Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
😋😋nshahemkwa!usingiz unagoma..nadhan na umri😅
Mimi nilidhani unaishi Kiribati ndio Umeamka.😋😋nshahemkwa!usingiz unagoma..nadhan na umri😅
Mimi nilidhani unaishi Kiribati ndio Umeamka.
Kwa hiyo hata hela ya Taxi wamegoma kumlipia kama wanavyomkomoa Tundu Lissu?!View attachment 1061459
Huyu mtu kiukweli anayajua madudu mengi mno ya nchi hii , na kwa jinsi ya maelezo ya kamati ya maadili ya bunge , kuna chuki kubwa sana iliyochanganyika na wivu wa kimasikini uliojaa ushamba mkubwa sana ndani yake dhidi ya Assad.
Nashauri kwenye kipindi hiki cha mpito Profesa huyu aongezewe ulinzi .
Wenye akili wamenielewa .
CCM hii imepoteza kabisa ushawishi katika jamii, sasa hivi watu wakiwaona UVCCM wanaogopa na kujifungia milango yao, Watanzania wengine wanathubutu hata Kuwafananisha na INTERAHAMWE.Bongo tu hii mzee baba..kila nikiona ID yako nakumbuka uliwah andika ccm iorodheshwe kwenye vikundi vya kigaidi zaidi duniani....ninachekaga mpk leo
Acha tusio na stress za Assad tulale...nshahemkwa!usingiz unagoma..nadhan na umri
![]()

😅😅😅 my ribs...dah...ww ni makini sana sana yaanCCM hii imepoteza kabisa ushawishi katika jamii sasa hivi watu wakiwaona UVCCM wanaogopa na kujifungia milango Watanzania wengine wanathubutu hata Kuwafananisha na INTERAHAMWE.
Elimu yako ni ipi mkuu?mbona upo mweupe sana kichwni ww...!nini shid?hata km ww ni HOHEHAHE..hupaswi kuwaza ujinga namna hyo ww ...mxiew
Maombi na Dua zetu.Who's gonna protect him?
Lakini swali langu, Yeye Assad hana imani na Bunge sbb ni dhaifu, sasa bunge litafanya naye vipi kazi kama haliamini?Nataman kbs kutosikia mauźushi ya ccm..ila nafeli balaa hahahaa...una roho ya aina yake aisee..Nataman Assad atundike daruga
Lakini swali langu, Yeye Assad hana imani na Bunge sbb ni dhaifu, sasa bunge litafanya naye vipi kazi kama haliamini?
NISAMEHE LAKINI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu yangu ni ya uProf wa kunanga bunge la nchi na serikali yangu huko radio UNO.
Hohehahe ni yule anaye shauri ulinzi kwa CAG. Huo ulinzi anapewa na nani dhidi ya nani??
Hii haina tofauti na Kiongozi kama PM mstaafu kuhamia upinzani akashiriki maandamano batili, yule mlinzi wake atapambana na efefiyuu wanaotawanya waandananaji ama atamuacha boss wake achezee virungu na mabomo ya machozi?
Demokrasia wakati mwengine inaruhusu mambo ya kijingajinga na hovyo sana. Mtu kama Maalim Seif ama Sumai nao wanalindwa huku wanaipinga serikali inayowapa ulinzi wa bure. Ifike mahali sheria ipitishwe ukishafikia cheo flani ni marufuku kujishughulisha na upinzani. Ukikaidi unashughulikiwa kama gharama kwa taifa.
Nakubaliana nawe kabisa! Na najua kweli bunge ni dhaifu, lakini swali langu, kama Bunge huwa linafanyia kazi reports za CAG kuishauri Serikali, litaendelea vipi na CAG asiyeliamini?Muwe mna review mambo kabla ya ku comment ye aliohojiwa na DW kwamba ripot zake zinabaini madudu kwann hazichukuliwi hatua ndo akajibu bunge ndo lenye kazi ya kusimamia serikali halifanyi hivo kwakuwa ni dhaifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Only GodWho's gonna protect him?