Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

Ni superpower.
Ni vile amenasa tu kwenye mtego, Wamarekani wabaya sana aisee!!!
Super power ya zamani...bila msaada wa China Urusi Ilikuwa imeshatepeta muda mrefu tu kwenye huu msala, China akikubaliana na Magharibi kuacha ku supply vifaa na kununua mafuta yake, Urusi Haina ujanja.
Lakini hakuna nchi yenye leverage kama hiyo kwa nchi kama China au Marekani, hizi ndio Superpower sasa.
Urusi Ilikuwa zama za Usoviet
 
Russia ipeni heshima yake tu...
US hio hapo imekimbia mziki wa Iran...
Kwa kifupi Russia imeishaimaliza Ukraine, Russia hivi sasa inapambana na collective west..
Ukraine so bado huyo anashambulia mji wa Urusi? Iran anapambana lakini yeye hajapiga mji wa Marekani, Wamarekani wanalala vizuri, na vita Yao haina mwaka, Urusi Ina miaka 4
 
Usiku wa kuamkia leo, Ukraine imefanikiwa kufanya shambulizi kubwa la drones na kufanikiwa kupiga mitambo ya nishati ya mafuta katika jiji la Moscow, ndio sijakosea jiji la Moscow?

Mimi binafsi sikuwahi kufikiria kuwa tutafika huku kwenye hii vita

Kwasasa Putin ana machaguo mawili tu, chaguo la kwanza ni kukubali kusitisha vita dhidi ya Ukraine.

Chaguo la pili ni kuwapiga wanaomsaidia Ukraine, yaani kutanua vita, sina uhakika na uwezo wake katika hili chaguo la pili.

Nini mtazamo wako katika hili?

Putin alikurupuka, alizichanga vibaya karata zake!?

Anavukaje kwenye hii aibu inayoelekea kumkabiri!?

View attachment 3674360

View attachment 3674355
Mimi nipo nutro. Kosa alilolifanya Urusi ni kipindi kile ameweka msafara wa vifaru na magari ya kijeshi kilomita 60 kuelekea Kievu akaamua kurudi nyuma sijui alirudishwa. Urus alitakiwa aimalize Kiev kipindi kile.

Kosa alilolifanya Urus ni kuieteka Donbass na kuridhika kwamba hiyo ni sehemu ya Urus huku akitegeshea mazungumzo kama yakitokea basi Donbass iwe sehemu ya Urus. Wakati huohuo kumbe Ukrain hayupo tayari kuachia Donbass na mwisho wa siku vita vimekuwa vya muda mrefu na Ukrain na NATO wanazidi kujipanga. Leo Ukrain anashambulia ndani ya Urus na Urus hana uwezi tena wa kutumia nyuklia mana na hao NATO wamejipanga kwa hilo kujibu mashambulizi!
 
Humu Kuna wajinga wengi sana.
Hii ni vita na vita ni piga nikupige ,ila tunaangalia nani anapata hasara kubwa zaidi.
Urusi imewatia hasara sio TU Ukraine Bali all collective west.
Maana vita hii ni vita kati ya Urusi na all collective west.
Kama Urusi ingekua inazidiwa ule ujumbe wa USA usingeemda Moscow juzi kati hapa kumbembeleza Putin amalize vita.

Kama ni hasara mbona hata Marekani amepata hasara kubwa sana huko gulf?
Muda sio mrefu UKRAINE inaenda kua landlocked baada ya Odessa kutwaliwa.

By the way hayo mashambulizi ya droni huko ndani ya Urusi hayabadilishi chochote ktk vita zaidi ya kukera na kutia hasara,lkn mashambulizi ya Urusi ndani ya Ukraine yanairahisishia Urusi kuteka maeneo Zaid.
Rais wa mmoja wa ulaya karropoka katoa Siri kua Ukraine wanakufa wanajeshi 27000 kwa mwezi taarifa hizi kapewa na Zelensky.

Ukraine's losses amount to approximately 27,000 killed and wounded each month — Tusk​

September 19, 2026 at 11:01 AM • 11795 переглядiв

Donald Tusk said that Ukraine's losses amount to approximately 27,000 killed and wounded each month. He linked this to Russia's new tactics.
Ukraine’s losses have recently amounted to about 27,000 killed and wounded per month. Polish Prime Minister Donald Tusk stated this, reports UNN.
Unaita wenzako wajinga kwani wewe mbona mjinga tu zaidi
Una emotions nyingi sana za kiushabiki Hadi unadhindwa kuona ujinga wako.
 
Ukraine so bado huyo anashambulia mji wa Urusi? Iran anapambana lakini yeye hajapiga mji wa Marekani, Wamarekani wanalala vizuri, na vita Yao haina mwaka, Urusi Ina miaka 4
Iran haihitaji kuipiga US nchini kwake...

