Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

Ujerumani isinge anguka kiuchumi ikiwa hesabu za Putin ni mbaya.
Kusinyaa Kwa uchumi wa ujerumani sio malengo ya vita ya Putin, ata Urusi imenguka kiuchumi.

Malengo ya Putin na kuidhibiti Ukraine, jambo ambalo limeshindikana kabisa.

Ukraine ameanza kupiga mji mkuu wa Urusi na ana uwezo wa kuendelea na vita. Siku ukisikia Putin kakubali kusitisha vita ujue ndio siku ambayo amekubali kushindwa vita.
Na muelekeo wa kusitisha vita hivi karibuni ni mkubwa sana maana ata wao warusi wameathirika sana kiuchumi.
 
Hii vita ni kama watu tumeishaizoea.​

Ila kiukweli Ukraine Sasa hivi anapigwa kwa nguvu kuliko mwanzo.
Urusi Sasa hivi anaipiga bila huruma,kwa sbb TU wamekua na kiburi kupiga vituo vya mafuta.
Sasa Urusi imeondoa habari ya undugu.
Waukraine wanachezea kwelikweli.

Kwa kifupi Ukraine Sasa hivi ni kama haipo Tena.
Kiburi anapewa na Ulaya ambayo nayo imechoka.

Russian Defense Ministry: Ukrainian logistics centers, depots targeted​

[Sun, 20 Sep 2026 14:20:27 +0300]
Russian Defense Ministry: Ukrainian logistics centers, depots targeted

Font
Moscow – Saba:

The Russian Ministry of Defense announced on Sunday that its forces carried out drone strikes overnight targeting logistics centers, depots, and ports in Ukraine, as well as vessels used to support the Ukrainian armed forces.

In a statement reviewed by the Yemeni News Agency (Saba), the Ministry explained that the strikes targeted a warehouse belonging to the "FIRE POINT" company in Boyarka (11 km southwest of Kyiv), which is used to store components and launch engines for long-range drones in the Kyiv region. A dry cargo ship in the port of Odesa was also targeted, as well as a logistics center belonging to the company Nova Poshta (1.5 km north of Odesa), which stored and distributed military shipments delivered to Ukraine in the Odesa region.
Supapawa kashindwa kabisa kuimaliza hii vita ndani ya miaka 4.

Hii ni Russia WW3..
 
Kusinyaa Kwa uchumi wa ujerumani sio malengo ya vita ya Putin, ata Urusi imenguka kiuchumi.

Malengo ya Putin na kuidhibiti Ukraine, jambo ambalo limeshindikana kabisa.

Ukraine ameanza kupiga mji mkuu wa Urusi na ana uwezo wa kuendelea na vita. Siku ukisikia Putin kakubali kusitisha vita ujue ndio siku ambayo amekubali kushindwa vita.
Na muelekeo wa kusitisha vita hivi karibuni ni mkubwa sana maana ata wao warusi wameathirika sana kiuchumi.
Acha kudanganya watu Urusi haijadorora kiuchumi. Nenda kapitie taarifa zako upya.
Pia kama kuidhibiti Ukraine ameshafanikiwa. Ukraine anachofanya ni last kicks of a dying horse. Urusi imeteka 26% ya ardhi ya Ukraine. Na sasa hivi anaunyemelea mji wa bandari wa Odessa. Utasemaje Urusi amefeli!??
Je Ukraine imerudisha kipande chochote kilichobebwa na Urusi hadi sasa!?
 
Jumla ya ardhi iliyoteka Urusi kutoka Ukraine ni 19.4% tu na kati ya ardhi hiyo sehemu kubwa yaani 55% ni ya kisiwa Cha Crimea.

Tangu mwaka 2014, Urusi ilikuwa tayari inamiliki kisiwa Cha Crimea Kwa asilimia 💯 kutoka Ukraine kabla ata ya vita Kwa makubaliano na puppet leaders waliokuwepo wakati huo.
Kwa hiyo ardhi iliyotekwa wakati wa vita ni 9% tu.

Kiuchumi Urusi imeathirika sana:
Mwaka 2021-5.5 growth annually,
Mwaka 2026-2.2 growth annually,
Sekta ya mafuta imeathirika,
Viwanda uzalishaji umedhorota,
Inflation imepanda na budget deceif imepanda Kwa mara ya kwanza ivyo kupelekea Urusi kutokuwa na uwezo wa kuwa donor country.
Sababu ni gharama kubwa za vita na vikwazo vya kiuchumi vilivyotokana na vita, leo hii Urusi inaitegemea China, Korea kaskazini na Iran.
Ni mjinga tu wa std7 ndie anaweza kutoona Kwa ujinga na ushabiki wa Buza.

Kwa level yako ndogo, haya yanakutosha.
 
Pia bila kusahau, hivi karibuni nchi za ulaya zimeanza mikakati ya kujipanga dhidi ya vita na Urusi.
Nchi za ulaya zinajua zinachokifanya!!!
Hawa jamaa bhaana wapo tayari wateseke leo ila kizazi chao kije kuishi vyema. Wamerithi ili kuwarithisha wanaokuja. Kitu kinachoitwa risk kwao hawakihofii kabisa. Wana uthubutu wa hali ya juu sana.
 
Punguzeni ushabiki wakuu.
Kuzalisha siraha hakuondoi ukweli kuwa Russia anapata hasara kubwa kutokana na mashambulizi ya Ukraine. Uzalishaji wa siraha sio excuse.
Ile hali tu ya raia kujiona wapo katika hatari ya mashambulizi ni mbaya. Watu wanaongea kishabiki humu ndani.
 
Hapana, kitendo cha kuona kuwa mataifa makubwa ya ulaya yapo tayari kuingia vitani dhidi ya Urusi kwasababu tu ya kumkingia kifua Ukraine ndio kinafanya nione Urusi amenasa mtegoni.
Mind you, hotuba ya kwanza ya Putin kuivamia Ukrain kijeshi alisema kuwa, yoyote atakayemsaidia Ukraine atakutana na majibu mazito kutoka Russia.

Hadi sasa nchi za Ulaya na US zinapeleka silaha watakavyo na Putin katulia tuli.
 
Jumla ya ardhi iliyoteka Urusi kutoka Ukraine ni 19.4% tu na kati ya ardhi hiyo sehemu kubwa yaani 55% ni ya kisiwa Cha Crimea.

Tangu mwaka 2014, Urusi ilikuwa tayari inamiliki kisiwa Cha Crimea Kwa asilimia 💯 kutoka Ukraine kabla ata ya vita Kwa makubaliano na puppet leaders waliokuwepo wakati huo.
Kwa hiyo ardhi iliyotekwa wakati wa vita ni 9% tu.

Kiuchumi Urusi imeathirika sana:
Mwaka 2021-5.5 growth annually,
Mwaka 2026-2.2 growth annually,
Sekta ya mafuta imeathirika,
Viwanda uzalishaji umedhorota,
Inflation imepanda na budget deceif imepanda Kwa mara ya kwanza ivyo kupelekea Urusi kutokuwa na uwezo wa kuwa donor country.
Sababu ni gharama kubwa za vita na vikwazo vya kiuchumi vilivyotokana na vita, leo hii Urusi inaitegemea China, Korea kaskazini na Iran.
Ni mjinga tu wa std7 ndie anaweza kutoona Kwa ujinga na ushabiki wa Buza.

Kwa level yako ndogo, haya yanakutosha.
Zilifungwa kampuni nyingi mno pale Russia, biashara yake kuu ya gas ilishuka, wanaume wengi wakapelekwa vitani. Nishati ikabidi auze kwa bei ya hasara ili kunusuru uchumi.

Ni mpumbavu ndio hataona mabadiliko makubwa ya kiuchumi pale Russia.
 
