Je Putin ananza kujitanua?

Je Putin ananza kujitanua?

Hakika.Umenena mkuu.Ni mara nyingi tuu ndege za Russia zinazifukuzia meli za kivita za USA kwa kupita karibu mno na meli hizo kitendo ambacho USA kulalamika
sasa sijui anaetoaga amri ya kuzifukuzia hizo meli za us huwa anakuwaga anafikilia nini au lengo lake haswa ni nini
 
Usiangalie Kula zilisha pita.angalia Hali ya marekani saivi kama una bisha trump anapita tena 2020
Trump atapita kwa sababu ya college votes.Ni kura za majimbo yanayoamua hatma ya uraisi.Lakini kama raisi angekuwa anachaguliwa moja kwa moja na majority votes yaani kura za watu wengi nakuhakikishia kuwa Trump asingepita hata kidogo.Uchaguzi uliopita alibwagwa vibaya sana kwenye majority votes.Alishinda kwenye college votes.Ndio maana watu wanalalamika kuwa mfumo huo wa upigaji kura ubadirishwe,kwani raisi huchaguliwa na watu wachache tuu.
 
Siku zote huwezi pata picha positive attitude juu ya Russia kwa kupitia vyanzo vya Western.Vyombo vyao karibia vyote ni anti Russia.Kuna uwezekano mkubwa sana kuwa hayo umeyapata kupitia Western propaganda machines.Hao jamaa siku zote huiita Russia majina ya ajabu ajabu na Putin wake.Russia ni nchi maskini,ni nchi ya udikteta,ni nchi isiyostaarabika,ni nchi yenye vifaa vya kijeshi vilivyopitwa na wakati,rejea UK,pindi Meli za Russia za kijeshi zilipoikaribia UK.Rejea pia Syria wakati Russia anaanza rasmi kampeni ya kumuokoa Assad.Mara kombe la dunia lisiende Russia.Mara Russia anawaua maajenti wake wa zamani walioasi kama yule wa UK kwa kutumia Navichok na full tuhuma zingine za kijinga.Mara raia wake ni maskini wa kutupwa na ujinga mwingine.Cha ajabu hakuna hata taifa moja la ulaya ya magharibi linaloweza kupigana na Russia.Karibu kila aina ya teknolojia ipo pale Russia.Russia sio maskini hata kidogo.Gesi wanategemea ya Russia.Western Europe hata siku moja sio marafiki wa Russia.Sababu wanazijua wao wenyewe.
Kama ni sikweli Western media wanacho sema kwa nn mfano wa ujamaa walio uanzisha na kuusambaza duniani hakuna hata nchi moja iliyo fanikiwa kiuchumi wa kijamii Russian ni loser.na kama russi ina kila technolojia kwa nn isiwe juu kiuchumi na kusaidia washirika wake mfano Venezuela.
 
Afu marekani watakuwa wame zubaa mdaa wote huo utani wakuu
kipindi china anakua kwa kasi walikuwepo wap?

north korea mpaka wanafanikisha kuunda kombora la kuweza kufika us CIA walikuwa wap ?

iran mpaka anakuwa sugu walikuwepo wao?

Assad anakomboa miji wapo wap us?

mpaka vilaza tanzania wananunua silaha north korea us alikuwa wap?
 
Kama ni sikweli Western media wanacho sema kwa nn mfano wa ujamaa walio uanzisha na kuusambaza duniani hakuna hata nchi moja iliyo fanikiwa kiuchumi wa kijamii Russian ni loser.na kama russi ina kila technolojia kwa nn isiwe juu kiuchumi na kusaidia washirika wake mfano Venezuela.
Russia miaka yote yupo kwenye migogoro ya kiuchumi na western Europe na usa.vikwazo kwake havikomi kama vile Iran.Hata hivyo anajitahidi sana kupambana navyo ili kuhakikisha anajimudu kiuchumi.
 
kipindi china anakua kwa kasi walikuwepo wap?

north korea mpaka wanafanikisha kuunda kombora la kuweza kufika us CIA walikuwa wap ?

iran mpaka anakuwa sugu walikuwepo wao?

Assad anakomboa miji wapo wap us?

mpaka vilaza tanzania wananunua silaha north korea us alikuwa wap?
 
Waliondoka baada ya kugundua kuwa ile vita haikuwa na faida yoyote kwao,kwa hiyo wakaonelea ni bora wasiwabebeshe mzigo wananchi wao kwa kodi zao wazilipazo.
Hata marekani alimua kuondoka Vietnam baada ya kuona Vita haina faida yoyote asiwabebeshe mzigo wamalekan.pia usi sahau mzee baba akipokea kichapo heavy kutoka kwa Finland lakin hajitangazi.
 
