Je, Rada zinashindwaje kuziona Drones?

Iran miezi michache nyuma wali fanikiwa ku- intercept drone ya US.iliyosaiwa kufanya ujasusi kwa kuingia anga ya Iran.

Tusubiri hii silaha mpya(supersonic ballistic missile ) iliyozinduliwa juzi na Russia INA speed kuliko mwanga iwapo INA weza ika be detected na radar.

Sent using Jamii Forums mobile app
speed kuliko mwanga?speed ya mwanga ni 3×10^8,naomba speed ya hiyo supersonic missile..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom