Je Putin ananza kujitanua?

Je Putin ananza kujitanua?

Una uthibitisho wowote? Au unapiga porojo tu?
Lakin mkuu hakuna mahala panapo onyeshe selikali ya Zambia au China kukanusha tuhuma izo na pia kuwatoa hofu wana nchi.pia China kuchukua port ya sir Lanka,na kenya port ya mombasa na inatosha kuthibisha mchina si mtu mzuri kwa ustawi na maendeleo ya Africa
 
U are so low my friend

Hujui hta kinachoendelea dunian

Imf na world bank imposing policy ndizo zimetufikisha hpa

We unadhani hyo mikataba walisaini kwa kupenda?
Uyo mrusi yeye alitufikisha wapi enzi za ujamaa.mbna waliokuwa imperium wapo mbali kiuchimi, kiteknolojis.
 
Mi nilishakwambia izo habari ni fake we unang'ang'ania kuwa ni kweli ndyo maana nikakwambia lete uthibitisho km ni kweli
Mkuu mbna kama unazidiwa ilo swali ulitakiwa ulijibu ww.uliye nmbie ni proganda za magharibi
 
Sipo hpa kumtetea urusi kwa alichoifanyia africa nipo hpa kukuelimisha jinsi hao watu ambao mna mahaba nao (america), how evil they are

U seems so brainwashed

Najua movies na series za wamarekani ndyo zimecorrupt ubongo wako mpaka unatokwa jasho kuwatetea
Uyo mrusi yeye alitufikisha wapi enzi za ujamaa.mbna waliokuwa imperium wapo mbali kiuchimi, kiteknolojis.
 
Wamemuua nani hebu tuambie!!

Na tukiweka rekodi sawa za mauaji aliyofanya mmarekani

-vita ya Vietnam

-vita ya iraq

-afghanistan

-libya

Mauaji yote waliyofanya still wana kiu na damu
Nyongeza ya vita alivyopigana Us baada ya ww2

Korea na China 1950-1953(Korean war)
Guatemala 1954
Indonesia 1958
Cuba 1959-1961
Guatemala 1960
Congo 1960
Laos 1964-1973
Vietnam 1961-1973
Cambodia 1969-1970
Guatemala 1967-1969
Grenada 1983
Lebanon 1983,1984
Libya 1986
El salvador 1980s
Nicaragua 1980s
Iran 1987
Panama 1989
Somalia 1993
Sudan 1998
Bosnia 1994-1995
Afghanistan 1998
Yugoslavia 1999
Yemen 2002
Iraq 2003
Afghanistan 2001-2015
Pakistan 2007-2015
Libya 2011-2015
Syria 2014- mpaka sasa hivi
 
af bdo anatetewa duh
 
Kamuulize magufuli atakuambia jinsi russia inavyoisaidia tz. Na juzi kwenye ule mkopo wa siri kuna mkopo umetoka russia.

Wee reference yako kama ni Zitto Kabwe umepotea..!! Mkopo lini wa kitaifa ukawa ni siri? Ujue mnalishwa tu maneno bila kujua ukweli, that is mental hysteria, iweje unasikia habari unajua tu ni kweli, huo ni ujuha..!!
 
Nani amekwambia reference yangu ni zitto? Mpaka hapa huoni wewe ndiye JUHA?
 
Wee reference yako kama ni Zitto Kabwe umepotea..!! Mkopo lini wa kitaifa ukawa ni siri? Ujue mnalishwa tu maneno bila kujua ukweli, that is mental hysteria, iweje unasikia habari unajua tu ni kweli, huo ni ujuha..!!
wanakopa kisiri coz walisema hawategemei mikopo
 
china na urusi apo kila mtu ana malengo yake wote kwa pamoja wanamuona us kama adui yao so lazima waungane china anataka kuwa na jeshi imara coz uchumi yupi vzr pia urusi anamtumia china ili kukuza uchumi wake maana kijeshi tayari yupo vzr
unamaana anakusanya pesa za kutosha kutoka china,na kwa sababu ana jeshi zuri basi akipata pesa mambo yanajipa,kama nimekuelewa vyema.
 
Kwanini wasiwasaidie kiuchumi maana Venezuela ipo hoi kiuchumi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom