Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

Nenda kasome kuhusu utofauti wa hiyo migogoro kwanza maana unaonesha hujui nini unachobishania.
Kwa akili zako Marekani ataishambulia Urusi ambayo ni nuclear powered nation!?? Doh!

USA ni mtu mwenye veto kubwa NATO wala sio kwamba ndio NATO yenyewe. Ingekua hivyo asingekua anaomba msaada kwa nchi wanachama waingiapo vitani.
Kumbe sababu ya Iran kutoshambulia US inatokana na aina ya mgogoro ulivyo?! Yaani aina ya mgogoro huo Tehran kushambuliwa na kuuliwa viongozi wake wa juu kabisa ni sawa ila US kufanyiwa hivyo na Iran ndo hapana! Basi sasa hata wangekuwa majirani kama inshu ni aina ya mgogoro US bado asingeshambuliwa na Iran, kuhusu NATO ndo US nishakupa pole tayari.
 
Doh aisee kuendesha mjadala na aina hii ya mtu ni kazi sana.
Aliyesuka mipango ya kuuliwa viongozi ni ISRAEL. Aliye coordinate mashambulizi na mauaji ya viongozi ni Israel sio Marekani. Marekani alikuja kama mshirika.
Tumia akili muda mwingine aisee!
Marekani aliishambulia Iran kwa kambi zake za Mashariki ya kati,ulitaka Iran ilipue Washington DC na kuacha kuzishambulia kambi zilizopo middle east kwanza!??
Statement hii tu inajulisha unajadili usichokifahamu.
Utumie akili ingekua NATO ni US pekee basi asingehangaika kuomba msaada kwa nchi wanachama.
 
Kosa alilolifanya Urusi ni kipindi kile ameweka msafara wa vifaru na magari ya kijeshi kilomita 60 kuelekea Kievu akaamua kurudi nyuma sijui alirudishwa. Urus alitakiwa aimalize Kiev kipindi kile.
Putin ali-underestimate mambo,
Ule msafara ulisambaratishwa chap, uliwashwa moto yakabaki maskrepa
 
Doh aisee kuendesha mjadala na aina hii ya mtu ni kazi sana.
Aliyesuka mipango ya kuuliwa viongozi ni ISRAEL. Aliye coordinate mashambulizi na mauaji ya viongozi ni Israel sio Marekani. Marekani alikuja kama mshirika.
Tumia akili muda mwingine aisee!
Marekani aliishambulia Iran kwa kambi zake za Mashariki ya kati,ulitaka Iran ilipue Washington DC na kuacha kuzishambulia kambi zilizopo middle east kwanza!??
Statement hii tu inajulisha unajadili usichokifahamu.
Utumie akili ingekua NATO ni US pekee basi asingehangaika kuomba msaada kwa nchi wanachama.
Unaona kazi kwa sababu hutumii akili bali unatumia mihemko, kwa akili yako Israel anaweza kuanzisha vita na Iran! Hivi kwa akili yako kati ya US na Israel nani mwenye uwezo kuanzisha vita na Iran?! Kwa taarifa yako tu Israel Hana uwezo wa kupigana na Iran peke yake lakini US sio tu anaweza kupigana na Iran peke yake bali anaweza kuichapa Iran peke yake. Eti aliyesuka mipango kuuliwa viongozi ni Israel!! sasa kama tu aliyesuka mipango ya kuwepo taifa la Israel la namna ile ni US sasa Israel anawezaje kusuka, kuamua na kutekeleza mipango mikubwa namna ile!, usichokijua tu kila kitu kilipangwa washington wala sio Israel.
NATO ni mchongo wa US kujitanua kijeshi Ulaya mpaka ulaya mashariki, Ujerumani anaweza kutoka NATO leo na NATO ikaendelea kuwepo lakini hakuna NATO bila US.
 
Kumbe mashambulizi yalitokea tu angani pasi na kuratibiwa kambini!??
Umeuliza yalitokea wapi au yaliratibiwa wapi, mbona unajikanyagakanyaga sana! Mashambulizi ya kijeshi yanaweza kuja kwa kutokea Angani, majini na nchi kavu. Na wewe uliuliza yalitokea wapi
 
