Iran hata siku moja hawezi kununua silaha za USA.Anaweza kununua za Russia na sio za USA.Hata ndege za abiria USA hapendi Iran anunue.Kuna silaha gani mpya tishio ambayo iran anayo pekeake zaidi zaidi za kununua kwa mrusi na marekani
Ingekuwa vigumu sana kuzizuia kwa sababu zilikuwa kwenye lile anga la kimataifa ambalo kimsingi kila mtu aweza kulitumia.Labda kama zingepita kwenye anga lake angeweza kuzizuia.Hapo sasa wamarekani wanachanganyikiwa wakiona RAIS wao yuko kimya na Putin anapeleka ndege zake za kivita huko Venezuela; hapo mahasimu wa Trump ndio wanaconnect dots kuwa huyu Trump lazima alisaidiwa na Putin kushinda uchaguzo 2016 ndio maana anamgwaya!! Je unafikiri kama Hillary Clinton angekuwa ndio Rais hizo ndege zingetua Venezuela bila kashikashi kama ile ya CUBAN crisis ya Kennedy na Krushev?
MaSwali haya ungeanza kukuuliza Jiwe mkuu ungekuwa umewasaidia watanzania pakubwa Sana mkuu...Kwani kuna mtu alijua Putin atakapotokea mkuu?
Iran hata siku moja hawezi kununua silaha za USA.Anaweza kununua za Russia na sio za USA.Hata ndege za abiria USA hapendi Iran anunue.
Una maanisha nini unavyoandika ubinafsi wa viongozi wa Venezuela?Mkuu acha kuione marekani ubinafsi wa viongozi wa Venezuela ndio umewafikisha hapo kwa wange fata masharti wange pungiwa nn wenzao warabu wanakula bata
basi china sio tishio kwa us coz biashara anayafanya na us ndio inampa kiburi na labda ndio sababu inayomfanya awekeze africa kwa kasi sana lkn africa vilevile now hawamuamini mchina kivile
hasa hii tabia yake ya kuwa karibu na watawala tu bila kusaidia wanachi na haka katabia pendwa kakuchukua vitega uchumi vya nchi anayoidai atajikuta wananchi wamewaanzishia wachina passive restance Umukonto wisizwe inaweza kurudi
Pompeo Anajifanya anawaonea huruma wananchi wa Venezuela na Russia. Wakati US ina kambi kila bara. Unafiki Kazi Sana View attachment 965994
Naona unaichukulia US kama taarab vile, ukome sbb ndio wanakuwezesha hata ww humu utumie hiyo simu yako na internet utapike pumba zako huku, unapewa na misaada, ulishaona msaada hata mmoja wa Russia ktk maisha yako? US ndio kila kitu, kichwa kibuyu wee
Kuna mazuzu humu hayajielewi kutwa kuitetea marekani licha ya uharibifu mkubwa wanaofanya kwa duniaSerikali ya Amerika itakuwa ina undugu na Lucifer. Kwani hiyo hali ya Venezuela kiuchumi aliyeisababisha ni nani kama si yeye? Nchi haina chakula kabisa, raia wa Venezuela wanashinda njaa kama nchi ipo kwenye vita. Venezuela ina utajiri mkubwa kabisa, utajiri wa mafuta na utajiri wa madini. Kuna ripoti moja ya Marekani ya mwaka 1993, jiolojia wa Amerika walienda kufanya tafiti Venezuela. Tafiti ikatoka kwamba Venezuela ina utajiri wa madini mengi kwa kiasi chake.
Amerika kama kawaida yake akautaka huo utajiri Venezuela akakaza. Amerika akajaribu mpaka njia za mapinduzi akashindwa. Akafanya ya kwake ndiyo haya yaliyotokea. Nchi ina utajiri wa mafuta mengi na madini mengi halafu unaambiwa kuna baa la njaa. Kuna kumbukumbu moja niliisoma kuhusu Mzungu mmoja miaka ya zamani sana hapa Tanzania na sijui huyo mzungu alikuwa ni raia wa wapi. Aliwekeza Shinyanga huko kwenye mgodi na aliwapenda wafanyakazi wake. Laa haulaa! Hao Wazayuni wanaomiliki biashara ya madini huko Mataifa makubwa wakamtaka jamaa awauzie mgodi, jamaa akakaza. Kilichotokea maduka yote yanayofanya biashara ya madini yakatonywa yasinunue madini ya jamaa. Yaani madini yanakosa soko hayanunuliwi lakini ni ya kwake tu. Mwisho wa siku alifilisika na akafa.
Ila matikiti maji kama kawaida yao yatakuja hapa na kuandika kilochoua uchumi wa Venezuela ni ujamaa kama western media zinavyokazia. Serikali ya Marekani kwa hapo ilipofikia inabidi iambiwe basi, uliyoyafanya unabidi ukae kimya sasa.
Ntajie nchi tatu ambazo zimenyonywa na U.S zime baki maskin wa kutupwa
China ameanza kukua baada ya kuluhusu ubepali kwenye mfumo wake wa kiuchumi baada ya kuona ukomnisti unawarudisha nyuma so tunapata picha baada ya trump kupiga marufuku bisha kutoka china Viwanda vya Wamarekani vinafungwa china na kurudisha marekani ndo mana mchina anapiga mayowe.kuhusu swala la irani.irani sio tishio kwa U.S Iran saizi yake saudia na Israel
Taifa letu ni kuuma na kupuliza. Leo hapa kesho kule.Taifa letu lime base wapi ...America na washirika wake au kwa Putin
mbona norway walizifatilia saanaIngekuwa vigumu sana kuzizuia kwa sababu zilikuwa kwenye lile anga la kimataifa ambalo kimsingi kila mtu aweza kulitumia.Labda kama zingepita kwenye anga lake angeweza kuzizuia.
kumbe ni propaganda? nchi gan kachukua shirika la umeme vip kuhusu bandari ya sir lankaHii ya kuchukua vitega uchumi kwa nchi anazozidai ni propaganda za nchi za magharibi kumharibia mchina