Unaanzaje kuipiga US nchini kwake hali ya kuwa umezungukwa na kambi zake za kijeshi kila kona...

Iran kazitandika vibaya sana hizo kambi, hebu niambie mara ya mwisho ni nchi gani ilikuwa na kiburi kupiga kambi za US? Na hata kuua askari wake?

Russia kachukua hekari za kutosha kutoka Ukraine, huoni ni mafanikio hayo?

Je US hio vita amefanikiwa lipi? Regime change? Kuteketeza uranium? 🤣🤣

Hakuna hata moja kufanikisha... shame..
Kibaya zaidi Iran sasa inatumia missile zenye precision kubwa kuliko mwanzoni hadi US analia kwamba Russia anatoa Intel...
 
Ukraine's losses amount to approximately 27,000 killed and wounded each month — Tusk​

September 19, 2026 at 11:01 AM • 11795 переглядiв

Donald Tusk said that Ukraine's losses amount to approximately 27,000 killed and wounded each month. He linked this to Russia's new tactics.
Ukraine’s losses have recently amounted to about 27,000 killed and wounded per month. Polish Prime Minister Donald Tusk stated this, reports UNN.
Mzee mbona Urusi nae anapoteza wanajeshi Hadi anachukua wa Korea kaskazini na kuwatapeli Waafrika kupigana? Ndio maana ya vita, kila upande lazima upoteze
 
Iran haihitaji kuipiga US nchini kwake...

Unaanzaje kuipiga US nchini kwake hali ya kuwa umezungukwa na kambi zake za kijeshi kila kona...

Iran kazitandika vibaya sana hizo kambi, hebu niambie mara ya mwisho ni nchi gani ilikuwa na kiburi kupiga kambi za US? Na hata kuua askari wake?

Russia kachukua hekari za kutosha kutoka Ukraine, huoni ni mafanikio hayo?

Je US hio vita amefanikiwa lipi? Regime change? Kuteketeza uranium? 🤣🤣

Hakuna hata moja kufanikisha... shame..
Kibaya zaidi Iran sasa inatumia missile zenye precision kubwa kuliko mwanzoni hadi US analia kwamba Russia anatoa Intel...
US inepigana vita nyingi, nyingine imeshindwa nyingine imeshindwa, hapa siungi mkono vita ya Iran ama ya Ukraine, vita ni mbaya zote.

But Iran, vita inapiganwa nyumbani kwake, hasara ni kubwa, kwa uchumi, kwa raia wa kila siku, sio kijeshi pekee.
Kwa US anapiga Kambi, lakini ni miundombinu ya kijeshi only, miji ya US, miundombinu yake, raia na uchumi vipo salama
Kwa Russia, anapugana na Ukraine, anashambulia lakini na yeye anashambulia directly na kapoteza Malaki ya wanajeshi, miundombinu ya kiuchumi imepigwa directly na uchumi kauthirika Moja kwa moja
 
Warusi wanamkubali Putin kwa kuipambania Russia..

Wananchi wa Ukraine ndio wanalalamika Zelensky kuwaletea hio vita, hata wengine kukataa kujiunga jeshini na kupelekwa jeshini kwa lazima...

Nila shaka unaishi Ulimwengu wa giza, Ulimwengu wenye ujinga mwingi. Uliyotaandika ni uwongo mtupu.

Warusi hawamtaki Putin, na walio wengi hawaitaki kabisa hiyo vita. Vijana wengi wameamua kuondoka Urusi na kwenda mataifa jirani ili kujitenga na hiyo vita.

total cumulative estimates suggest about 1 million russians left the country across major waves (primarily immediately following the February 2022 invasion and the military draft announcement in September 2022)
 
Hakuna nchi yeyote hapo itajitokeza..
Hao hata kuisaidia US kupambana dhidi ya Iran wamekula kona..
Actualy us hawakuwa na mpango wa kuipjga iran, it trump ambitions. The fact that even top generals wali reseist huo mpango but still akawakuza kazi ili aweke chawa wake that should tell yoi something. Hivi ni miscalculation za trump admin
 
Super power ya zamani...bila msaada wa China Urusi Ilikuwa imeshatepeta muda mrefu tu kwenye huu msala, China akikubaliana na Magharibi kuacha ku supply vifaa na kununua mafuta yake, Urusi Haina ujanja.
Lakini hakuna nchi yenye leverage kama hiyo kwa nchi kama China au Marekani, hizi ndio Superpower sasa.
Urusi Ilikuwa zama za Usoviet
😀😀😀
Hua mnatoa wapi hizi hoja za kitoto china akiacha kuisapoti Russia na western wakiacha kuisapoti Ukraine nani anaenda kupotea
Na kwanini hua munapinga Russia kusapotiwa ila wapinzani wake kusapotiwa hakuna shida
Muda tu nilikua nawaambia ilia hii mbungi Russia akae basi ni China kutokumpa sapoti nje na hapo musahau kabisa
 
Ukraine so bado huyo anashambulia mji wa Urusi? Iran anapambana lakini yeye hajapiga mji wa Marekani, Wamarekani wanalala vizuri, na vita Yao haina mwaka, Urusi Ina miaka 4
Wamarekani wanalala vizuri sababu hawapigani na jirani yao
Pia hata Russia ilianza siku kama marekani
Russia haikutangaza siku ila Turampet alisema week nne ila mpaka sasa kimemnasa
 
Usiku wa kuamkia leo, Ukraine imefanikiwa kufanya shambulizi kubwa la drones na kufanikiwa kupiga mitambo ya nishati ya mafuta katika jiji la Moscow, ndio sijakosea jiji la Moscow?

Mimi binafsi sikuwahi kufikiria kuwa tutafika huku kwenye hii vita

Kwasasa Putin ana machaguo mawili tu, chaguo la kwanza ni kukubali kusitisha vita dhidi ya Ukraine.

Chaguo la pili ni kuwapiga wanaomsaidia Ukraine, yaani kutanua vita, sina uhakika na uwezo wake katika hili chaguo la pili.

Nini mtazamo wako katika hili?

Putin alikurupuka, alizichanga vibaya karata zake!?

Anavukaje kwenye hii aibu inayoelekea kumkabiri!?

View attachment 3674360

View attachment 3674355
Vita ina matokeo mengi hayo ni sehemu ya matokeo ila je kuna kipande chchote cha ardhi kilichoporwa na Russia kimekombolewa na Ukraine??
 
Tayari huko

Teh Teh Teh watu wanafikiri hii ni kama Simba na Yanga wenzenu wameanza Evacuation huko......
 
Russia ipeni heshima yake tu...
US hio hapo imekimbia mziki wa Iran...
Kwa kifupi Russia imeishaimaliza Ukraine, Russia hivi sasa inapambana na
Vita za siku hizi ni za kulegezana kiuchumi, Putin kwa sasa yuko hoi hui mfupa atahangaika nao sana maana wenzake wanatoa makucha kwa step.

Mwanzo ukrain ilikuwa inanyimwa ruhusu ya kishambulia moja kwa moja ndani ya Urusi sasa jiulize nini kimetokea sasa hivi? Haipiti siku 2 Ukrain hawajapiga refinery au kiwannda chochote ndani ya Urusi, unafikiri hii ni nzuri sana kwa Putin?

Unaambiwa pia ukrain wenyewe wameanza kujitengenezea makombora na drones zao sasa hivi.

Putin analo
 
Humu Kuna wajinga wengi sana.
Hii ni vita na vita ni piga nikupige ,ila tunaangalia nani anapata hasara kubwa zaidi.
Urusi imewatia hasara sio TU Ukraine Bali all collective west.
Maana vita hii ni vita kati ya Urusi na all collective west.
Kama Urusi ingekua inazidiwa ule ujumbe wa USA usingeemda Moscow juzi kati hapa kumbembeleza Putin amalize vita.

Kama ni hasara mbona hata Marekani amepata hasara kubwa sana huko gulf?
Muda sio mrefu UKRAINE inaenda kua landlocked baada ya Odessa kutwaliwa.

By the way hayo mashambulizi ya droni huko ndani ya Urusi hayabadilishi chochote ktk vita zaidi ya kukera na kutia hasara,lkn mashambulizi ya Urusi ndani ya Ukraine yanairahisishia Urusi kuteka maeneo Zaid.
Rais wa mmoja wa ulaya karropoka katoa Siri kua Ukraine wanakufa wanajeshi 27000 kwa mwezi taarifa hizi kapewa na Zelensky.

Ukraine's losses amount to approximately 27,000 killed and wounded each month — Tusk​

September 19, 2026 at 11:01 AM • 11795 переглядiв

Donald Tusk said that Ukraine's losses amount to approximately 27,000 killed and wounded each month. He linked this to Russia's new tactics.
Ukraine’s losses have recently amounted to about 27,000 killed and wounded per month. Polish Prime Minister Donald Tusk stated this, reports UNN.
Tatizo wewe na 100 others hampo fair katika mjadala huu. Ni ukweli usiopingika kuwa:
1. Wengi tulifikiri ingechukua siku 3 vita hii kumalizika. Lakini hadi leo inaendelea. Ni sawa na Vita ya Iran na USA ambayo hakuna mtu alitegemea kuwa hadi sasa, utawala wa Iran ungekuwa unadunda.
2. Nchi iliyopigika ki vile, kupiga mji mkuu wa Urusi! Ni kitendawili kisichoteguka.

Hakuna anayesema Ukraine haijapata hasara ya ajabu ila bado ime resist na huo ni ushindi mkubwa. Hadi sasa
 
Back
Top Bottom