Je, Ridhiwani Jakaya Kikwete anaweza kuwa Rais ajaye wa JMT?

Huo ndio mkataba yeye au mama yake hujaelewa mama yake kwann ameenda kupambana kwao apate ubunge. na huyu akimaliza mtoto wa jPM anapewa urais, huu mziki wa ccm tutauweza endapo tutaweza kuwaondoa mapema sana ili chama kife kabisa
Utawaondoaje kila siku wanawapa shavu watoto masikini wanaojua kujipendekeza kina Humphrey
 
Kwani Tanganyika ni Zanzibar? Tanganyika inapeleka Marais Zanzibar lakini yenyewe haina mfumo huo. Ridhiwani aibe mali za nchi kwa mgongo wa baba yake lakini Urais atausikia tbccm.
Mkuu mbona CCM hawaja muazibu kama kweli aliiba?

Unaweza onyesha aliiba nini?
 
Habari za leo wakubwa?

Kama tulivyoona kilichotokea Zanzibar maji kufuata mkondo. Je, itawezeka na huku Tanzania bara?

Kama tujuavyo uchaguzi ujao 2025 ni zamu ya upande wa dini nyingine kutoa mgombea yaani (Muslims)

Nimekaa nimetafakari nikaona kabisa huku tunaweza kufanyiwa kama Zanzibar the next One ni Ridhiwani mtoto pendwa na maarafu wa mzee wetu Jakaya.

Je, ataweza kufikia hata robo ya utawala wa Baba yake? Njoo utoe maoni yako.

View attachment 1627663
Rais anajulikana mbona,Majaliwa ndiyo Rais mtarajiwa
 
Habari za leo wakubwa?

Kama tulivyoona kilichotokea Zanzibar maji kufuata mkondo. Je, itawezeka na huku Tanzania bara?

Kama tujuavyo uchaguzi ujao 2025 ni zamu ya upande wa dini nyingine kutoa mgombea yaani (Muslims)

Nimekaa nimetafakari nikaona kabisa huku tunaweza kufanyiwa kama Zanzibar the next One ni Ridhiwani mtoto pendwa na maarafu wa mzee wetu Jakaya.

Je, ataweza kufikia hata robo ya utawala wa Baba yake? Njoo utoe maoni yako.

View attachment 1627663
Kwa bahati mbaya 2025 hatakiwa amefikisha 55
 
Yes sababubu ni mtoto wa rais - aliyenacho kuongezewa
 
Mzee alijitoa Copyright

Wanafanana na mwanae each and everthing.

Kila laheri RJ katika political career yako

Like father like son.
f5e20485986703064c41f9ca5f00616b.jpeg
 
Back
Top Bottom