Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,710
- 9,317
Kama Urusi na Iran wanaweza kumpiga Marekani. Kwanini wanawekewa vikwazo na Marekani na vinafanya kazi? Kwao wao wasimuwekee vikwazo Marekani?Ego!
Kama mwenzake Marekani alivyonasa kwenye mtego wa vita dhidi ya Iran!
Iran hawezi kupigana vita na Marekani akashinda ni yale ya Marekani na Afghanistan kisha Pakistan anamshinda Afghanistan 😀😀😀😀 Kwa maana hiyo Pakistan anamshinda Marekani kwenye vita.
Kama Iran yupo Serious kwa vita apige Marekani kama alivyofanya Ukraine, Zalensky kuipiga Moscow😀😀😀 Marekani anapiga moja kwa moja Iran ila Iran anaishia kulipua kambi tu😀😀😀