Na imefika kwa Russia kwasababu ni nchi zinazochangia mipaka. Jiulize Marekani ingekua inakaribiana mipaka na Iran ingekuaje!??Tofautisha mambo, vita ya Iran haujafika nyumbani kwa US, vita ya Ukraine imefika nyumbani kwa Russia
Na imefika kwa Russia kwasababu ni nchi zinazochangia mipaka. Jiulize Marekani ingekua inakaribiana mipaka na Iran ingekuaje!??Tofautisha mambo, vita ya Iran haujafika nyumbani kwa US, vita ya Ukraine imefika nyumbani kwa Russia
Je marekani kafikaje Iran?!Na imefika kwa Russia kwasababu ni nchi zinazochangia mipaka. Jiulize Marekani ingekua inakaribiana mipaka na Iran ingekuaje!??
Marekani aliunda kambi 23 kuizunguka Iran miaka 45 nyuma.Je marekani kafikaje Iran?!
Afanye kwa akili yake na uwezo wake sio lazima aige, mbona Japan alifika US naye aliunda kambi 23 miaka 45 kuizunguka US?!Marekani aliunda kambi 23 kuizunguka Iran miaka 45 nyuma.
Ulitaka na Iran afanye hivyo hivyo!??
Situation ya Japan na Iran ni tofauti. Iran ikiwa katika situation ya Japan basi atafika tu Marekani. Maana kwa mujibu wao wameshaunda makombora ya ICBM.Afanye kwa akili yake na uwezo wake sio lazima aige, mbona Japan alifika US naye aliunda kambi 23 miaka 45 kuizunguka US?!
Tofauti yake ni nini?! Kwa hiyo suala sio umbali tena! Kipi kinamshinda kwa sasa kumfikia adui wake wakati uwezo anao?! Au yeye anapenda tu ashambuliwe ndani ya ardhi lakini hapendi kushambilia ndani ya ardhi ya adui!! Kama ndo hivyo mbona anashambulia ndani ya ardhi ya Israel?!Situation ya Japan na Iran ni tofauti. Iran ikiwa katika situation ya Japan basi atafika tu Marekani. Maana kwa mujibu wao wameshaunda makombora ya ICBM.
Ila kuna watu humu JF hawajui kuongea kwa logic kabisa. Mtu anashangaa Ukraine kuishambulia Russia halafu analinganisha na Iran kutoishambulia USA ndani ya Washington.Na imefika kwa Russia kwasababu ni nchi zinazochangia mipaka. Jiulize Marekani ingekua inakaribiana mipaka na Iran ingekuaje!??
Ila kuna watu humu JF hawajui kuongea kwa logic kabisa. Mtu anashangaa Ukraine kuishambulia Russia halafu analinganisha na Iran kutoishambulia USA ndani ya Washington.
Marekani Kaunda kambi kumzunguka Russia, hiyo inamaana kwamba siku washington akiishambulia Moscow Moscow hatiweza kuishambulia Washington?Marekani aliunda kambi 23 kuizunguka Iran miaka 45 nyuma.
Ulitaka na Iran afanye hivyo hivyo!??
Hapa tunaongelea mazingira yalipo sasa kutoa argument kama hiyo mkuu.Marekani Kaunda kambi kumzunguka Russia, hiyo inamaana kwamba siku washington akiishambulia Moscow Moscow hatiweza kuishambulia Washington?
Mkuu tunaongelea kinachojili sasa, vita vya Ukraine vipo Urusi vita vya Iran havipo US, mmesema sababu ni umbali nikauliza US kafikaje Tehran?, mkasema (kisingizio) US alijenga kambi 23 kwa miaka 45 kuizunguka Iran ndo maana kafika, nikauliza Japan naye alifikaje US au naye alijenga kambi 23 kuizunguka US? Mkasema hiyo ilikuwa situation tofauti, nikauliza kivipi? Hamkujibu. Nikauliza tena kama suala ni ukizungukwa hutaweza kuishambulia adui aliyekushambulia hakuna nchi iliyozungukwa kama Russia, hivyo basi russia ikichambuliwa na US haitaweza kulipiza kuishambulia US kama ilivyotokea kwa Iran? Umeleta story ndeefu eti baada ya mzozo huu kitatokea hiki kitatokea kile, kuliko kutabiri ya baadae ni Bora ungejibu tu swali.Hapa tunaongelea mazingira yalipo sasa kutoa argument kama hiyo mkuu.
Pili, kutokana na upinzani anaoupata marekani dhidi ya emerging powers kama Russia, China na wenzake kwa kutaka kuwepo usawa katika kuamua masuala nyeti yanayoamua hatima ya hali ya dunia, unaona kabisa wenzie hawana mpango wa kuitawala dunia ndio maana hawawekezi kijeshi mbali na mipaka ya nchi zao.
Baada ya huu mzozo wa USA/Israe v Iran na Ukraine v Russia dunia itachangamka sana na kila taifa kubwa litakuwa na namna ya kumdhiti amerika.
Israel imekua ikionesha vitisho vya wazi kwa Iran kuliko USA. Usisahau kuwa Israel ndio mfadhili mkuu wa Kurdish fighters,PKK na ISIS. Usisahau kuwa Israel ndio inayoua wasomi na viongozi wa Iran. Usisahau kuwa Israel ndio inayoshinikiza Iran ivamiwe tangu 1995. Ndio maana Iran ilijijenga kuwa na uwezo wa kuishambulia Israel kuliko Marekani.Tofauti yake ni nini?! Kwa hiyo suala sio umbali tena! Kipi kinamshinda kwa sasa kumfikia adui wake wakati uwezo anao?! Au yeye anapenda tu ashambuliwe ndani ya ardhi lakini hapendi kushambilia ndani ya ardhi ya adui!! Kama ndo hivyo mbona anashambulia ndani ya ardhi ya Israel?!
Wewe ndio unapenda kuandika maelezo marefu yasiyo na tija.Mkuu tunaongelea kinachojili sasa, vita vya Ukraine vipo Urusi vita vya Iran havipo US, mmesema sababu ni umbali nikauliza US kafikaje Tehran?, mkasema (kisingizio) US alijenga kambi 23 kwa miaka 45 kuizunguka Iran ndo maana kafika, nikauliza Japan naye alifikaje US au naye alijenga kambi 23 kuizunguka US? Mkasema hiyo ilikuwa situation tofauti, nikauliza kivipi? Hamkujibu. Nikauliza tena kama suala ni ukizungukwa hutaweza kuishambulia adui aliyekushambulia hakuna nchi iliyozungukwa kama Russia, hivyo basi russia ikichambuliwa na US haitaweza kulipiza kuishambulia US kama ilivyotokea kwa Iran? Umeleta story ndeefu eti baada ya mzozo huu kitatokea hiki kitatokea kile, kuliko kutabiri ya baadae ni Bora ungejibu tu swali.
Marekani kaunda kambi kuizunguka Russia wapi!? Hizo kambi ni za ushirika wa NATO sio kambi halali za USA pekee.Marekani Kaunda kambi kumzunguka Russia, hiyo inamaana kwamba siku washington akiishambulia Moscow Moscow hatiweza kuishambulia Washington?
Na anaponishangaza jamaa hajui kupima aina ya migogoro. Huwezi ukafananisha aina hiyo ya migogoro baina ya Russia vs US au US vs Iran. Yeye anaona migogoro yote inafanana. Ilhali aina ya migogoro ndio inayochagiza aina ya mbinu ya kuiendea hiyo migogoro.Ila kuna watu humu JF hawajui kuongea kwa logic kabisa. Mtu anashangaa Ukraine kuishambulia Russia halafu analinganisha na Iran kutoishambulia USA ndani ya Washington.