SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,968
- 75,042
Kuna umuhimu kwa wabunge wetu angalau kuwa graduate maana wapo shallow supstairView attachment 1061459
Huyu mtu kiukweli anayajua madudu mengi mno ya nchi hii , na kwa jinsi ya maelezo ya kamati ya maadili ya bunge , kuna chuki kubwa sana iliyochanganyika na wivu wa kimasikini uliojaa ushamba mkubwa sana ndani yake dhidi ya Assad.
Nashauri kwenye kipindi hiki cha mpito Profesa huyu aongezewe ulinzi .
Wenye akili wamenielewa .
Mimi ninachoweza kusema ni
Sifa za kuwa mbunge ziangaliwe.
Hakuna haja ya kutafuta mchawi ni nani.
Huwezi kuwa na bunge ambalo ili uwe mbunge eti sifa iwe ni kujua kusoma na kuandika alafu unaingia bungeni kuisimamia serikali.
Haya ni maigizo ambayo kama hayataisha, maendeleo tutaishia kuyaona kwenye tamthilia za kifilipino
Ulinzi uongezwe huko kwenye ujenzi wa SGR na Stigler HEPD tujue raslimali zinazotokana na eneo linalo husika na ujenzi ni kiasi gani na taifa linafaidika vipi nazo?. Mfano magogo ya miti itakayo katwa.
Yasemekana wachina waliojenga TAZARA baadhi yao ni matajiri wa kutisha huko china kwa utajiri walioutoa kwenye raslimali walizopata maeneo yale yaliyopitiwa na ujenzi.
Tuwe macho tusizalishe matajiri wengineWaturuki, Wabeligiji na Waarabu contractors.
Yuko jamaa mmoja alijenga nyumba yake hakuingia gharama za mchanga. Mchanga aliupata kwenye eneo la ujenzi alipochimba mashimo ya maji taka.
Tuone sasa magogo ya miti itakayo katwa selous yatasaidia vipi kupunguza gharama za ujenzi wa Bwawa la kuzalisha umeme.
Yawezekana uranium iko jirani hapo yote hayo na mengineyo serikali inayojali watu wake iyaangalie..
Unayemtuhumu ndiye anatakiwa kumpa ulinzi! Mawazo yako huwa siyaelewiView attachment 1061459
Huyu mtu kiukweli anayajua madudu mengi mno ya nchi hii , na kwa jinsi ya maelezo ya kamati ya maadili ya bunge , kuna chuki kubwa sana iliyochanganyika na wivu wa kimasikini uliojaa ushamba mkubwa sana ndani yake dhidi ya Assad.
Nashauri kwenye kipindi hiki cha mpito Profesa huyu aongezewe ulinzi .
Wenye akili wamenielewa .
Ili suala linatakiwa kufunguliwa Thread yake sio ya kuacha ivi ivi. Umenikumbusha vitu vingi Sana. Ule ujenzi kuna magogo mengi yataondoka sana pale. Bila kujuaUlinzi uongezwe huko kwenye ujenzi wa SGR na Stigler HEPD tujue raslimali zinazotokana na eneo linalo husika na ujenzi ni kiasi gani na taifa linafaidika vipi nazo?. Mfano magogo ya miti itakayo katwa.
Yasemekana wachina waliojenga TAZARA baadhi yao ni matajiri wa kutisha huko china kwa utajiri walioutoa kwenye raslimali walizopata maeneo yale yaliyopitiwa na ujenzi.
Tuwe macho tusizalishe matajiri wengineWaturuki, Wabeligiji na Waarabu contractors.
Yuko jamaa mmoja alijenga nyumba yake hakuingia gharama za mchanga. Mchanga aliupata kwenye eneo la ujenzi alipochimba mashimo ya maji taka.
Tuone sasa magogo ya miti itakayo katwa selous yatasaidia vipi kupunguza gharama za ujenzi wa Bwawa la kuzalisha umeme.
Yawezekana uranium iko jirani hapo yote hayo na mengineyo serikali inayojali watu wake iyaangalie..
Mpumbavu mkubwa wewe, ni bora baba yako angepiga punyeto kuliko kutunga mimba ya zezeta kama wewe.Mshauri CAG akague ulimi wake ulipojikwaa, asihangaike kuzoa maji yaliyo mwaika kwenye mchanga.
Ivi tulishawahi kujiuliza mawakili kama kina Peter Kibatala na kina Jebra Kambole na wengine wanalindwa na nani? Na wanafanya mambo ya hatari hata ya Prof. Assaad madogoNi Mungu tu ndie anaemlinda CAG wetu kwa sasa.
WanaCCM wengi wa hii Awamu wanahamu ya huyu Mzee aokotwe kwenye kiroba.
Angalieni uko South Africa wageni hamtakiwiAibu kubwa sana ! wafanyabiashara wenzangu wa Johannesburg wamenicheka sana !
Ulinzi wa aina gani,wakati wanaume wakijani bungeni walishamyangaya mkoba wa U CAG?
Walichofanya ni kumuaribu kisaikologia kwa kumkataa kufanya kazi nae.
Tena wamesubiri amewakirisha report yake kwa Rais Magu,ndio wakaaribu defence mechanism za ubongo wake.Labda Raisi amuonee huruma kwa kumpa kazi ya ubalozi.
Haki tena, hii ni aibu kabisa......embu kuwa muungwana basi, jitaidi kuficha NYETI ZAKO ZA UBONGO hata kwa kukaa kimya tu.Ulinzi uongezwe huko kwenye ujenzi wa SGR na Stigler HEPD tujue raslimali zinazotokana na eneo linalo husika na ujenzi ni kiasi gani na taifa linafaidika vipi nazo?. Mfano magogo ya miti itakayo katwa.
Yasemekana wachina waliojenga TAZARA baadhi yao ni matajiri wa kutisha huko china kwa utajiri walioutoa kwenye raslimali walizopata maeneo yale yaliyopitiwa na ujenzi.
Tuwe macho tusizalishe matajiri wengineWaturuki, Wabeligiji na Waarabu contractors.
Yuko jamaa mmoja alijenga nyumba yake hakuingia gharama za mchanga. Mchanga aliupata kwenye eneo la ujenzi alipochimba mashimo ya maji taka.
Tuone sasa magogo ya miti itakayo katwa selous yatasaidia vipi kupunguza gharama za ujenzi wa Bwawa la kuzalisha umeme.
Yawezekana uranium iko jirani hapo yote hayo na mengineyo serikali inayojali watu wake iyaangalie..
Elimu yako ni ipi mkuu?mbona upo mweupe sana kichwni ww...!nini shid?hata km ww ni HOHEHAHE..hupaswi kuwaza ujinga namna hyo ww ...mxiew
Umeshiba sana Mkuu unajamba tuAcha tu wammiminie Richachi Mwana wa kulitafua Mwana wakulipata
My be fundi masufulia....tusimblam kwa hilo, ndio akili yake ilipoishia hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Red guard wa bavicha si mpo? Mlindeni.View attachment 1061459