Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,177
- 37,666
Dunia kwa sasa haina super power mzeeeSasa u super power wake uko wapi
Au kama yupo tutajie na utwambie kafanya kipi cha tofauti na Russia wakiwa vitani?
Dunia kwa sasa haina super power mzeeeSasa u super power wake uko wapi
Sasa kwani msaada sio namna ya kuingia vitani ??Nilisema wapi?
Ukiambiwa ulete uthibitisho hautakaa ulete mpaka dunia inafika mwisho
Nilichokisema na labda nikirudie tena ukielewe
Hakuna nchi ya ulaya inayotamani kuingia vitani na Russia hili hawathubutu kweli
Kuhusiana na msaada wala sijaligusia usinilishe maneno
We Kafuge kanga..mlisema tangu 2022 kua russia anamaliza kazi mapemaDunia kwa sasa haina super power mzeee
Au kama yupo tutajie na utwambie kafanya kipi cha tofauti na Russia wakiwa vitani?
Ushajijibu tayari kama sio namna ya kuingia vitaniSasa kwani msaada sio namna ya kuingia vitani ??
Wewe kafuge vitenge maana huna fact zaidi ya porojoWe
We Kafuge kanga..mlisema tangu 2022 kua russia anamaliza kazi mapema
Matokeo yake hadi sasa ananyonyolewa
Achana na mambo ya kuambiwaUshajijibu tayari kama sio namna ya kuingia vitani
Uliza dunia nzima nchi ipi iko vitani na Russia utaambiwa Ukraine
Kwahio marekani ipo vitani na China???
Hujajibu swali china ipo vitani na marekani???Achana na mambo ya kuambiwa
.urussi mwenyewwe.anajua anapambana na kina nani
Russia's War Budget ShareSource? ISW
ukubwa wa urus ni karibu mara mbili ya ulaya so ni kusema kuwa ni maeneo mawili yapigana yaliyo sawa bila kusahau urus nae ana north korea na wageni kibao wanapigana upande wakeUkraine anasaidiwa na mataifa karibia yote ya ulaya, pamoja na Marekani!
Ukraine ana uwezo wa kuendelea kupigana na Urusi kwa muda mrefu zaidi.
Urusi wanaweza kuvumilia hii piga nikupige?
Hii hasara ya vita, wanaweza kuendelea kuivumilia!?
Russia kaamua kuwafinya western pale pale ndani ya UkraineKwanza vita ilipoanza jamaa alishindwa kabisa kukaa pale Kyiv akaruhusu hawa watu kuingia na kujipanga mle ndani..Wote tunajua lengo la hii vita ni kufanikiwa kuisambaratisha Urusi ili utajiri ule ugawannywe hakuna mtu hata mmoja anaipenda ile Ukraine...
Ukraine kama nchi imeshaisha sasa wanaopiganisha ni Watu wa NATO kinachoshangaza ni kwanini Putin asimsort yule puppet wao zele ampe chuma ili hawa jamaa waogope Serikali hizi zote za Ulaya zinapewa maelekezo na Mashirika na Kampuni nini wafanye nini wasifanye....
Wewe unazungumza kama umefika pande zote 2Warusi wanamkubali Putin kwa kuipambania Russia..
Wananchi wa Ukraine ndio wanalalamika Zelensky kuwaletea hio vita, hata wengine kukataa kujiunga jeshini na kupelekwa jeshini kwa lazima...
kwamba ulaya ipo tayari kuingia vita na Nuclear superpower?wewe na ulaya kama nafikiria hivyo wote hamna akili.Hapana, kitendo cha kuona kuwa mataifa makubwa ya ulaya yapo tayari kuingia vitani dhidi ya Urusi kwasababu tu ya kumkingia kifua Ukraine ndio kinafanya nione Urusi amenasa mtegoni.
Sawa jini-ass!kwamba ulaya ipo tayari kuingia vita na Nuclear superpower?wewe na ulaya kama nafikiria hivyo wote hamna akili.
umewahi kuona Marekani anapigana na nchi yenye Nuclear?kwa sababu anajua hashindi hakuna mshindi wa vita ya nuclear.Sawa jini-ass!
Kwani Marekani sio nuclear superpower!?
Maana naona Iran anapigana nae bila uoga!
Why only two killed?Usiku wa kuamkia leo, Ukraine imefanikiwa kufanya shambulizi kubwa la drones na kufanikiwa kupiga mitambo ya nishati ya mafuta katika jiji la Moscow, ndio sijakosea jiji la Moscow?
Mimi binafsi sikuwahi kufikiria kuwa tutafika huku kwenye hii vita
Kwasasa Putin ana machaguo mawili tu, chaguo la kwanza ni kukubali kusitisha vita dhidi ya Ukraine.
Chaguo la pili ni kuwapiga wanaomsaidia Ukraine, yaani kutanua vita, sina uhakika na uwezo wake katika hili chaguo la pili.
Nini mtazamo wako katika hili?
Putin alikurupuka, alizichanga vibaya karata zake!?
Anavukaje kwenye hii aibu inayoelekea kumkabiri!?
View attachment 3674360
View attachment 3674355
Hata Urusi ipo ulaya piaPia bila kusahau, hivi karibuni nchi za ulaya zimeanza mikakati ya kujipanga dhidi ya vita na Urusi.
Nchi za ulaya zinajua zinachokifanya!!!
Nani kamkataza kupiga vita? Tangu afurushwe na Yale mavifaru yake kapoteza mazimaMtoto kaanza dharau oytin inabidi apige vita sio oparation yema
Putin alikurupuka kuanzisha hii vita.Usiku wa kuamkia leo, Ukraine imefanikiwa kufanya shambulizi kubwa la drones na kufanikiwa kupiga mitambo ya nishati ya mafuta katika jiji la Moscow, ndio sijakosea jiji la Moscow?
Mimi binafsi sikuwahi kufikiria kuwa tutafika huku kwenye hii vita
Kwasasa Putin ana machaguo mawili tu, chaguo la kwanza ni kukubali kusitisha vita dhidi ya Ukraine.
Chaguo la pili ni kuwapiga wanaomsaidia Ukraine, yaani kutanua vita, sina uhakika na uwezo wake katika hili chaguo la pili.
Nini mtazamo wako katika hili?
Putin alikurupuka, alizichanga vibaya karata zake!?
Anavukaje kwenye hii aibu inayoelekea kumkabiri!?
View attachment 3674360
View attachment 3674355