Mwenyewe
 
Habari za leo wakubwa?

Kama tulivyoona kilichotokea Zanzibar maji kufuata mkondo. Je, itawezeka na huku Tanzania bara?

Kama tujuavyo uchaguzi ujao 2025 ni zamu ya upande wa dini nyingine kutoa mgombea yaani (Muslims)

Nimekaa nimetafakari nikaona kabisa huku tunaweza kufanyiwa kama Zanzibar the next One ni Ridhiwani mtoto pendwa na maarafu wa mzee wetu Jakaya.

Je, ataweza kufikia hata robo ya utawala wa Baba yake? Njoo utoe maoni yako.

View attachment 1627663

Kwani Tanganyika ni Zanzibar? Tanganyika inapeleka Marais Zanzibar lakini yenyewe haina mfumo huo. Ridhiwani aibe mali za nchi kwa mgongo wa baba yake lakini Urais atausikia tbccm.
 
Back
Top Bottom