Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

H
Kisa hilo shambulizi la drone ndipo useme amenasa mtegoni?

Hivi unafahamu Russia hadi sasa inazalisha silaha kwa wingi zaidi kuliko uzalishaji wa nchi zote hapo Ulaya...? Risasi, makombora, magari n.k...
HIi taarifa umeitoa wapi
 
Hakuna taifa ambalo lipo tayari kuingia vitani dhidi ya Russia kwaajili ya Ukraine
Kama lipo taifa gani na linafanyaje sasa wakati huu ndio wakati wa kuingilia ama mpaka kifanyike nini ndio wataingilia hio vita dhidi ya RUSSIA?????
UNa miaka mingapi? We unadhani ukraine anatoa silaha wapi
 
Warusi wanamkubali Putin kwa kuipambania Russia..

Wananchi wa Ukraine ndio wanalalamika Zelensky kuwaletea hio vita, hata wengine kukataa kujiunga jeshini na kupelekwa jeshini kwa lazima...
Daaah kilaza pro.max
 
Hujajibu swali mzee
Raia wamarekani wanafaidika vipi na kupanda kwa bei ya mafuta marekani
Uganda na Tanzania ni mataifa mawili tofauti
Naongelea upandaji wa mafuta marekani unamnufaishaje mmarekani ama upandaji wa mafuta Tanzania unamnufaishaje manzanita
Makampuni yanajulikana kama kupanda kwa bei mara nyingi kama sio zote hua kunawanufaisha
Raia wa kawaida hawafaidiki, matajiri wanaozalisha mafuta wanafaidika
 
Vita ikishakuwa ya Muda mrefu yule dhaifu anajenga Sugu anakuwa hana cha kupoteza tena. Mfano ni shambulio lipi Russia hajalifanya pale Kiev? Target zote muhimu kafanya lakini kwa hali ilivyo Waukrein wamezoea wakajenga Usugu kuwashinda labda uangamize nchi nzima.
Kosa hilo hata USA kalifanya pale Iran, Iran nao wameshakuwa Sugu kwa mabomu tena yakurusha kwa ndege kuwashinda ni vigumu kwa sasa.
Ukraine wanatamani leo kesho vita iishe. Ila Umoja wa Ulaya unampotosha Zelensky. Ukraine imeteketea pabaya na haina hata pa kujishkiza raia kila leo wanakimbia nchi. Tofauti na Iran ambayo bado ina hali nzuri ndani na bado ina uwezo wa kujishikiza katika kila sekta. Kwa Iran vita kaiweza na kaimudu kiasi Trump anatafuta suluhu kwa kuzunguka mbuyu,ila kwa Ukraine ni tofauti wana hali mbaya sana.
 
Tatizo kuna propaganda nyingi sana kutoka Western Countries

Misingi ya uchumi wa Russia bado iko imara, nchi iko vitani lakini bado wana surplus(bei ya mafuta imewaokoa)

Ukraine inashinda vita za Public Relation, kama hivi kupiga refinery moja wanashingilia wiki nzima, lakini kwa ground mambo ni magumu.

Ukraine kaanzisha vita Black Sea, leo yeye ndio anaomba wayamalize, Russia ana options nyingi

Donald Tusk karopoka juzi, Ukraine inapoteza wanajeshi 27,000 kwa mwezi

Europe is in big trouble, hakuna Russia oil & gas, hakuna Middle East oil & gas(Houth kafunga Red Sea, Iran kafunga Hormuz); who will finance Ukraine?

Ukraine akitoboa mpaka June 2027 atakuwa na bahati sana
As of late August and September 2026, reports indicate that only five major Russian oil refineries remain untouched or out of reach from Ukrainian drone strikes across the entire country. With Russia having roughly 32 major refineries in total, this means around 27 major refineries have been successfully targeted or damaged over the course of the conflict, with some individual plants hit more than a dozen times.

Impact on Refining Capacity

Capacity Loss:

Ukraine's General Staff reported that ongoing long-range strikes have knocked out over 45% of Russia's total oil refining capacity.

Fuel Shortages:
The strikes have led to a severe domestic deficit in high-standard Euro-5/K5 gasoline and diesel, prompting emergency export bans on petroleum products by the Kremlin.

Recent Strikes:
High-profile attacks continue to hit critical facilities, including recent operations targeting the Moscow Oil Refinery, as well as refineries in Yaroslavl, Samara, and Bashkortostan. The only refineries remaining unscathed are located deep in eastern Siberia or the far east—beyond the 3,500 to 6,500-kilometer range of current long-range drones.
 
Source?
 
Wewe unasoma kutoka wapi!?
1790080706839.png

Russia is still making money from oil business, tatizo watu wanaangalia moshi mwingi ukifuka wanadhani nchi nzima inawaka
 
Kumbe Ukraine kuishambulia Russia hadi kwa ruhusa ya Mmarekani..

Unakubali kwamba pasipo misaada ya silaha, intel na fedha kutoka US na Collective West, Russia angeshafika Kyiv na kukamata Ukraine?
Sasa u super power wake uko wapi
 
Raia wa kawaida hawafaidiki, matajiri wanaozalisha mafuta wanafaidika
Sasa hapa faida yake nini mzee ?????
Kama kufaidika kwa matajiri ambao ni wachache na kuumia watu maskini ambao ndio wengi kuna haja ya kuzipongeza sirikali zote ulimwenguni
Maana kwa hili na mengine ya upandaji wa bei basi makampuni machache hua yanapiga ndefu kweli kweli
 
Wew ulisema ulaya hawathubutu kumsaidia ukraine
Nilisema wapi?
Ukiambiwa ulete uthibitisho hautakaa ulete mpaka dunia inafika mwisho
Nilichokisema na labda nikirudie tena ukielewe
Hakuna nchi ya ulaya inayotamani kuingia vitani na Russia hili hawathubutu kweli
Kuhusiana na msaada wala sijaligusia usinilishe maneno
 
Back
Top Bottom