Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,659
- 4,386
ila venazuela ndio katisha zaidi yaani hari ngumu waliyonayo wanaitisha madege vita baadala ya kuwa mpole kwa usMasilaha mengi ili wajilinde wasipinduliwe huku raia wao wakipigika kiuchumi na masilaha yenyewe kama midoli tu mbwembwe nyingi ila hamna kitu.

karibu mkuu