Nashindwa kuendesha mjadala na mtu kama wewe kwasababu HUNA UNACHOJUA unabishana kitu USICHOJUA.
Kuundwa kwa Israel hakumaanishi kuwa Israel haiwezi kusuka mipango dhidi ya Iran.
Tofautisha kuanzisha vita na kusuka mipango.
Sijui hata darasani kama ulikua unafaulu wewe kwa kichwa hiko.
-Kuanzia 1995 Iran ilipoanza kukua kiuchumi na kiteknolojia Israel ndio waliokua wakiua wasomi wa Iran na kutengeneza espionage za uongo za silaha za nuclear Iran. Lengo la Israel ni Iran isije ikawa tishio kwake mashariki ya kati.
Kuanzia rais wa Marekani 1995 hadi kufikia Obama wote walikataa kuungana na Israel ili kuishambulia Iran. Hata Obama alizungumza na hata Biden alizungumza kuwa Netanyahu aliwahi kuwafuata ili awashawishi waivamie Iran na Obama alijibu simple kuwa Iran haina tatizo na Marekani kwasababu washasainishana mkataba wa JCPOA.
-Aliyesuka mipango ni Israel hata kama mipango ilisukwa Marekani kaa ukilijua hilo. Na ndio maana Netanyahu alikua akienda mara kwa mara USA. Ni Trump pekee ndiye aliyekubali kuingia hii vita.
Unadhani bila Israel/Netanyahu kuishawishi USA iingie vitani wangeingia!? Walioleta taarifa za kiintelijensia wote ni Mossad ndani ya Iran.
Ndio maana Iran ilimuona Israel adui mkubwa kuliko Marekani. Hata vita ya June 2025 kipindi Araghchi anaenda Geneva kwenye mazungumzo Israel ndio ilifanya shambulio la kushtukiza ndani ya Iran ili kimakusudi ivuruge mazungumzo na Marekani ujumuike katika vita. Unluckly USA ikaingilia vita siku 2 za mwisho baada ya kuiona Israel inazidiwa.
Unabishana ilhali huna unachojua.
 
Una akili za KIPUUZI halafu usipende kupindisha maana ya maneno. Kiufupi mashambulizi yalitokea kambi za Marekani mashariki ya kati. Au shambulizi linatokea bila kuratibiwa!? Punguza ufala basi.
 
We

We jamaa ni mbumbumbu wa kiwango cha lami na ndo maana unashindwa mjadala, eti tofautisha kuanzisha vita na kusuka mipango! Vita inaanzia kwenye kusuka mipango na vita ni mipango, mipango sahihi ni ushindi zaidi ya 50% ya vita,
Eti Iran ni tishio kwa Israel 😀😀😀, kwani sio Saudi Arabia au uturuki?! Kwa akili yako ndogo Iran angekuwa rafiki wa US kama alivyo Saudia angeendelea kuwa tishio kwa israel?! Ngoja tu nikufungue akili kidogo we kilaza, hata leo hii beberu US akifanikiwa kupandikiza utawala usiopingana na maslahi ya marekani hicho kitisho Iran kwa Israel kitaondoka automatically, au hujiulizi kwa nini US hakuonyesha zile silaha za maangamizi kule Iraq ambazo alidai Saddam anazo na ndo kisa cha kuivamia Iraq!!
 
Umeamua kunitukana sio! Wacha na mie nikutukane, hivi wewe punga unajua maana ya vita!, kuanzisha mashambulizi kutoka nchini kwako, kwenye base, kwenye manowari,nk nayo ni excuse kwenye vita, we punga yaani unataka kumchagulia adui namna ya kukushambulia!! Wewe kwenye upunga wako unaweza kumchagulia basha akupake mafuta au aweke kavukavu!!
 
Unavyozidi kutumia hilo neno unazidi kuonesha wewe ni fala tu.
Strategically USA alitumia kambi zake za middle east kumshambulia Iran na ndio maana Iran ikajibu kwa kushambulia hizo kambi. Au wewe kwa ufala wako na UPOYOYO wako ulitaka Iran ishambulie Washington DC ilhali mashambulizi yametoka kambi za middle east!??
Unavyozidi kuropoka unazidi kujionesha wewe ZWAZWA NA FALA. Na huo ndio uhalisia wako ndio maana unaanza kutukana matusi yasiyofaa.
 