Putin alikosea mwanzoni. Alipaswa kuanza vita kwa nguvu yote ila akaiendesha kindugu, akatoa nafasi kwa Ukraine na washirika wake kujipanga vizuri so kwa sasa Ukraine anaweza kuhimili vita kwa muda mrefu. Hakuna chaguo mwafaka kwa Putin kati ya hayo mawili. Hana uwezo tena wa kuzidisha vita wala kuimaliza bila kubaki na aibu.
Aibu ndio njia pekee salama kwake na kwa dunia.
 
Tatizo kuna propaganda nyingi sana kutoka Western Countries

Misingi ya uchumi wa Russia bado iko imara, nchi iko vitani lakini bado wana surplus(bei ya mafuta imewaokoa)

Ukraine inashinda vita za Public Relation, kama hivi kupiga refinery moja wanashingilia wiki nzima, lakini kwa ground mambo ni magumu.

Ukraine kaanzisha vita Black Sea, leo yeye ndio anaomba wayamalize, Russia ana options nyingi

Donald Tusk karopoka juzi, Ukraine inapoteza wanajeshi 27,000 kwa mwezi

Europe is in big trouble, hakuna Russia oil & gas, hakuna Middle East oil & gas(Houth kafunga Red Sea, Iran kafunga Hormuz); who will finance Ukraine?

Ukraine akitoboa mpaka June 2027 atakuwa na bahati sana
Ushabiki maandazi tu, Russia hawezi kushinda hivi vita hata yeye analifahamu hilo.

Ametoa hadi wafungwa jela kuwapeleka vitani hadi walala hoi kutoka Afrika, hadi maaskari kutoka kwa kiduku lakini wapi.

Russia hawezi kitu.
 
Russia ipeni heshima yake tu...
US hio hapo imekimbia mziki wa Iran...
Kwa kifupi Russia imeishaimaliza Ukraine, Russia hivi sasa inapambana na collective west..
Tofautisha mambo, vita ya Iran haujafika nyumbani kwa US, vita ya Ukraine imefika nyumbani kwa Russia
 
Ushabiki maandazi tu, Russia hawezi kushinda hivi vita hata yeye analifahamu hilo.

Ametoa hadi wafungwa jela kuwapeleka vitani hadi walala hoi kutoka Afrika, hadi maaskari kutoka kwa kiduku lakini wapi.

Russia hawezi kitu.
Ukiona nchi inalia kila siku kuwe na ceasefire, ndio ujue inashindwa hivyo
 
Kusinyaa Kwa uchumi wa ujerumani sio malengo ya vita ya Putin, ata Urusi imenguka kiuchumi.

Malengo ya Putin na kuidhibiti Ukraine, jambo ambalo limeshindikana kabisa.

Ukraine ameanza kupiga mji mkuu wa Urusi na ana uwezo wa kuendelea na vita. Siku ukisikia Putin kakubali kusitisha vita ujue ndio siku ambayo amekubali kushindwa vita.
Na muelekeo wa kusitisha vita hivi karibuni ni mkubwa sana maana ata wao warusi wameathirika sana kiuchumi.
Urusi tuliaminishwa(ga) hawezi kusimama kwenye vita ya muda mrefu
Kwasasa tunaona miaka na mikaka inazidi kukatika tu
Ili Russia ishindwe na Ukraine ni lazima nato waingie direct kama walivyoingilia libya Iraq nk Jambo ambalo kwa Russia sio tu hawawezi bali hawathubutu
Ila kuitegemea Ukraine iipigishe magoti Russia kwa tumsaada tunachopata sahau
 
Jumla ya ardhi iliyoteka Urusi kutoka Ukraine ni 19.4% tu na kati ya ardhi hiyo sehemu kubwa yaani 55% ni ya kisiwa Cha Crimea.

Tangu mwaka 2014, Urusi ilikuwa tayari inamiliki kisiwa Cha Crimea Kwa asilimia 💯 kutoka Ukraine kabla ata ya vita Kwa makubaliano na puppet leaders waliokuwepo wakati huo.
Kwa hiyo ardhi iliyotekwa wakati wa vita ni 9% tu.

