Je Putin ananza kujitanua?

Je Putin ananza kujitanua?

Una maanisha nini unavyoandika ubinafsi wa viongozi wa Venezuela?
Namaanisha viongozi wa Venezuela ni vilaza.mbna china alipo ona mfumo wa ujamaa hauna tija kiuchimi waliamua kutrans form kwenye uchumi wa kibepali na kufanikiwa hadi hapa walipo.ina maana viongozi wa Venezuela wameshindwa kuji funza kwa wenzao kama sio ubinafsi nn.
 
Mbona hata uyo russia na mchina wauwaji.mkuu acha kupelekeshwa na hisia
Usichokijua ni kuwa hta hyo simu unayotumia bila uwepo wa mtu mweusi na ardhi yake isingekuwepo!

Huwa nashangazwa na watu dzain hii wanaotetea wauaji na madhulumati wa kiwango km cha marekani
 
Mkuu ngalia usijikuwa zuzu ndo ww.uyo russia na China wanaweza simama kifua mbele kwamba kuna nchi imeendelea kupitia sela na mfumo yao.swala la umwagaji damu hakuna saint hapo wa kumnyoshea kidole mwenzie
Kuna mazuzu humu hayajielewi kutwa kuitetea marekani licha ya uharibifu mkubwa wanaofanya kwa dunia
 
Ntajie izo kampuni? Swala la kusain ni ujinga wa aliye sain kwa sababu hatukushiwa bunduki.acha chuki zisizo na msingi
Mojawapo ni tanzania, baada ya kuwauzia migodi makampuni ya kimarekani kwa bei ya kutupa huku tukipata mrabaha wa 4% wenyewe wakipata 96%
 
Mkuu mbona ndo nilicho sema au hujasoma
China hawajauacha ukomunisti. Walichofanya ni kuupdate kwa kuchanganya kidogo na ubepari

Tht why njia zote kuu za uchumi wa china bado zipo mikononi mwa serikali
 
Mkuu acha mahaba.wachina wanaungwa jeshini, na pia ingekuwa zambia pekee tunge sema saw saiv hadi kwa kenya bandali ya mombasa karibu inachukuliwa. Saw nmbie baada ya nchi kushindwa kulipa deni China anachukua hatua gani
Hii ya kuchukua vitega uchumi kwa nchi anazozidai ni propaganda za nchi za magharibi kumharibia mchina
 
Naona unaichukulia US kama taarab vile, ukome sbb ndio wanakuwezesha hata ww humu utumie hiyo simu yako na internet utapike pumba zako huku, unapewa na misaada, ulishaona msaada hata mmoja wa Russia ktk maisha yako? US ndio kila kitu, kichwa kibuyu wee
Kamuulize magufuli atakuambia jinsi russia inavyoisaidia tz. Na juzi kwenye ule mkopo wa siri kuna mkopo umetoka russia.
 
Mkuu acha mahaba.wachina wanaungwa jeshini, na pia ingekuwa zambia pekee tunge sema saw saiv hadi kwa kenya bandali ya mombasa karibu inachukuliwa. Saw nmbie baada ya nchi kushindwa kulipa deni China anachukua hatua gani
Hakuna source ambayo iko proved na hizi habari za china sijui kuchukua airport ni uzushi mtupu

Naona u have been caught up with propaganda news from western media
 
Mbona hueleweki hebu rudia kuandika tena
Mkuu ngalia usijikuwa zuzu ndo ww.uyo russia na China wanaweza simama kifua mbele kwamba kuna nchi imeendelea kupitia sela na mfumo yao.swala la umwagaji damu hakuna saint hapo wa kumnyoshea kidole mwenzie
 
Wamemuua nani hebu tuambie!!

Na tukiweka rekodi sawa za mauaji aliyofanya mmarekani

-vita ya Vietnam

-vita ya iraq

-afghanistan

-libya

Mauaji yote waliyofanya still wana kiu na damu
Mbona hata uyo russia na mchina wauwaji.mkuu acha kupelekeshwa na hisia
 
China hawaachana na ujamaa walichofanya ni kuumodify kwa kuchanganya kidogo na ubepari
Namaanisha viongozi wa Venezuela ni vilaza.mbna china alipo ona mfumo wa ujamaa hauna tija kiuchimi waliamua kutrans form kwenye uchumi wa kibepali na kufanikiwa hadi hapa walipo.ina maana viongozi wa Venezuela wameshindwa kuji funza kwa wenzao kama sio ubinafsi nn.
 
U are so low my friend

Hujui hta kinachoendelea dunian

Imf na world bank imposing policy ndizo zimetufikisha hpa

We unadhani hyo mikataba walisaini kwa kupenda?
Ntajie izo kampuni? Swala la kusain ni ujinga wa aliye sain kwa sababu hatukushiwa bunduki.acha chuki zisizo na msingi
 
Hakuna source ambayo iko proved na hizi habari za china sijui kuchukua airport ni uzushi mtupu

Naona u have been caught up with propaganda news from western media
Lakin mkuu hakuna mahala panapo onyeshe selikali ya Zambia au China kukanusha tuhuma izo na pia kuwatoa hofu wana nchi.pia China kuchukua port ya sir Lanka,na kenya port ya mombasa na inatosha kuthibisha mchina si mtu mzuri kwa ustawi na maendeleo ya Africa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom