Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

Tatizo wewe na 100 others hampo fair katika mjadala huu. Ni ukweli usiopingika kuwa:
1. Wengi tulifikiri ingechukua siku 3 vita hii kumalizika. Lakini hadi leo inaendelea. Ni sawa na Vita ya Iran na USA ambayo hakuna mtu alitegemea kuwa hadi sasa, utawala wa Iran ungekuwa unadunda.
2. Nchi iliyopigika ki vile, kupiga mji mkuu wa Urusi! Ni kitendawili kisichoteguka.

Hakuna anayesema Ukraine haijapata hasara ya ajabu ila bado ime resist na huo ni ushindi mkubwa. Hadi sasa
Ulitegemea vita ya siku tatu 😳😁🤔
 
Tatizo kuna propaganda nyingi sana kutoka Western Countries

Misingi ya uchumi wa Russia bado iko imara, nchi iko vitani lakini bado wana surplus(bei ya mafuta imewaokoa)

Ukraine inashinda vita za Public Relation, kama hivi kupiga refinery moja wanashingilia wiki nzima, lakini kwa ground mambo ni magumu.

Ukraine kaanzisha vita Black Sea, leo yeye ndio anaomba wayamalize, Russia ana options nyingi

Donald Tusk karopoka juzi, Ukraine inapoteza wanajeshi 27,000 kwa mwezi

Europe is in big trouble, hakuna Russia oil & gas, hakuna Middle East oil & gas(Houth kafunga Red Sea, Iran kafunga Hormuz); who will finance Ukraine?

Ukraine akitoboa mpaka June 2027 atakuwa na bahati sana

Please stop cheating people. Russia is fighting a slow, grinding war in Ukraine with massive costs. They are making very small territorial gains while facing heavy economic pressure and escalating drone attacks at home.

Military Situation Slow advances measured in meters per day. Massive losses in soldiers and equipment. No major breakthroughs to collapse Ukrainian lines. Economic Pressure, Heavy international sanctions drain state funds while taxes and food prices are rising for citizens.

The economy is fully tied to wartime production.
Aerial and Hybrid Warfare.
Massive drone and missile strikes target Ukrainian energy, Ukraine now launches large counter-drone attacks inside Russia. Border incidents test NATO resolve near Poland.

CSIS | Center for Strategic and International Studies.
Russia's Grinding War in Ukraine - CSIS27 Jan 2026 — From mid-November 2024 to early January 2026, Russian forces advanced approximately 9.5 kilometers, at an average pace of about 23 meters per day.

Sanctions continue to have a significant impact. Russia has lost access to $450 billion in assets, and 80% of its banking system is under sanction. Ukraine has hit Moscow With Over 1100 Drones in the past few days.

Since the spring of 2026, Kyiv has used an upgraded long-range arsenal that contains many drone models, along with a growing quantity of domestically developed missiles.

Russia appears to be increasing its hybrid warfare against Ukraine's allies - edging closer to a direct attack on a Nato country. In September, using its latest drones..
Russia strikes Ukraine with drones as Poland warns of 'escalation'.
 
Vita za siku hizi ni za kulegezana kiuchumi, Putin kwa sasa yuko hoi hui mfupa atahangaika nao sana maana wenzake wanatoa makucha kwa step.

Mwanzo ukrain ilikuwa inanyimwa ruhusu ya kishambulia moja kwa moja ndani ya Urusi sasa jiulize nini kimetokea sasa hivi? Haipiti siku 2 Ukrain hawajapiga refinery au kiwannda chochote ndani ya Urusi, unafikiri hii ni nzuri sana kwa Putin?

Unaambiwa pia ukrain wenyewe wameanza kujitengenezea makombora na drones zao sasa hivi.

Putin analo
Walikuwa wananyimwa ruhusa na nani kushambulia ndani ya Russia?
 
Please stop cheating people. Russia is fighting a slow, grinding war in Ukraine with massive costs. They are making very small territorial gains while facing heavy economic pressure and escalating drone attacks at home.

Military Situation Slow advances measured in meters per day. Massive losses in soldiers and equipment. No major breakthroughs to collapse Ukrainian lines. Economic Pressure, Heavy international sanctions drain state funds while taxes and food prices are rising for citizens.

The economy is fully tied to wartime production.
Aerial and Hybrid Warfare.
Massive drone and missile strikes target Ukrainian energy, Ukraine now launches large counter-drone attacks inside Russia. Border incidents test NATO resolve near Poland.

CSIS | Center for Strategic and International Studies.
Russia's Grinding War in Ukraine - CSIS27 Jan 2026 — From mid-November 2024 to early January 2026, Russian forces advanced approximately 9.5 kilometers, at an average pace of about 23 meters per day.

Sanctions continue to have a significant impact. Russia has lost access to $450 billion in assets, and 80% of its banking system is under sanction. Ukraine has hit Moscow With Over 1100 Drones in the past few days.

Since the spring of 2026, Kyiv has used an upgraded long-range arsenal that contains many drone models, along with a growing quantity of domestically developed missiles.

Russia appears to be increasing its hybrid warfare against Ukraine's allies - edging closer to a direct attack on a Nato country. In September, using its latest drones..
Russia strikes Ukraine with drones as Poland warns of 'escalation'.
Tatizo unasoma news from NATO. Time will tell
 
Walikuwa wananyimwa ruhusa na nani kushambulia ndani ya Russia?
Marekani alikuwa anawaamba wasishambulie ndani ya Urusi.

USA alikuwa na target zake , anampukuchukua Putin taratibu
 
Kumbe Ukraine kuishambulia Russia hadi kwa ruhusa ya Mmarekani..

Unakubali kwamba pasipo misaada ya silaha, intel na fedha kutoka US na Collective West, Russia angeshafika Kyiv na kukamata Ukraine?
 
US inepigana vita nyingi, nyingine imeshindwa nyingine imeshindwa, hapa siungi mkono vita ya Iran ama ya Ukraine, vita ni mbaya zote.

But Iran, vita inapiganwa nyumbani kwake, hasara ni kubwa, kwa uchumi, kwa raia wa kila siku, sio kijeshi pekee.
Kwa US anapiga Kambi, lakini ni miundombinu ya kijeshi only, miji ya US, miundombinu yake, raia na uchumi vipo salama
Kwa Russia, anapugana na Ukraine, anashambulia lakini na yeye anashambulia directly na kapoteza Malaki ya wanajeshi, miundombinu ya kiuchumi imepigwa directly na uchumi kauthirika Moja kwa moja
Ni kweli vita ipo gulf, huoni washirika wa US walivyowekwa katika hali mbaya? Huoni mlango bahari umefungwa? Unaelewa athari zake kwa uchumi wa US?

Unafikiri kwanini US bado halali kutafuta namna ya kufungua hormuz?

Kutoishambulia US haimaanishi US haipati hasara na kuathirika kiuchumi na hio vita..

Katika kipindi hiki ambapo US anapambana kiuchumi na China anachofanya Iran ni kuzidi kuiweka US kwenye hali mbaya...

In short Trump amekuwa surprised, kiburi kimeisha..
 
Kiuhalisia athari za Hormuz kufungwa kiuchumi kwa US ni sawa tu na athari zake kwa Tanzania, kupanda kwa bei za mafuta.

Lakini US pia ndio mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani, Hormuz ikifungwa makampuni yake yanayozalisha mafuta yanapata faida zaidi kutokana na mafuta kupanda, so pia kuna upande wa faida kwake.
So kwa nini US ahanagike na kufungiliwa kwa Hormuz? US alijiweka na kuaminiwa kama mlinzi wa amani na usalama hapo Gulf, vita aliianzisha mwenyewe, ana jukumu la kuimaliza ili kulinda reputation yake
 
Vita ikishakuwa ya Muda mrefu yule dhaifu anajenga Sugu anakuwa hana cha kupoteza tena. Mfano ni shambulio lipi Russia hajalifanya pale Kiev? Target zote muhimu kafanya lakini kwa hali ilivyo Waukrein wamezoea wakajenga Usugu kuwashinda labda uangamize nchi nzima.
Kosa hilo hata USA kalifanya pale Iran, Iran nao wameshakuwa Sugu kwa mabomu tena yakurusha kwa ndege kuwashinda ni vigumu kwa sasa.
 
Tatizo wewe na 100 others hampo fair katika mjadala huu. Ni ukweli usiopingika kuwa:
1. Wengi tulifikiri ingechukua siku 3 vita hii kumalizika. Lakini hadi leo inaendelea. Ni sawa na Vita ya Iran na USA ambayo hakuna mtu alitegemea kuwa hadi sasa, utawala wa Iran ungekuwa unadunda.
2. Nchi iliyopigika ki vile, kupiga mji mkuu wa Urusi! Ni kitendawili kisichoteguka.

Hakuna anayesema Ukraine haijapata hasara ya ajabu ila bado ime resist na huo ni ushindi mkubwa. Hadi sasa
Umesema wengi mlifikiri vita ingechukua siku tatu.

Hayo ni maoni Yako na sisi tuna maoni yetu.

Hata nikueleweshe vipi hautakubaliana na Mimi.
Kilichobaki wewe leta taarifa zako za Urusi kupigwa Moscow na sisi tutaketa taarifa zetu za Ukraine kupigwa kiev.
Tusubiri vita iishe ndio tutajua mshindi ni nani.
Ila taarifa latest ni kwamba Ukraine inapoteza wanajeshi 27000 Kila mwezi.
Hii ni Siri iliyovujishwa na RAIS wa Puland.
 
Pia bila kusahau, hivi karibuni nchi za ulaya zimeanza mikakati ya kujipanga dhidi ya vita na Urusi.
Nchi za ulaya zinajua zinachokifanya!!!
Hii vita inakwenda kusambaa taratibu na italeta madhara makubwa huko mbeleni, ni jambo la Muda tu maana hata Putin anamarafiki na hawata kaa kimya watasaidiana tu hasa Europe atakavyoongeza misaada u Ukraine .
 
Kiuhalisia athari za Hormuz kufungwa kiuchumi kwa US ni sawa tu na athari zake kwa Tanzania, kupanda kwa bei za mafuta.

Lakini US pia ndio mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani, Hormuz ikifungwa makampuni yake yanayozalisha mafuta yanapata faida zaidi kutokana na mafuta kupanda, so pia kuna upande wa faida kwake.
So kwa nini US ahanagike na kufungiliwa kwa Hormuz? US alijiweka na kuaminiwa kama mlinzi wa amani na usalama hapo Gulf, vita aliianzisha mwenyewe, ana jukumu la kuimaliza ili kulinda reputation yake
Kama marekani anazalisha mafuta kwa wingi inakuaje bei kwake Ipande kama tz
Makampuni kuingiza faida kuna faida gani kwa wananchi wa kawaida ambao ndio walaji wa mwisho
Kama kupanda kwa mafuta ndio kufaidika kwa nchi ama makampuni ni suala jema basi hata tanzania makampuni yananufaika na hakuna shida ama vp mzee ?
 
Sema drone ni game changer kwenye ulimwengu wa vita. Iran kwa sasa ndio mavingwa wa kutengeneza drone.

Drone hazizuiliki. Unaweza kuzirusha hata 1000 kwa wakati m1. Utaangusha hata 900 mua lazima zikuletee madhara.
Kitu iran aliwafanyia majirani zake. Ni mbaya yu.
 
Kama marekani anazalisha mafuta kwa wingi inakuaje bei kwake Ipande kama tz
Makampuni kuingiza faida kuna faida gani kwa wananchi wa kawaida ambao ndio walaji wa mwisho
Kama kupanda kwa mafuta ndio kufaidika kwa nchi ama makampuni ni suala jema basi hata tanzania makampuni yananufaika na hakuna shida ama vp mzee ?
Ni nchi ya kibepari na soko huria...mfano kukiwa na upungufu wa mahindi Kenya, Uganda na kwingineko na Tanzania inazalisha mahindi kwa wingi, mahindi ya Tz nayo yatapanda bei kama soko ni huru, sababu Kuna watu watayanununua kwa bei ili kupeleka kwenye masoko mengine
 
Umesema wengi mlifikiri vita ingechukua siku tatu.

Hayo ni maoni Yako na sisi tuna maoni yetu.

Hata nikueleweshe vipi hautakubaliana na Mimi.
Kilichobaki wewe leta taarifa zako za Urusi kupigwa Moscow na sisi tutaketa taarifa zetu za Ukraine kupigwa kiev.
Tusubiri vita iishe ndio tutajua mshindi ni nani.
Ila taarifa latest ni kwamba Ukraine inapoteza wanajeshi 27000 Kila mwezi.
Hii ni Siri iliyovujishwa na RAIS wa Puland.
Urusi wao kwa mwezi wajeda wangapi wanaptezwa au ni almost zero
 
Ni nchi ya kibepari na soko huria...mfano kukiwa na upungufu wa mahindi Kenya, Uganda na kwingineko na Tanzania inazalisha mahindi kwa wingi, mahindi ya Tz nayo yatapanda bei kama soko ni huru, sababu Kuna watu watayanununua kwa bei ili kupeleka kwenye masoko mengine
Hujajibu swali mzee
Raia wamarekani wanafaidika vipi na kupanda kwa bei ya mafuta marekani
Uganda na Tanzania ni mataifa mawili tofauti
Naongelea upandaji wa mafuta marekani unamnufaishaje mmarekani ama upandaji wa mafuta Tanzania unamnufaishaje manzanita
Makampuni yanajulikana kama kupanda kwa bei mara nyingi kama sio zote hua kunawanufaisha
 
Back
Top Bottom