Kiuchumi Urusi imeathirika sana:
Mwaka 2021-5.5 growth annually,
Mwaka 2026-2.2 growth annually,
Sekta ya mafuta imeathirika,
Viwanda uzalishaji umedhorota,
Inflation imepanda na budget deceif imepanda Kwa mara ya kwanza ivyo kupelekea Urusi kutokuwa na uwezo wa kuwa donor country.
Sababu ni gharama kubwa za vita na vikwazo vya kiuchumi vilivyotokana na vita, leo hii Urusi inaitegemea China, Korea kaskazini na Iran.
Ni mjinga tu wa std7 ndie anaweza kutoona Kwa ujinga na ushabiki wa Buza.

Kwa level yako ndogo, haya yanakutosha.
Jumla ya ardhi iliyobebwa kuanzia 2022 hadi sasa ni zaidi ya 15% nenda kafanye tafiti upya mie sio bwege mwenzako. Ukijumlisha na ya kabla ya 2022 ni 24+% ya ardhi ya Ukraine. Ukijumlisha na zinazobebwa sasa hivi kama zikichukuliwa kikamilifu ni 26+% ya ardhi ya Ukraine.
Nimemalizana na wewe kuhusu ardhi nitarudi kwenye uchumi.

Una uelewa mdogo sana wa kunielewesha mimi.
 
Kumjibu mtu ambae hajui kusoma vizuri ni shida sana, you can't even read between the lines.

Kisiwa Cha Crimea ndiyo ardhi yenye percentage kubwa 55% kuliko zote ambazo Russia imechukua Kwa Ukraine. Na Crimea ilichukuliwa kabla ya vita Kwa makubaliano maalumu ya mwaka 2014 na watawala wa Ukraine.
Kama umesoma hesabu utajua kuwa asilimia 55 ya 24 ni ngapi.

Na uache matusi kwenye kutoa hoja, matusi ni dalili ya mtu asie na elimu na mwenye kiwango Cha chini sana Cha IQ.
 
Rudi karudie hesabu nyepesi za percentage. Kwa mujibu wako ardhi ya sasa ilonyakuliwa ni 9% na jumla ya ardhi iliyotwaliwa kuanzia 2014 ni 19%. Embu rejea wewe hesabu zako usitake nikuumbue bro.
Na uache matusi kwenye kutoa hoja, matusi ni dalili ya mtu asie na elimu na mwenye kiwango Cha chini sana Cha IQ.
Ulianza wewe matusi haukutumia kauli ya busara rejelea post yako.
 
Kumjibu mtu ambae hajui kusoma vizuri ni shida sana, you can't even read between the lines.

Kisiwa Cha Crimea ndiyo ardhi yenye percentage kubwa 55% kuliko zote ambazo Russia imechukua Kwa Ukraine. Na Crimea ilichukuliwa kabla ya vita Kwa makubaliano maalumu ya mwaka 2014 na watawala wa Ukraine.
Kama umesoma hesabu utajua kuwa asilimia 55 ya 24 ni ngapi.

Na uache matusi kwenye kutoa hoja, matusi ni dalili ya mtu asie na elimu na mwenye kiwango Cha chini sana Cha IQ.
Kiuchumi baada ya kuanza vita;
*2022- 1.4% GDP growth.
*2023-4.4%GDP growth.
*2024-4.9% GDP growth.
*2025-1.3% GDP growth.
*2026- 2% GDP growth.
Angalia trend ya gdp growth kuanzia vita kuanza hadi sasa je kwa mtazamo wa kikawaida hata kisomi utasema uchumi wa Urusi una struggle nyakati za vita!??

Twende kwa Germany ambaye ndio Europe great economy tumlinganishe na Russia.
*2022- 1.9%
*2023- 0.8%
*2024-0.0%
*2025- 0.2%
*2026- 0.4%
Compare and contrast. Ndio utajua kuwa walioweka vikwazo ndio wanaumia kuliko aliyewekewa vikwazo.
 
Back
Top Bottom