The 13
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 2,835
- 3,283
Puttin mnoko tu angeanza na nchi yake kwanaza
Hicho ndicho ambacho mtu kama Putin hataki hata kukisikia
Hicho ndicho ambacho mtu kama Putin hataki hata kukisikia
Tuliza shanga dada,mbona umekua mkali kama vile umekatiwa shanga na konda?
Mzingueni Putin the great,muone kama hajaweka makombora hapo cuba fasta tu mpk lile wigi la babako Trump limvuke kichwani.
Matusi yake hujaona?Tuliza mshono kuu.Leta huja mkuu sio matusi
Wanajua alliens watakua wanawaletea hela mkuu.watu mnaosema Russia maskini mnahisi hizo hela za kutengeneza na kumaintain weapons zake anazitoa wapi
sio data sahihi mkuu japo kiasi fran wageni wanaviwanda lkn haizidi ata 20%Teh teh mkuu mchina uchumi wake umeshikiliwa na wageni amini na kwambi asilia 75% ya viwanda vilivyopo china ni vya wageni
hizo vita za zama za mawe sio leo mkuu mbona tz ya nyerere ilipiga makaburu kipigo haswa lkn leo ikajaribu tena urusi waongeze jimbo jingineMuulize Russian kilicho mkuta
Hahah anaweza akaja extremist mmoja mbabe kuliko Putin mkuu.Hahahah...sawa. Ngoja aje anayegemea upande wa USA baby. Talking from no where.
hizo vita za zama za mawe sio leo mkuu mbona tz ya nyerere ilipiga makaburu kipigo haswa lkn leo ikajaribu tena urusi waongeze jimbo jingine
ethiopia mwnyew alkua anatembeza kichapo kwa wakoloni zamanhizo vita za zama za mawe sio leo mkuu mbona tz ya nyerere ilipiga makaburu kipigo haswa lkn leo ikajaribu tena urusi waongeze jimbo jingine
UMESAHAU NA HII, NDIO WALIOSABABISHA MARADHI YA UKIMWI DUNIANI ILI KUUWA WATU, NDIO WALIOUWA WATU WENGI IRAQ, LIBYA NA AFGHANISTAN, NDIO WALIOUWA MAELFU YA WATU JAPAN NA VIETNAMNaona unaichukulia US kama taarab vile, ukome sbb ndio wanakuwezesha hata ww humu utumie hiyo simu yako na internet utapike pumba zako huku, unapewa na misaada, ulishaona msaada hata mmoja wa Russia ktk maisha yako? US ndio kila kitu, kichwa kibuyu wee
Akuu! SISI HATUFUNGAMANITaifa letu lime base wapi ...America na washirika wake au kwa Putin
sio kwa urusi vs finlandTeh teh usisahau historia hujirudia
factethiopia mwnyew alkua anatembeza kichapo kwa wakoloni zaman
Lengo ni kuzionya tuu.
Hahahhahahaha mkuu bora Tanzania tuwe jimbo la Russia, atuletee S-500 tufunge anga la bara la Africahizo vita za zama za mawe sio leo mkuu mbona tz ya nyerere ilipiga makaburu kipigo haswa lkn leo ikajaribu tena urusi waongeze jimbo jingine
kipindi china anakua kwa kasi walikuwepo wap?
north korea mpaka wanafanikisha kuunda kombora la kuweza kufika us CIA walikuwa wap ?
iran mpaka anakuwa sugu walikuwepo wao?
Assad anakomboa miji wapo wap us?
mpaka vilaza tanzania wananunua silaha north korea us alikuwa wap?
unadhani jiwe atafurahi kuuachia uraisi alafu awe gavana thubutuHahahhahahaha mkuu bora Tanzania tuwe jimbo la Russia, atuletee S-500 tufunge anga la bara la Africa
sio data sahihi mkuu japo kiasi fran wageni wanaviwanda lkn haizidi ata 20%
pote ni sahihi lkn apo size ya iran ni usrael na saudia sio kweli ata kidogo hasa kijeshi na teknolojiaChina ameanza kukua baada ya kuluhusu ubepali kwenye mfumo wake wa kiuchumi baada ya kuona ukomnisti unawarudisha nyuma so tunapata picha baada ya trump kupiga marufuku bisha kutoka china Viwanda vya Wamarekani vinafungwa china na kurudisha marekani ndo mana mchina anapiga mayowe.kuhusu swala la irani.irani sio tishio kwa U.S Iran saizi yake saudia na Israel