Hata marekani alimua kuondoka Vietnam baada ya kuona Vita haina faida yoyote asiwabebeshe mzigo wamalekan.pia usi sahau mzee baba akipokea kichapo heavy kutoka kwa Finland lakin hajitangazi.
.Finland anakaribishwa kwa mara nyingine tena.
 
Mkuu acha kuione marekani ubinafsi wa viongozi wa Venezuela ndio umewafikisha hapo kwa wange fata masharti wange pungiwa nn wenzao warabu wanakula bata
Serikali ya Amerika itakuwa ina undugu na Lucifer. Kwani hiyo hali ya Venezuela kiuchumi aliyeisababisha ni nani kama si yeye? Nchi haina chakula kabisa, raia wa Venezuela wanashinda njaa kama nchi ipo kwenye vita. Venezuela ina utajiri mkubwa kabisa, utajiri wa mafuta na utajiri wa madini. Kuna ripoti moja ya Marekani ya mwaka 1993, jiolojia wa Amerika walienda kufanya tafiti Venezuela. Tafiti ikatoka kwamba Venezuela ina utajiri wa madini mengi kwa kiasi chake.

Amerika kama kawaida yake akautaka huo utajiri Venezuela akakaza. Amerika akajaribu mpaka njia za mapinduzi akashindwa. Akafanya ya kwake ndiyo haya yaliyotokea. Nchi ina utajiri wa mafuta mengi na madini mengi halafu unaambiwa kuna baa la njaa. Kuna kumbukumbu moja niliisoma kuhusu Mzungu mmoja miaka ya zamani sana hapa Tanzania na sijui huyo mzungu alikuwa ni raia wa wapi. Aliwekeza Shinyanga huko kwenye mgodi na aliwapenda wafanyakazi wake. Laa haulaa! Hao Wazayuni wanaomiliki biashara ya madini huko Mataifa makubwa wakamtaka jamaa awauzie mgodi, jamaa akakaza. Kilichotokea maduka yote yanayofanya biashara ya madini yakatonywa yasinunue madini ya jamaa. Yaani madini yanakosa soko hayanunuliwi lakini ni ya kwake tu. Mwisho wa siku alifilisika na akafa.

Ila matikiti maji kama kawaida yao yatakuja hapa na kuandika kilochoua uchumi wa Venezuela ni ujamaa kama western media zinavyokazia. Serikali ya Marekani kwa hapo ilipofikia inabidi iambiwe basi, uliyoyafanya unabidi ukae kimya sasa.
 
Mkuu acha kuione marekani ubinafsi wa viongozi wa Venezuela ndio umewafikisha hapo kwa wange fata masharti wange pungiwa nn wenzao warabu wanakula bata
Hicho ndicho ambacho mtu kama Putin hataki hata kukisikia
 
Hata Russia ange lalamika mbona U.s anavofanya mazoezi na S.korea pia russia ana lalamika
Hakika.Umenena mkuu.Ni mara nyingi tuu ndege za Russia zinazifukuzia meli za kivita za USA kwa kupita karibu mno na meli hizo kitendo ambacho USA kulalamika
 
Hata Russia ange lalamika mbona U.s anavofanya mazoezi na S.korea pia russia ana lalamika
Hapo ndipo unapojua kuwa hawa jamaa wote wako vizuri.Lingekuwa taifa la kitoto tayari USA kwenye hali kama hiyo ashafanya yake mapemaaa
 
Teh teh mkuu mchina uchumi wake umeshikiliwa na wageni amini na kwambi asilia 75% ya viwanda vilivyopo china ni vya wageni
kipindi china anakua kwa kasi walikuwepo wap?

north korea mpaka wanafanikisha kuunda kombora la kuweza kufika us CIA walikuwa wap ?

iran mpaka anakuwa sugu walikuwepo wao?

Assad anakomboa miji wapo wap us?

mpaka vilaza tanzania wananunua silaha north korea us alikuwa wap?
 
Russia miaka yote yupo kwenye migogoro ya kiuchumi na western Europe na usa.vikwazo kwake havikomi kama vile Iran.Hata hivyo anajitahidi sana kupambana navyo ili kuhakikisha anajimudu kiuchumi.
Ndo nakwambije mkuu Russian ni loser kwa sababu kama ameshindwa kumaintain uchumi wake ndo ataweza kurudisha wamajiran.
 
Naona unaichukulia US kama taarab vile, ukome sbb ndio wanakuwezesha hata ww humu utumie hiyo simu yako na internet utapike pumba zako huku, unapewa na misaada, ulishaona msaada hata mmoja wa Russia ktk maisha yako? US ndio kila kitu, kichwa kibuyu wee
Tuliza shanga dada,mbona umekua mkali kama vile umekatiwa shanga na konda?

Mzingueni Putin the great,muone kama hajaweka makombora hapo cuba fasta tu mpk lile wigi la babako Trump limvuke kichwani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom