Kamanda wa Kweli
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 1,448
- 846
Taifa letu lime base wapi ...America na washirika wake au kwa PutiTaifa lenu limebezi kwenye kujenga viwanda, ili kuwapa ajira watanzania. Swali lingine Tafadhali.
Taifa letu lime base wapi ...America na washirika wake au kwa PutiTaifa lenu limebezi kwenye kujenga viwanda, ili kuwapa ajira watanzania. Swali lingine Tafadhali.
Bado CNN(wanaotoa maoni kupitia CNN0, haiwezi kuwakilisha wamarekani wote mkuu.Mtazamo wako hauendani kabisa na wamarekani wengi waliompigia kura Clinton, ukitoa ile college votes ya wachache.Ingia CNN uone mtazamo wa wananchi wa Marekani.
aliona ujamaa upo ukingoni alafu ujamaa bila elimu au teknolojia ni UMASIKINIKuwa NAM mzee wetu nyerere hakuta shida za wababe wa dunia
Kwa kifupi ni kuwa wamarekani walio wengi hawampendi Trump.Hakikaaaa.Na hata viongozi waliomtangulia hawako nae.Fuatilia kwa undani mkuu.Kama angekuwa kweli ni kipenzi chao sidhani kama hali hiyo ingejitokeza.Bado CNN(wanaotoa maoni kupitia CNN0, haiwezi kuwakilisha wamarekani wote mkuu.
Dah, swali zuri, ingawa mimi sijasikia kulipuliwa ndege kwa muda, mathalani maeneo kama hayo ya Scandinavia, wahasibu wangesema ni "probable" ei very unlikely boss.hata mimi nilitaka kuuliza,na hizo f16 ina maana zilienda mpaka venezuela?,zingezilipua angani si ingekuwa big loss kwa russia?fafanua vizuri.
Sawa. Wameanza kumchukia hivi karibuni, au hata kabla ya uchaguzi? Kama ni hivi karibuni, kwa nini? Na kama ni hata kabla ni nani alimchagua?Kwa kifupi ni kuwa wamarekani walio wengi hawampendi Trump.Hakikaaaa.Na hata viongozi waliomtangulia hawako nae.Fuatilia kwa undani mkuu.Kama angekuwa kweli ni kipenzi chao sidhani kama hali hiyo ingejitokeza.
basi china sio tishio kwa us coz biashara anayafanya na us ndio inampa kiburi na labda ndio sababu inayomfanya awekeze africa kwa kasi sana lkn africa vilevile now hawamuamini mchina kivileChina seeks dominance, He competes both USA & Russia. She wants to be the one and only Super Power.
hayo unayoona kama mahusiano yake na Rusia Kijeshi ni Power acquisition strategy yake, anamfake Mchina Militarily kama alivyokuwa anamfake USA economically, now China regrets Trump has come.
Hahaha...Genius??? Oh, hivi ni nani atakaye mrithi Putin hapo kwenu Russia? The best candidate wa kumrithi ni nani? Au mtamuacha mpaka atoke mwenyewe? I just wanna know in advance.imefanya nifikilie jinsi pentagon walivyoshangaa kuona inavyochanja anga maelfu ya kilometa bila shida yotote na jinsi wavyouchukulia huu urafiki wa vena na hyu genius putin
Kwani kuna mtu alijua Putin atakapotokea mkuu?Hahaha...Genius??? Oh, hivi ni nani atakaye mrithi Putin hapo kwenu Russia? The best candidate wa kumrithi ni nani? Au mtamuacha mpaka atoke mwenyewe? I just wanna know in advance.
Hahahahah....aiseeePutin Is Immortal will reign forever.Utakufa utamuacha!!
View attachment 965181
Hahahah...sawa. Ngoja aje anayegemea upande wa USA baby. Talking from no where.Kwani kuna mtu alijua Putin atakapotokea mkuu?
Trump alianza kuchukiwa tangu kipindi cha uteuzi,kipindi cha uchaguzi na mpaka leo.Kauli zake siku zote ni tata.pia haishi kwenye kauli zake.Pia ameonekana kuwa anazichukia media kwa sababu tu ya ukosoaji.Ni mtu wa skendo pia.Ukaribu wake pia kwa Putin.Wamarekani walio wengi hawamwamini.Pia ni mbaguzi saana.Sawa. Wameanza kumchukia hivi karibuni, au hata kabla ya uchaguzi? Kama ni hivi karibuni, kwa nini? Na kama ni hata kabla ni nani alimchagua?
Russia sio putin kumbuka pale uraisi ni taasisi jeshi la urusi ni bora toka zamani pia aliebuni S-200 sio alieunda S-400 atakuja mwingine kuendeleza putin alipoishia na naona kijeshi tayari wapo vzr so naihisi atakaefata atakuwa mwanadiplomasia kazi yake itakuwa ni kurudisha ushawishi wa urusi tena(kituambacho putin ameanza kukufanya) then wanaweza kumalizia na mfanyabiasharaHahaha...Genius??? Oh, hivi ni nani atakaye mrithi Putin hapo kwenu Russia? The best candidate wa kumrithi ni nani? Au mtamuacha mpaka atoke mwenyewe? I just wanna know in advance.
Russia sio putin kumbuka pale uraisi ni taasisi jeshi la urusi ni bora toka zamani pia aliebuni S-200 sio alieunda S-400 atakuja mwingine kuendeleza putin alipoishia na naona kijeshi tayari wapo vzr so naihisi atakaefata atakuwa mwanadiplomasia kazi yake itakuwa ni kurudisha ushawishi wa urusi tena(kituambacho putin ameanza kukufanya) then wanaweza kumalizia na mfanyabiashara








Trump alianza kuchukiwa tangu kipindi cha uteuzi,kipindi cha uchaguzi na mpaka leo.Kauli zake siku zote ni tata.pia haishi kwenye kauli zake.Pia ameonekana kuwa anazichukia media kwa sababu tu ya ukosoaji.Ni mtu wa skendo pia.Ukaribu wake pia kwa Putin.Wamarekani walio wengi hawamwamini.Pia ni mbaguzi saana
Aliyempigia kura na akatangazwa mshindi, ni nani???
basi china sio tishio kwa us coz biashara anayafanya na us ndio inampa kiburi na labda ndio sababu inayomfanya awekeze africa kwa kasi sana lkn africa vilevile now hawamuamini mchina kivile
hasa hii tabia yake ya kuwa karibu na watawala tu bila kusaidia wanachi na haka katabia pendwa kakuchukua vitega uchumi vya nchi anayoidai atajikuta wananchi wamewaanzishia wachina passive restance Umukonto wisizwe inaweza kurudi
DuuuuuuuuChina na USA wanategemeana sana kiuchumi - Japo Mchina alikuwa mfaidika mkuu, kinachoendelea sasa kinatokana na ujasiri wa Trump kufanya maamuzi magumu ama sivyo haya mataifa mawili yajiandae kuishi kama mume na mke ktk ndoa ya kikristo.
Urusi si tanzania. Marais wao wanaandaliwa... Mrithi ya Putin lazima awepo.Urusi ni Putin na Putin ni Urusi.Siku Putin akifariki au kuzeeka Urusi kwisha habari yake.One man Show!