We
We jamaa ni mbumbumbu wa kiwango cha lami na ndo maana unashindwa mjadala, eti tofautisha kuanzisha vita na kusuka mipango! Vita inaanzia kwenye kusuka mipango na vita ni mipango, mipango sahihi ni ushindi zaidi ya 50% ya vita,
Eti Iran ni tishio kwa Israel 😀😀😀, kwani sio Saudi Arabia au uturuki?! Kwa akili yako ndogo Iran angekuwa rafiki wa US kama alivyo Saudia angeendelea kuwa tishio kwa israel?! Ngoja tu nikufungue akili kidogo we kilaza, hata leo hii beberu US akifanikiwa kupandikiza utawala usiopingana na maslahi ya marekani hicho kitisho Iran kwa Israel kitaondoka automatically, au hujiulizi kwa nini US hakuonyesha zile silaha za maangamizi kule Iraq ambazo alidai Saddam anazo na ndo kisa cha kuivamia Iraq!!
Unavyozidi kuongea unazidi kujionesha wewe huna unalojua. Ila usijali mdogo wangu nitakuelekeza vizuri kila kitu.
1967 six days war hivi unajua kama Misri na Marekani walikua wana uhusiano mzuri ndio maana Rais wa USA alimuamuru Israel asitishe vita!?? Ila Israel alikua anaiona Misri kama tishio ndio maana still akataka kuendelea na vita.
-1980 -1988 vita ya Iraq vs Iran,hivi unajua kama Israel aliisaidia Iran kushinda vita dhidi ya Iraq na Marekani?? Japokua Saddam Hussein alikua rafiki wa USA ila Iraq ilikua tishio kwa Israel na Israel haikutaka Iraq isalie kuwa na nguvu.
Vivyo hivyo kwa Marekani na Iran kwasasa. Toka kipindi cha Obama normalization ilishaanza ila Netanyahu alikataa hiyo normalization. Na ndio maana licha ya kuwa JCPOA ilisainiwa 2015 still bado Israel aliendelea kuua wasomi wa Iran na kufadhili makundi hasimu ya Iran. 2018 akaishawishi US chini ya Trump ivunje mkataba irudi kuiwekea vikwazo Iran. Biden alipoingia madarakani alikua katika mchakato wa ku normalize ties na Iran ila Netanyahu akalipinga hilo.
Kijana usizidi kuongea unazidi kuonesha wewe ni MJINGA NA HAUNA UNACHOJUA.

Unaweza ukaanzisha vita bila hata kuratibu hiyo vita. Usiwe punguani kiasi hicho.
Kataa ukubali Israel ndio adui mkuu wa Iran. Inamaana wewe unajua kuliko Obama aliyemkatalia Netanyahu kuanzisha vita 2013 akimwambia kuwa Iran haina tatizo na USA bali hiyo ni vita yenu!?? Hongera basi utakua na akili kuliko Obama kijana.
 
Unavyozidi kutumia hilo neno unazidi kuonesha wewe ni fala tu.
Strategically USA alitumia kambi zake za middle east kumshambulia Iran na ndio maana Iran ikajibu kwa kushambulia hizo kambi. Au wewe kwa ufala wako na UPOYOYO wako ulitaka Iran ishambulie Washington DC ilhali mashambulizi yametoka kambi za middle east!??
Unavyozidi kuropoka unazidi kujionesha wewe ZWAZWA NA FALA. Na huo ndio uhalisia wako ndio maana unaanza kutukana matusi yasiyofaa.
Kwamba marekani akiishambulia Urusi kupitia military base zake Urusi atajibu kwa kushambulia tu base za marekani, kumbe kwenye vita adui akikushambulia ardhi yako kupitia manowari inabidi uishambulie tu ile manowari!😀😀😀 Ama kweli we ni punga na unawaza kipungapunga.
 
Unazidi kuonesha hujielewi we kheri unyamaze usiongee tu.
Kwanza Marekani ana millitary base kuizunguka Urusi!? Jibu HAPANA.
Pili strategically lazima ushambulie kambi zilizokushambulia kwanza ili kuondoa existential threat kabla ya kupanga hatua zingine. Kwa UJINGA wako leo hii USA akiishambulia Urusi kwa kambi za NATO ULAYA unataka Urusi ishambulie Marekani directly pasi na kuondoa tishio ya zile kambi za karibu kwanza!?? Unashindwa kujiuliza kuwa hayo makombora si yatazuiwa na hizo kambi kabla hata kusafiri kwenda Marekani!??
Yani uache kumalizana na hatari ya karibu ushambulie mbali kwanza!?? Naona wazee wako walipoteza fedha kwa kukusomesha wewe.
 
Punga ni punga tu, military base ya kushambulia Urusi lazima ziwe zimeizunguka Urusi!! Hujui marekani ana base za Asia ambapo ni karibu zaidi kushambulia Urusi kuliko kushambulia kutokea US, nimesema marekani akishambulia kupitia base zake afu wewe unaleta mambo ya base za NATO😃😃 au ndo kuchanganyikiwa kwenyewe huko na kampeni ya Konki master oil chafu😀😀, kwa hiyo Iran anashambulia kambi za US kwanza afu tutegemee baadae kuchambulia ndani ya ardhi ya US kama yeye alivyoshambuliwa si ndio, ila🤣🤣🤣
 
Pia bila kusahau, hivi karibuni nchi za ulaya zimeanza mikakati ya kujipanga dhidi ya vita na Urusi.
Nchi za ulaya zinajua zinachokifanya!!!
Mzungu anaweza kupigana vita na wewe miaka 200 bila wewe kujua.

Putin ile vita dhidi ya Ukraine alikurupuka na ile vita hatoboi Putin
 
Putin alikosea sehemu moja tu. Siku za kwanza wakati anatawala anga la Ukraine ndio alitakiwa amalize Hii vita chap, aka misuse the opportunity NA ndo ikawa historia hadi sasa.
 
Back
Top Bottom