Je, Ridhiwani Jakaya Kikwete anaweza kuwa Rais ajaye wa JMT?

Habari za leo wakubwa?

Kama tulivyoona kilichotokea Zanzibar maji kufuata mkondo. Je, itawezeka na huku Tanzania bara?

Kama tujuavyo uchaguzi ujao 2025 ni zamu ya upande wa dini nyingine kutoa mgombea yaani (Muslims)

Nimekaa nimetafakari nikaona kabisa huku tunaweza kufanyiwa kama Zanzibar the next One ni Ridhiwani mtoto pendwa na maarafu wa mzee wetu Jakaya.

Je, ataweza kufikia hata robo ya utawala wa Baba yake? Njoo utoe maoni yako.

View attachment 1627663

Itabidi afanye investment kubwa sana kwenye akili yake. Hajatulia. Ana papara. Anapenda sifa na ukubwa. Itakuwa ngumu sana kwake. Dr. Mwinyi si mtu wa longolongo wala makundi. He has survived the test of time.
 
Habari za leo wakubwa?

Kama tulivyoona kilichotokea Zanzibar maji kufuata mkondo. Je, itawezeka na huku Tanzania bara?

Kama tujuavyo uchaguzi ujao 2025 ni zamu ya upande wa dini nyingine kutoa mgombea yaani (Muslims)

Nimekaa nimetafakari nikaona kabisa huku tunaweza kufanyiwa kama Zanzibar the next One ni Ridhiwani mtoto pendwa na maarafu wa mzee wetu Jakaya.

Je, ataweza kufikia hata robo ya utawala wa Baba yake? Njoo utoe maoni yako.

View attachment 1627663
Ila rais mpya atapatikana kabla 2025
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom